Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zantel kupunguza ajali za bodaboda

KAMPUNI ya simu za mikononi ya Zantel imetoa msaada wa vikoti maalumu (reflective safety jackets) 1800 kwa waendesha bodaboda mkoani Mwanza, ili kusaidia kupunguza ajali za barabarani. Vikoti hivyo vyenye...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

‘Tunaweza kupunguza kasi ya ajali’

CHAMA cha Kutetea Abiria nchini (Chakua), kimesema kinaweza kupunguza kwa kiwango kikubwa ajali ndani ya miezi miwili. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Katibu wa chama...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi wajipanga kupunguza ajali

JESHI la Polisi Kitengo cha Usalama Barabarani Mkoa wa Iringa limeweka mikakati ya kupunguza ajali za barabarani zinazozidi kuongezeka kutokana na uzembe wa madereva wachache mkoani hapa. Akizungumza na Tanzania...

 

10 years ago

Mwananchi

Tehama inaweza kupunguza ajali za barabarani

Siku chache zilizopita nilikuwa nikisafiri kwa basi katika nchi moja jirani na Tanzania. Safari hiyo ilikuwa ya masafa marefu kutoka mkoa mmoja hadi mwingine.

 

10 years ago

Mwananchi

Utafiti usaidie kupunguza ajali za barabarani

Takribani watu 300 hupoteza maisha kila mwezi kutokana na ajali za barabarani. Maelfu ya Watanzania wamepata ulemavu na kuziacha familia zao zikiteseka kutokana na ajali za barabarani.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kimomogoro apambanua mbinu za kupunguza ajali

“SERIKALI haiwezi kufanikiwa kupata suluhisho la ajali za barabarani bila kuwashirikisha wananchi ambao ndiyo waathirika wakuu wa ajali hizo. “Itakuwa ni kujidanganya kutegemea tume au vikosi kazi, (task force) vinavyoundwa...

 

5 years ago

CCM Blog

DEREVA BODABODA APATA AJALI

 Askari wa Usalama Barabarani akipima ajali iliyotokea Barabara ya Kilwa eneo la Mivinjeni Dar es Salaam jana iliyohisishwa na Gari lenye Namba za Usajili T 146 ACS kumgonga mwendesha Pikipiki yenye namba za Usajili  MC 919 CKY akitokea upande wa JKT na Dereva wa Gari hilo akijaribu kukatiza marabara eneo hilo la ajali kwa mujibu wa mashuhuda eneo la tukio. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
 Wasamaria wema wakijaribu kumbeba na kumuingiza katika Gari lenye Namba za Usajili T 146 ACS Dereva...

 

9 years ago

Mwananchi

Mjamzito afa ajali ya bodaboda

Mjamzito, Mwajuma Lyanga (20), Mkazi wa Kijiji cha Mtekente, Kata ya Ndago Wilaya ya Iramba mkoani hapa, amekutwa amekufa chini ya daraja kwa ajali ya pikipiki.

 

5 years ago

CCM Blog

DEREVA WA BODABODA APATA AJALI

 Wananchi eneo la Msimbazi Centre Jijini Dar es Salaam wakimwangalia Dereva wa Bodaboda aliyepata ajali ambapo chanzo Cha ajali hakikiweza kupatikana mara moja. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)

 

11 years ago

Habarileo

Ajali za bodaboda zaua wawili

WATU wawili wamekufa katika ajali mbili tofauti zilizohusisha bodaboda na gari zilizotokea jana jijini Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani