Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Changamoto za Mapinduzi ziwaunganishe Wazanzibari

LEO Zanzibar inaadhimisha miaka 50 tangu yalipofanyika mapinduzi yaliyouondoa utawala wa sultani na serikali yake ya mseto ya vyama vya Zanzibar Nationalist Party (ZNP) na Zanzibar and Pemba People’s Party...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mabango sherehe za Mapinduzi yaonesha hisia ya Wazanzibari

Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakipita mbele ya meza kuu kwa maandamano wakati wa Sherehe za Miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar, zilizofanyika kwenye uwanja wa Amaan, mjini Unguja jana.(Picha na Freddy Maro).MAKUNDI mbalimbali jana yalipamba kilele cha maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa maandamano sanjari na mabango yaliyokuwa na ujumbe mbalimbali.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mafanikio, changamoto za Mapinduzi

KWA mara nyingine Zanzibar inaadhimisha siku yalipofanyika mapinduzi yaliyouondoa utawala wa sultani na serikali yake ya mseto ya vyama vya Zanzibar Nationalist Party (ZNP) na Zanzibar and Pemba People’s Party...

 

10 years ago

Mwananchi

Wasomi: Mapinduzi Z’bar yawe mapinduzi ya fikra

Wakati Wazanzibari leo wakiadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi, wanasiasa na wasomi wametaka wananchi hao kufanya mikakati muhimu ya maendeleo na kuacha fikra mgando zinazoathiri maendeleo yao na nchi yao.

 

11 years ago

Mwananchi

Changamoto kwa Wafanyabiashara wadogo wapewa changamoto

Wafanyabiashara wadogo wametakiwa kuacha woga na kuanza kutumia taasisi za fedha kama njia rafiki na chachu ya maendeleo na kukuza mitaji yao.

 

10 years ago

Mtanzania

Wazanzibari watishwa bungeni

Bunge

Bunge

NA WAANDISHI WETU, DODOMA

WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba waliotokana na kundi la 201, wameanza kupokea ujumbe wa vitisho.

Ujumbe huo ambao MTANZANIA Jumapili iliupata, umeanza kusambazwa jana asubuhi kwa simu za mkononi na unawalenga wajumbe wa kundi hilo wanaotoka Zanzibar.

Unawataka wajumbe hao wasishiriki katika hatua ya kupiga kura ya kupitisha Rasimu ya Katiba inayotarajia kuanza Septemba 2 hadi Oktoba 4.

Ujumbe huo ambao haujajulikana ulianzia wapi na umesambazwa na kundi...

 

11 years ago

Habarileo

Dk Shein apongeza Wazanzibari

RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amewapongeza Wazanzibari kwa kuonesha umoja na mshikamano na uzalendo kwa kuweka pembeni tofauti zao za kisiasa.

 

11 years ago

Mwananchi

Muungano ulivyowavuruga Wazanzibari

Wiki hii Watanzania wameshuhudia matukio mengi bungeni. Moja ya matukio hayo ni vita ya maneno na tofauti za kisiasa kati ya CUF na CCM.

 

9 years ago

Mtanzania

Wazanzibari waandamana London

7Na Mwandishi Wetu

WAZANZIBARI wanaoishi nchini Uingereza jana wamefanya maandamano kutaka nchi hiyo iingilie kati na kutoa shindikizo kwa Serikali ya Tanzania ili kuhakikisha mshindi wa uchaguzi wa Rais wa Zanzibar anatangazwa na kuapishwa.

Hatua ya maandamano hayo yamekuja kutokana na hatua ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha, kutangaza kufuta matokeo ya uchaguzi huo huku akitoa sababu tisa ikiwemo uchaguzi kutoka huru na haki.

Katika maandamano hayo hayo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani