Bunge lisipoteze hadhi yake
BUNGE ni moja ya mihimili mitatu ya dola ambayo haipaswi kuingiliana kimajukumu. Mingine ni Mahakama na Serikali. Ndiyo maana kwa mfano Bunge likiamua jambo, Serikali haiwezi kupinga na hata Mahakama...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi25 Feb
Wananchi walicharukia Bunge la #Katiba, wataka liache tamaa, lisipoteze muda [VIDEO]
9 years ago
Raia Mwema18 Nov
Ndugai hifadhi hadhi ya Bunge
BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tayari limekwishapata spika mpya anayetarajiwa kudumu k
Mwandishi Wetu
11 years ago
Tanzania Daima26 Mar
Bunge kuamua kura yake leo
BUNGE Maalumu la Katiba leo litaamua aina ya kura itakayotumika kufanya uamuzi wakati wa kupitisha ibara au rasimu ya Katiba mpya. Hatua hiyo inatokana na wajumbe wa Bunge hilo kutofikia...
11 years ago
Mwananchi25 Dec
Bunge sasa limechukua nafasi yake
11 years ago
Mwananchi14 Feb
Bunge Maalumu la Katiba liheshimu mipaka yake
11 years ago
Habarileo27 Feb
Wapendekeza Bunge la Katiba liwe na Siwa yake
KAMATI ya Kumshauri Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalumu la Katiba kuhusu Kanuni za Bunge, imependekeza kuwe na Siwa mahsusi yenye uzito wa kilo 4.5 ikiwa na madini ya dhahabu na aluminium. Imependekeza zitengenezwe mbili ili moja iwekwe kama kumbukumbu upande wa Tanzania Bara na ya pili iwe ni kumbukumbu kwa Tanzania Zanzibar.
10 years ago
Mwananchi22 Mar
Bunge: Zitto kulipwa mafao yake yote
10 years ago
Dewji Blog17 Dec
Breaking News… Bunge Afrika Mashariki lamvua spika madaraka yake
Aliyekuwa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki kabla ya kubwagwa leo Bi.Margaret Nantongo Zziwa.
Na Mahmoud Ahmad Arusha
BUNGE la nchi za jumuia ya Afrika Mashariki,lenye makao yake mjini Arusha, limemvua madaraka ya Uspika wa bunge hilo Margaret Nantongo Zziwa, kutoka nchini Uganda.
Uamuzi huo umefanywa leo katika kikao cha bunge hilo ambapo Spika huyo alipigiwa kura 36 za kutokuwa na Imani nae, kura 2 zimeharika kura moja haikueleweka hivyo kukosa sifa ya kuendelea na wadhifa huo.
Kwa...
11 years ago
Mwananchi30 Apr
Bunge Maalum la Katiba na kazi pevu iliyo mbele yake Agosti