POMBE YAHUSISHWA, AJALI MBAYA YA BODABODA
Kijana Kasendeka ambaye alipata ajali iliyohusisha pikipiki mbili maarufu kama bodaboda eneo ilipo Club Royal karibu na lango kuu la kuingilia Chuo Cha Utumishi cha Tabora zamani kikifaahamika kama UHAZILI.Kamera ya mtandao huu imelimulika tukio baya la ajari iliyohusisha pikipiki mbili eneo la Club Royal karibu na lango la kuingilia chuo cha Utumishi wa Umma cha Tabora zamani UHAZILI.Mfuatiliaji wa tukio alibainisha dereva mmoja alikuwa anatokwa na harufu ya pombe kitu kilichodhihirisha...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania30 Aug
Ajali mbaya yaua 10 Mbeya
![Askari wa usalama barabarani na raia wakiangalia gari aina ya Toyota Hiace iliyopata ajali eneo la Mbalizi mkoani Mbeya na kusababisha vifo vya watu 10 na wengine kujeruhiwa. Picha na Pendo Fundisha](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/ajali-mbeya.jpg)
Askari wa usalama barabarani na raia wakiangalia gari aina ya Toyota Hiace iliyopata ajali eneo la Mbalizi mkoani Mbeya na kusababisha vifo vya watu 10 na wengine kujeruhiwa. Picha na Pendo Fundisha
Na Pendo Fundisha, Mbeya
WATU 10 wakiwemo watoto wadogo wawili, wamekufa papo hapo baada ya gari dogo la abiria aina ya Toyota Hiace kulivaa lori aina ya Fuso katika eneo la Mbalizi mkoani Mbeya.
Katika ajali hiyo iliyotokea jana saa 4 asubuhi, watu saba walijeruhiwa miongoni mwao wakiwa katika...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Zf7js0lkpBorIhKqKTZEDcO-VOXuivNQyM5aYXrV66531UOA*II2z2Kyw8ICb0wj*p-9sW6044jHl*RnpSrs*gGYizrjjVnV/AIRBUS.jpg)
AJALI MBAYA YATOKEA GAIRO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zbcSW1D04aslISWLmN-XlCNjfduMKk8PSWh91yUiDG5p4YhucigtM54m4JRDHMh9yKHTq6L-TiXXKUj6h2IPJsmdLaPLeXmU/lungi.jpg?width=650)
LUNGI APATA AJALI MBAYA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LRabT8flycF2Hp6MCCWvTlYDOH3EdjaaljigDP6FEiayE5zidNOfHoXp8Q5X5O7fr0SDNQFnB6-qbsWfTjvR-uLcwIKMNXTU/IMG20141026WA0005.jpg)
AJALI MBAYA YA GARI ARUSHA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/J9FGucqSAtHnKSRlAq8VmFMMDfmkp3oazB9j7Rm3ZBPy7-BVIJff*Pn*LiT7GnU9GeUuExKjsdaeSlk9*HMvDGZUd9ol-Y2L/AJALIMORO6.jpg)
AJALI MBAYA YA NOAH MOROGORO
11 years ago
GPLAJALI MBAYA ZILIZOTOKEA ASUBUHI YA LEO
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/e5ojRmBjrO*N53FuqVJTiSxU3T-MWZQDcnTCOupPFA5huAEs2n*6D2d963UB6G2-f0DqqQ0XEFtvUxAruPyPSREX0qO2uRs3/BREAKINGNEWS.gif)
NAPE APATA AJALI MBAYA LINDI
11 years ago
Mwananchi25 Mar
Ajali 10 mbaya zaidi za ndege Tanzania
11 years ago
Mwananchi31 Mar
Ajali mbaya yaua watu 22 Rufiji