CAREER AFRICA YAFANA NEW YORK ZAIDI YA WANADIASPORA 400 WAJITOKEZA
Sophia Yona mwanadiaspora wa New York akiuliza jambo kwa mwakilishi wa Exim Bank Bwn. Dinesh Arora kwenye Career Africa iliyofanyika jiji lisilo lala New York City ndani ya hotel ya Hilton iliyopo mtaa wa 1335 avenue of americas, New York New York 10019 na wanaDiaspora takribani 400 walijitokeza kwenye Careear Africa hiyo iliyokua imeandaliwa na baadhi ya wana Diaspora wa New York na New Jersey kwa kushirikiana na makampuni makubwa yanayofanya shughuli zake Afrika yaliyofanya kongamano hilo...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLCAREER AFRICA YAFANA NEW YORK ZAIDI YA WANADIASPORA 400 WAJITOKEZA
11 years ago
Dewji Blog01 Jun
Vodacom kutengeneza ajira zaidi ya 400
Mkuu wa Idara ya Mauzo ya Rejareja wa kampuni ya Vodacom Tanzania, Upendo Richard (kushoto) akimkabidhi Meneja wa duka jipya la huduma kwa wateja la Vodacom Sinza Afrika Sana Swaum Manengelo funguo ya duka hilo kuashiria ufunguzi rasmi wa duka hilo kuanza kutoa huduma kwa wateja Akishuhudia tukio hilo katikati ni Meneja Uhusiano wa Nje wa kampuni hiyo, Salum Mwalim.Uzinduzi huo umefanyika hivi karibuni jijini Dar es salaam.
Meneja wa duka jipya la huduma kwa wateja la...
10 years ago
VijimamboHARAMBEE NA CHAKULA CHA JIONI JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI ALBANY, NEW YORK YAFANA SANA.
Esther Brown kutoka Uganda mmoja katika uongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ya Albany, New York akitoa utambulisho kwa viongozi wa Jumuiya hiyo katika sherehe ya harambe ya chakula cha jioni ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ya Albany jimbo la New York, Jumuiya ikiwa inajumuisha nchi tano ambazo ni Rwanda, Burundi, Tanzania, Uganda na Kenya.
10 years ago
BBCSwahili02 Jun
Watu zaidi ya 400 wazama na Meli China
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-1Gb-N0ksoPU/VlwpSd0F0uI/AAAAAAAIJK0/TFI7YSIXTh0/s72-c/Pix%2B1.jpg)
WANASOKA WANAWAKE ZAIDI YA 400 WASHIRIKI TAMASHA LA LIVE YOUR GOALS
![](http://1.bp.blogspot.com/-1Gb-N0ksoPU/VlwpSd0F0uI/AAAAAAAIJK0/TFI7YSIXTh0/s640/Pix%2B1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-HPtrgNnH8aM/VlwpSEqMHMI/AAAAAAAIJKo/vgIh6vnqAbI/s640/Pix%2B2.jpg)
11 years ago
Ykileo![](http://4.bp.blogspot.com/-NTlPHcDOST0/U5lZMi2QwmI/AAAAAAAAAsM/vDWtwSq5TY8/s72-c/James-A.-Lewis-of-CSIS.jpg)
ZAIDI YA DOLA BIL. 400 ZAPOTEA KUTOKANA NA UHALIFU MTANDAO
![](http://4.bp.blogspot.com/-NTlPHcDOST0/U5lZMi2QwmI/AAAAAAAAAsM/vDWtwSq5TY8/s1600/James-A.-Lewis-of-CSIS.jpg)
Ripoti ndogo za awali tayari zimesha anza kutoka , hadi hivi sasa mbili kutoka MacAfee na pricewaterhousecoopers (PWC) zi mesha wekwa mitandaoni ilikutoa ruhusa kupitiwa na jamii mbali mbali huku ripoti nyingine zikiendelea...
10 years ago
Mwananchi11 Oct
Sheria ya madini ‘yasitisha’ uchimbaji migodi zaidi ya 400 Mirerani
9 years ago
Bongo528 Sep
Instagram sasa ina watumiaji (active) zaidi ya milioni 400
11 years ago
GPLVODACOM KUTENGENEZA AJIRA ZAIDI YA 400 KUPITIA MADUKA YAO