CCM, CUF wahofia kuhujumiana umeya Tanga
Mchakato wa kuwapitisha wagombea wa nafasi ya umeya wa Halmashauri ya Jiji la Tanga kwa vyama vya CCM na CUF utaanza wakati wowote huku kila chama kikifanya siri kwa madai ya kuhofia kuhujumiwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania12 Dec
Umeya waivuruga CCM, Chadema
Na Waandishi Wetu
UCHAGUZI wa umeya katika manispaa mbalimbali umedaiwa kuanza kukivuruga Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Kutokana na kuvurugwa huko, vyama hivyo vimeanza kulazimisha kutumia mbinu mbadala kuhakikisha vinashinda uchaguzi huo unaofanyika nchi nzima.
Moja ya mbinu wanazodaiwa kutumia ni kulazimisha wabunge wa viti maalumu kwenda kujisajili katika manispaa za mikoa mingine kama madiwani ili waweze kupiga kura katika uchaguzi wa...
9 years ago
Mwananchi11 Dec
Chadema, CCM wachuana umeya
9 years ago
Mwananchi01 Dec
Saba CCM wawania umeya Tabora
9 years ago
Mwananchi13 Dec
CCM, Chadema waendelea kukabana umeya, uenyekiti
9 years ago
StarTV10 Nov
Wanachama wa CUF wavutana Tanga Â
Wanachama zaidi ya mia moja wa chama cha wananchi CUF wilaya ya Pangani Mkoani Tanga wametishia kujeresha kadi zao za chama na kujiunga na vyama vingine vya siasa..
Madai ya wanachama hao ni kutaka kurejeshwa kwa jina la aliyekuwa mbunge wa viti maalumu Amina Mwidau kwa kuwa ndiye aliyeshinda kwenye kura za maoni na kuliondoa jina na Saumu Sakala aliyeshika nafasi ya pili kwenye mchakato wa kura za maoni.
Wananchi wa chama cha wanchi CUF waliokuwa wakitishia kukihama chama hicho kufuatia...
10 years ago
Mwananchi18 Sep
Madiwani wa CUF wazua tafrani Tanga
9 years ago
Habarileo10 Dec
Simba walia kuhujumiana
SIMBA ipo kwenye maandalizi ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Azam Jumamosi, lakini kumeibuka hofu ya kuhujumiana ndani ya klabu hiyo. Habari kutoka ndani ya uongozi wa Simba zinadai kuwa kiongozi mmoja wa juu wa klabu hiyo amekuwa akihusishwa kufanya hujuma ili timu ipoteze mechi dhidi ya Azam na nyingine zitakazofuata.
10 years ago
Mwananchi01 Sep
Diwani, wafuasi wake waipa pigo CUF Tanga