Simba yaanzisha tuzo
UONGOZI wa Simba umeanzisha Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi kuanzia Septemba 2015 ili kuongeza morali wachezaji wanaofanya vizuri. Akizungumza jijini, Rais wa Simba, Evans Aveva amesema wameamua tuzo za kila mwezi kwa wachezaji wao ili kuongeza morali kwenye timu.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima23 Jan
OMIS yaanzisha tuzo za mitandao ya kijamii
KAMPUNI ya ‘Opt Media Information Solutions (OMIS),’ kwa kushirikiana na wadau mbalimbali imeanzisha tuzo za mitandao ya kijamii inayofanya vizuri nchini. Akizungumza na Tanzania Daima jana, Meneja Mkuu wa kampuni...
10 years ago
MichuziSIMBA SPORT CLUB YAANZISHA TUNZO YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI

9 years ago
Global Publishers21 Dec
Tshabalala anyakua Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Simba SC

10 years ago
Mtanzania06 May
Serikali yaanzisha kurugenzi ya wakunga
Na Shomari Binda, Musoma
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali imeanzisha Kurugenzi ya Wauguzi na Wakunga katika Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ili kurahisisha utatuzi wa changamoto zinazowakabili kwenye utoaji wa huduma kwa umma.
Kauli hiyo ameitoa jana wakati akizungumza na wauguzi na wakunga pamoja na wakazi wa Mkoa wa Mara kwenye kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wakunga Duniani yaliyofanyika kwenye viwanja vya Mukendo mjini Musoma.
“Nina taarifa kuwa kuanzia mwaka ujao wa fedha...
10 years ago
BBCSwahili26 May
Urusi yaanzisha mazoezi ya Kijeshi
11 years ago
Tanzania Daima08 Aug
CRDB yaanzisha India Deski
BENKI ya CRDB imezindua huduma iitwayo India Deski inayowaunganisha wawekezaji na wafanyabiashara nchini India kufanya huduma za kibenki bila akaunti hapa Tanzania. Huduma hiyo itawawezesha wafanyabiashara na wawekezaji kutoa fedha...
11 years ago
Tanzania Daima18 Sep
LAPF yaanzisha fao la Elimu
WANACHAMA wa Mfuko wa Penseni wa LAPF watanufaika na fao jipya la Elimu lilozinduliwa hivi karibuni hapa nchini. Fao hilo lijulikanalo kama ‘Piga Kitabu na LAPF’ limelenga kuwakopesha wanachama wa...
10 years ago
Mtanzania02 Feb
Basata yaanzisha mfumo mpya
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
BARAZA la Sanaa la Taifa (Basata) limeanzisha kanzidata ‘database’ ya kuhifadhi kumbukumbu na taarifa mbalimbali za kumbi za starehe na burudani nchini ili kurahisisha upatikanaji wa takwimu sahihi katika sekta ya sanaa.
Akizungumza jijini hivi karibuni wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku mbili ya watendaji wa Basata kuhusu matumizi sahihi ya kanzidata, Katibu Mtendaji wa baraza hilo, Godfrey Mngereza alisema wanaimani malengo ya kuhifadhi taarifa na...
10 years ago
StarTV21 Aug
TANAPA yaanzisha kampeni ya Uhamasishaji.
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania TANAPA limeanzisha kampeni ya miezi sita ya kuwahamasisha watanzania kutembelea hifadhi za Taifa nchini. Malengo ya kampeni hiyo ni kutaka hadi kufikia mwezi Desemba mwaka huu zaidi ya watanzania laki tano wawe wameshatembelea hifadhi hizo nchini.
Katika mkutano wa waandishi wa habari na wadau wa utalii wa mkoa wa Tanga,Kaimu Meneja wa Masoko wa shirika Hifadhi za Taifa TANAPA, Victor Rafael amesema kampeni hiyo imeanza Julay 1 na itaishia mwezi Desemba...