Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Coutinho aangukia wachezaji Jangwani

KIUNGO wa Yanga, Mbrazil Andrey Coutinho, amemwaga wino wa kukipiga Jangwani kwa kipindi cha miaka miwili, huku akikabidhiwa jezi namba 7 iliyokuwa ikivaliwa na Didier Kavumbagu aliyejiunga na Azam FC....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Andrey Coutinho amwaga wino Jangwani

10352837_10204420994232057_1327726715607196512_n

Kiungo wa Yanga, Mbrazil Andrey Coutinho (kulia).

Na MOblog Team

Kiungo wa Yanga, Mbrazil Andrey Coutinho, amemwaga wino wa kukipiga Jangwani kwa kipindi cha miaka miwili, huku akikabidhiwa jezi namba 7 iliyokuwa ikivaliwa na Didier Kavumbagu aliyejiunga na Azam FC.

Nyota huyo aliyetua nchini siku moja baada ya Maximo kuwasili na kusaini mkataba wa kuinoa Yanga kwa kipindi kama hicho, ameomba sapoti ya wachezaji wenzake na mashabiki wa timu hiyo ili aweze kutimiza malengo ya kuisaidia...

 

10 years ago

Mtanzania

Magufuli aangukia pua

Waziri John Magufuli

Waziri John Magufuli

Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru Wachina wa ‘samaki wa Magufuli’ na kuamuru Jamhuri iwarejeshee vitu vyao ikiwemo meli ya Tawaliq 1.

Wachina hao Nahodha wa meli, Hsu Chin Tai na Wakala wa Meli ya Tawaliq 1, Zhao Hanquing waliachiwa jana kupitia hati ya Nole ya kuwaondolea mashitaka.

Hii ni mara ya pili kwa Wachina hao kuachiwa kwani mara ya kwanza waliachiwa na Mahakama ya Rufaa Machi 28 mwaka huu, walikamatwa tena na...

 

9 years ago

MillardAyo

TOP 20 ya wachezaji bora wa Ligi Kuu Uingereza 2015, Afrika imetoa wachezaji wawili pekee, Cheki list hapa …

Tukiwa tunaelekea kuumaliza mwaka 2015 na kuingia mwaka mpya 2016 moja kati ya mitandao inayoandika stori za michezo duniani imeandika TOP ya wachezaji bora wakali wa Ligi Kuu Uingereza. Mtandao wa bleacherreport.com umeandika list ya wachezaji 20 wakali wa Ligi Kuu Uingereza kwa mwaka 2015. Hii ndio list ya majina yote 20 mtu wangu. David De […]

The post TOP 20 ya wachezaji bora wa Ligi Kuu Uingereza 2015, Afrika imetoa wachezaji wawili pekee, Cheki list hapa … appeared first on...

 

10 years ago

Habarileo

Msuya aangukia kwa Membe

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard MembeBAADA ya aliyewahi kuwa waziri katika wizara mbalimbali awamu ya kwanza, George Kahama kutangaza hadharani kumuunga mkono Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe kuteuliwa na chama chake kugombea Urais, naye Waziri Mkuu wa zamani, David Msuya amejitokeza hadharani kumuunga mkono Waziri Membe.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kisena aangukia pua Mahakama Kuu

MAHAKAMA Kuu imetupilia mbali kesi mpya iliyofunguliwa na mmiliki wa Kampuni ya usafirishaji ya UDA, Robert Kisena dhidi ya mfanyabiashara Alex Msama na wenzake watatu kuhusu mgogoro wa kiwanja kilichopo...

 

10 years ago

GPL

BELLA AANGUKIA KWA SERENGETI BOY

Na Waandishi Wetu/Amani
SABABU za Bella kuachana na mpenzi wake Luten Karama, zimetajwa kuwa ni serengeti boy ambaye ni mwanamuziki anayejulikana kwa jina la Dogo Nasri. Isabela Mpanda, 'Bella' akiwa na  serengeti boy, 'Dogo Nasri'. Sosi wa habari hii alisema kuwa Bella amekuwa akitoka kimapenzi na ‘underground’ huyo na ndiyo maana amekubali kirahisi kuachana na mpenzi wake wa siku nyingi. “Ulishawahi...

 

10 years ago

GPL

MARIA CAREY AANGUKIA KWA BILIONEA

Nyota wa R&B, Maria Carey akiwa na  bilionea, James Packer. CANNES, Ufaransa HISIA ni kitu kingine! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya nyota wa R&B, Maria Carey, 45, kunasa katika penzi la bilionea, James Packer, 47, raia wa Australia.  Maria, aliwahi kuolewa na Nick Cannon lakini waliachana Agosti mwaka jana kwa talaka baada ya kudumu kwenye uhusiano kwa miaka sita wakiwa na watoto wawili mapacha.   Taarifa ni kwamba...

 

10 years ago

GPL

MAMA LULU AANGUKIA KWA MZEE WA UPAKO

Na Mwandishi Wetu
Mama wa staa wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila ameangukia katika Kanisa la Maombezi (GRC) Ubungo-Kibangu jijini Dar, linaloongozwa na Lusekelo Anthony ‘Mzee wa Upako.’ Mama wa staa wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila. Chanzo kinasema kuwa mama huyo ameamua kujikita katika maombezi na kwamba hufika kanisani hapo kila...

 

10 years ago

GPL

YEMI ALADE AANGUKIA KWA ‘SERENGETI BOI’

Staa wa muziki Naija, Yemi Alade. STAA wa muziki Naija, Yemi Alade huenda amempata ‘Johnny’ baada ya tetesi kusambaa kuwa ameangukia penzi la dogodogo ‘serengeti boi’ aliyejulikana kwa jina la Fasesin Ayobami ‘Ay-B.’ Fasesin Ayobami ‘Ay-B.’ anayedaiwa kuwa na uhusiano na Yemi Alade. Jalada zima linafunguka kuwa Yemi kwa sasa hasikii haozi kwa dogo huyo ambaye pia ni msanii wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani