Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Covenant Bank yawaita TFF, yajitolea Kuwadhamini Twiga Stars.

  Mkurugenzi Mtendaji wa Covenant Bank, Sabetha Mwambenja (Katikati) akizungumza na waandishi wa Habari (Hawapo pichani) wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya Michezo kwa klabu ya Mpira ya Lucenti, itakayoshiriki michuano ya kanda ya Nyanda za juu kusini, itakayofanyika Sumbawanga Mkoani Rukwa. Kushoto ni Meneja Fedha wa Benki hiyo Patrick Kyamba na Mwenyekiti wa Klabu ya Lucent, Yusuph Liambe.  Mkurugenzi Mtendaji wa Covenant Bank, Sabetha Mwambenja, (Katikati) Mwenyekiti wa Klabu ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Twiga Stars waishukuru TFF kuipeleka Zanzibar

WACHEZAJI wa timu ya soka ya taifa ya wanawake, Twiga Stars wamelishukuru Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa kuihamishia kambi yao Zanzibar.

 

11 years ago

Michuzi

TFF KUWACHUKULIA HATUA ZAIDI WAWILI TWIGA STARS

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linatafakari hatua zaidi za kinidhamu dhidi ya wachezaji wawili wa kikosi cha Twiga Stars walioondolewa kwenye timu hiyo na Kocha Rogasian Kaijage.
Kocha Kaijage aliwatimua kambini wachezaji Mwapewa Mtumwa na Flora Kayanda kutokana na vitendo vya utovu wa nidhamu wakati Twiga Stars ikijiandaa kwa mechi ya marudiano ya michuano ya Afrika kwa Wanawake (AWC) dhidi ya Zambia.
Twiga Stars ilipoteza mechi ya kwanza ugenini mabao 2-1 na kutoka sare ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Ubabaishaji huu TOC, TFF unaiathiri Twiga Stars

Mashindano makubwa ya Michezo ya 11 ya Afrika ambayo hufanyika kila baada ya miaka minne yanatarajiwa kuanza kutimua vumbi kuanzia mwezi ujao jijini Brazzaville, Kongo.

 

10 years ago

Michuzi

Covenant Bank, AAR wazindua Bima ya Matibabu ya Tsh. 1000 kwa siku

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Covenant Bank, Balozi Salome Sijaona (Katikati) akikabidhi kadi ya Bima ya Matibabu kwa Zaituni Zoro, ambae ni miongoni mwa wateja wa kwanza wa Huduma mpya ya Bima ya Matibabu ambayo zinawawezesha wateja wa Benki hiyo kupata Bima ya Matibahu kwa Shilingi 1000 kwa siku na kuweza kutibiwa hospitali Binafsi na za serikali pamoja na kununua dawa. Wanaoshuhudia (Kulia) ni Mkurugenzi Mtendaji wa Covenant Bank, Sabetha Mwambenja na Meneja Uendeshaji wa AAR....

 

10 years ago

Michuzi

Covenant Bank yaokoa la Jahazi CHANETA, Yatoa tikezi 20 za Ndege na Milioni 40 kufanikisha Safari ya Botswana

 Mkurugenzi Mtendaji wa Covenant Bank, Sabetha Mwambenja, akiwaonesha waandishi wa habari (hawako pichani) moja kati ya tiketi 20 zilizotolewa na Benki hiyo kwa Chama cha Mchezo wa Pete Tanzania (CHANETA) ili kufanikisha safari ya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Queens) kwenda nchini Botswana kwa ajili ya kushiriki michuano ya mabingwa wa Afrika benki hiyo imetoa zaidi ya milioni arobaini ili kufanikisha safari hiyo, Pamoja nae katika picha ni Mwenyekiti wa CHANETA, Anna Kibira, na nahodha...

 

11 years ago

TheCitizen

Twiga Stars out to down Zambians

>The national women’s soccer team, Twiga Stars, will be seeking a flying start when they take on Zambia’s Shepolopolo in the 2014 Africa Championship preliminary round, first leg qualifier at Nkoloma Stadium.

 

9 years ago

Mwananchi

Twiga Stars kibaruani

Timu ya Taifa ya Soka ya Wanawake, Twiga Stars inalazimika kucheza kufa na kupona leo ili kuhakikisha inapata ushindi dhidi ya Nigeria na kufufua matumaini ya kusonga mbele katika mashindano ya Afrika yanayoendelea Congo Brazzaville.

 

11 years ago

Mwananchi

Twiga Stars yatolewa

Ndoto ya Tanzania kucheza fainali za Afrika za wanawake mwaka huu zimefutika baada ya Twiga Stars kulazimishwa sare 1-1 na Zambia na hivyo kuondolewa kutolewa kwa jumla ya mabao 3-2 jana kwenye Uwanja Azam Complex.

 

11 years ago

Mwananchi

Twiga Stars kuivaa Zambia

>Timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) leo ina kazi moja tu kusaka ushindi ili kuwapa raha Watanzania itakapokabiliana na Zambia (Shepolopolo)  katika pambano la kusaka tiketi ya kushiriki Fainali za Kombe la Afrika litakalopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani