Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CWBK suluhisho ajali za bodaboda Kilimanjaro

HAISHANGAZI kuona kila kona mijini na vijijini kuna vijana wanaojihusisha na usafarishaji watu kwa kutumia pikipiki maarufu kwa jina la bodaboda. Huo ni usafiri wa kusafirisha abiria kutoka eneo moja...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Ajali za bodaboda zaua wawili

WATU wawili wamekufa katika ajali mbili tofauti zilizohusisha bodaboda na gari zilizotokea jana jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Zantel kupunguza ajali za bodaboda

KAMPUNI ya simu za mikononi ya Zantel imetoa msaada wa vikoti maalumu (reflective safety jackets) 1800 kwa waendesha bodaboda mkoani Mwanza, ili kusaidia kupunguza ajali za barabarani. Vikoti hivyo vyenye...

 

5 years ago

CCM Blog

DEREVA BODABODA APATA AJALI

 Askari wa Usalama Barabarani akipima ajali iliyotokea Barabara ya Kilwa eneo la Mivinjeni Dar es Salaam jana iliyohisishwa na Gari lenye Namba za Usajili T 146 ACS kumgonga mwendesha Pikipiki yenye namba za Usajili  MC 919 CKY akitokea upande wa JKT na Dereva wa Gari hilo akijaribu kukatiza marabara eneo hilo la ajali kwa mujibu wa mashuhuda eneo la tukio. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
 Wasamaria wema wakijaribu kumbeba na kumuingiza katika Gari lenye Namba za Usajili T 146 ACS Dereva...

 

11 years ago

Habarileo

Ajali za bodaboda zawa tishio

KASI ya ajali za pikipiki imemtisha Rais Jakaya Kikwete na ameeleza wasiwasi kwamba ikiendelea hivyo, utafika wakati idadi ya watu watakaokufa itakuwa kubwa kuliko wanaopoteza maisha kutokana na Ukimwi.

 

9 years ago

Mwananchi

Mjamzito afa ajali ya bodaboda

Mjamzito, Mwajuma Lyanga (20), Mkazi wa Kijiji cha Mtekente, Kata ya Ndago Wilaya ya Iramba mkoani hapa, amekutwa amekufa chini ya daraja kwa ajali ya pikipiki.

 

5 years ago

CCM Blog

DEREVA WA BODABODA APATA AJALI

 Wananchi eneo la Msimbazi Centre Jijini Dar es Salaam wakimwangalia Dereva wa Bodaboda aliyepata ajali ambapo chanzo Cha ajali hakikiweza kupatikana mara moja. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)

 

11 years ago

Mwananchi

Ajali za bodaboda zaua watu 870

Waendesha pikipiki 870 wamepoteza maisha na wengine 5,237 wamejeruhiwa katika matukio tofauti ya ajali za barabarani zilizotokea mwaka jana.

 

11 years ago

Habarileo

MOI yafurika majeruhi ajali za bodaboda

TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI) imesema imekuwa ikipokea asilimia kubwa ya wagonjwa walioumia vichwa na migongo, kutokana na ajali zinazosababishwa na pikipiki.

 

10 years ago

Vijimambo

POMBE YAHUSISHWA, AJALI MBAYA YA BODABODA

Kasendeka, mhanga wa ajali iliyohusisha pikipiki mbili maarufu kama bodaboda.  Kijana Kasendeka ambaye alipata ajali iliyohusisha pikipiki mbili maarufu kama bodaboda eneo ilipo Club Royal karibu na lango kuu la kuingilia Chuo Cha Utumishi cha Tabora zamani kikifaahamika kama UHAZILI.Kamera ya mtandao huu imelimulika tukio baya la ajari iliyohusisha pikipiki mbili eneo la Club Royal karibu na lango la kuingilia chuo cha Utumishi wa Umma cha Tabora zamani UHAZILI.Mfuatiliaji wa tukio alibainisha dereva mmoja alikuwa anatokwa na harufu ya pombe kitu kilichodhihirisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani