Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CRDB yaanzisha India Deski

BENKI ya CRDB imezindua huduma iitwayo India Deski inayowaunganisha wawekezaji na wafanyabiashara nchini India kufanya huduma za kibenki bila akaunti hapa Tanzania. Huduma hiyo itawawezesha wafanyabiashara na wawekezaji kutoa fedha...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

TheCitizen

CRDB Bank establishes India Desk

CRDB Bank on Wednesday unveiled its India Desk as it seeks to get a chunk of the ever increasing business ties between Tanzania and the Indian sub-continent.

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YAZINDUA HUDUMA YA INDIA DESK

Balozi wa India, Shri Debnath Shaw (wa tatu kulia), Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRD, Dk. Charles Kimei (wa pili kushoto), wakizindua kwa pamoja huduma mpya ya India Desk  inayowaunganisha wawekezaji na wafanyabiashara nchini India kufanya huduma za kibenki bila ya kuwa na akaunti nchini. Wa pili kulia ni Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo anayeshughulika na Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyadhiyay, mjumbe wa bodi ya Wakurugenzi, Ally Laay (kushoto), Celina Mkonyi...

 

9 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA BENKI YA CRDB WAKISHIRIKI MICHEZO MBALIMBALI KATIKA SIKU YA FAMILIA YA CRDB


 Watoto wakifurahia michezo mbalimbali   katika viwanja vya Olasiti Garden
leo katika sherehe za siku ya familia ya CRDB ambazo  hufanyika kila mwaka
na kuhudhuriwa na familia za wafnayakazi wa benki pamoja na familia za
wateja. Malindi band ya mkoani kilimanjaro ikitumbuiza sherehe za siku ya familia ya CRDB ambazo  hufanyika kila mwaka na kuhudhuriwa na familia za wafanyakazi wa benki pamoja na familia za wateja.Mfanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la USA akikabidhi zawadi kwa mtoto.
KWA PICHA...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA CRDB UKIONGOZWA NA MWENYEKITI WA BODI YA CRDB .


 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikilizaMwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB Ndg. Ally Hussein Laay, akitowa maelezo ya mafanikio ya Benki ya CRDB wakati wa mazungumzo hayo na kumtambulisha Mkurugenzi Mtendaji mpya wa CRDB Ndg. Abdulmajid Mussa Nsekela, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar,13-2-2020. (Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Zanzibar, India zatiliana saini mkataba wa uwakala wa utangazaji Utalii wa ZNZ nchini India

01

Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Zanzibar na kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya JIHIL ENTERPRISES ya India Nd. Jilesh H. Babla wakitiliana saini mkataba wa makubaliano ya kuanzishwa kwa ofisi ya uwakala wa Utangazaji Utalii wa Zanzibar Nchini India. (Picha na Makame Mshenga Maelezo-Zanzibar).

                                                 Na Abdulla Ali Maelezo-Zanzibar                                                         

Wizara ya...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS NA WAZIRI MKUU WA INDIA WAMPOKEA RASMI RAIS KIKWETE IKULU YA INDIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akikaribishwa na Waziri Mkuu wa India, Mheshimiwa Narendra Modi mara baada ya kuwasili Ikulu ya India kwa sherehe za ukaribisho wake rasmi nchini India kwa ajili ya ziara yake ya Kiserikali. Sherehe hizo zimefanyika asubuhi ya leo, Ijumaa, Juni 19, 2015. Rais Dkt.Jakaya Mrisho kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete, Waziri Mkuu wa IndiaMheshimiwa Narendra Modi, na Rais Wa IndiaMheshimiwa Pranad Mukherjee wakiwa katika...

 

10 years ago

Habarileo

Simba yaanzisha tuzo

UONGOZI wa Simba umeanzisha Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi kuanzia Septemba 2015 ili kuongeza morali wachezaji wanaofanya vizuri. Akizungumza jijini, Rais wa Simba, Evans Aveva amesema wameamua tuzo za kila mwezi kwa wachezaji wao ili kuongeza morali kwenye timu.

 

10 years ago

StarTV

TANAPA yaanzisha kampeni ya Uhamasishaji.

Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania TANAPA limeanzisha kampeni ya miezi sita ya kuwahamasisha watanzania kutembelea hifadhi za Taifa nchini. Malengo ya kampeni hiyo ni kutaka hadi kufikia mwezi Desemba mwaka huu zaidi ya watanzania laki tano wawe wameshatembelea hifadhi hizo nchini.

Katika mkutano wa waandishi wa habari na wadau wa utalii wa mkoa wa Tanga,Kaimu Meneja wa Masoko wa shirika Hifadhi za Taifa TANAPA, Victor Rafael amesema kampeni hiyo imeanza Julay 1 na itaishia mwezi Desemba...

 

10 years ago

Mtanzania

Basata yaanzisha mfumo mpya

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
BARAZA la Sanaa la Taifa (Basata) limeanzisha kanzidata ‘database’ ya kuhifadhi kumbukumbu na taarifa mbalimbali za kumbi za starehe na burudani nchini ili kurahisisha upatikanaji wa takwimu sahihi katika sekta ya sanaa.
Akizungumza jijini hivi karibuni wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku mbili ya watendaji wa Basata kuhusu matumizi sahihi ya kanzidata, Katibu Mtendaji wa baraza hilo, Godfrey Mngereza alisema wanaimani malengo ya kuhifadhi taarifa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani