CCM, CUF WALIANZISHA
Na Waandishi Wetu, MwananchiHivi sasa mimi ni kiongozi halali kwa mujibu wa sheria,”Dar es Salaam. Utata mpya umeibuka kuhusu matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa baada ya wagombea watatu waliotangazwa washindi kuwekwa kando ikidaiwa kuwa badala yake walioshindwa waliapishwa kuchukua nafasi zao, hali iliyozua vurugu kubwa zilizotulizwa na polisi kwa mabomu ya machozi Ubungo jana.Kutokana na hali hiyo, wafuasi wa CUF wanaodai wagombea wa chama chao ndiyo walioshinda, waliibuka na kutanda...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo27 Dec
UVCCM Singida walianzisha kwa Nyalandu
BARAZA a Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Singida Vijijini, limemshutumu mbunge wao, Lazaro Nyalandu kwa kusababisha chama hicho kukosa ushindi mnono kwenye baadhi ya maeneo katika jimbo la Singida Kaskazini wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa hivi karibuni.
10 years ago
Mtanzania10 Jan
CUF wamkimbiza mbunge wa CCM
Na Ally Badi, Lindi
MBUNGE wa Viti Maalumu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Zainab Kawawa, juzi alifukuzwa na vijana wa Kijiji cha Makinda waliokuwa na mawe na magongo wakati akijiandaa kufanya mkutano wa hadhara.
Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Makinda kilichopo Kata ya Kipule Wilaya ya Liwale, Salum Salum Kachwele, amelithibitishia MTANZANIA Jumamosi kutokea kwa tukio hilo na kueleza kuwa Mbunge Kawawa alikutana na zahama hiyo wakati akijiandaa kutangaza nia ya kugombea ubunge wa...
11 years ago
Habarileo05 Mar
CCM, CUF, Chadema washambuliwa
MWENYEKITI wa Chama cha UPDP, Fahmi Dovutwa amevishambulia vyama vya CCM, CUF na Chadema kuwa vinaharibu Bunge Maalumu la Katiba, kutokana na kutaka misimamo yao ya vyama itawale vikao vya bunge hilo.
10 years ago
TheCitizen10 Jan
CCM, CUF fire shots
10 years ago
Vijimambo04 May
CUF wawapania CCM Ruangwa.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Abdul-4May2015.jpg)
Wananchi wa Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi, wamechoshwa na uongo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamedai kuwa miaka 53 ya uhuru wameshindwa kuwajengea barabara kuu ya wilaya hiyo kwa kiwango cha lami na fimbo watakayotumia ni kukiadhibu ni kukinyima kura Oktoba, mwaka huu.
Wakizungumza katika mikutao ya hadhara ya Chama cha Wananchi (CUF) katika maeneo mbalimbali ikiwamo Kata ya Nandagala, kuhamasisha wanachama na wananchi kujiandikisha...
9 years ago
Mtanzania16 Sep
CCM yaiteka ngome ya CUF
Waandishi Wetu, Zanzibar na Dar
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, kimeitikisa ngome kuu ya Chama Cha Wananchi (CUF) kwenye mkutano wa ufunguzi wa kampeni uliofanyika Kisiwa cha Pemba.
Pemba ni ngome ya chama hicho cha upinzani visiwani Zanzibar kutokana na kuwa na nguvu kubwa, huku CCM ikiwa na mizizi Unguja.
Mkutano wa CCM uliofanyika jana katika Uwanja wa Gombani ya Kale Mkoa wa Kaskazini Pemba Wilaya ya Chakechake, inaweza kutafsiriwa kuwa ilitingishwa kutokana na umati mkubwa...
9 years ago
Habarileo28 Nov
Makubaliano CUF, CCM bado
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imesema mazungumzo yanayoshirikisha viongozi wa vyama viwili vya siasa vya CCM na CUF, yanaendelea na hakuna makubaliano yaliyofikiwa hadi sasa ya kurudiwa kwa uchaguzi mkuu uliofutwa wa Oktoba 25.
9 years ago
Mwananchi04 Nov
CUF kuipinga CCM mahakamani