DC CHATO AZIHIMIZA KAMATI ZA ELIMU NA KILIMO
![](http://1.bp.blogspot.com/-N_WwYfPepEQ/Uw9Xwqh0VxI/AAAAAAAFQCM/qAL6v3houMU/s72-c/unnamed+(1).jpg)
Mkuu wa Wilaya ya Chato Mhe. Rodrick Mpogolo amezitaka kamati zinazosimamia maendeleo ya kilimo na elimu ngazi ya kata kuhakikisha zinatimiza majukumu yake.
Mkuu wa Wilaya ameyasema hayo mjini Chato wakati akiwasilisha Taarifa ya utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi wa chama cha Mapinduzi (CCM) kwa wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Wilaya.
Mkuu wa Wilaya ya Amesema kuundwa kwa kamati za Kilimo na Elimu katika ngazi ya kata zinatoa fursa kwa wanakamati hao kusimamia masuala yote muhimu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-oaf-ma48Cxw/VlXDLwPuNSI/AAAAAAAIIZI/QZaWSi0ynek/s72-c/1.jpg)
DC CHATO AANZA NA KILIMO
![](http://3.bp.blogspot.com/-oaf-ma48Cxw/VlXDLwPuNSI/AAAAAAAIIZI/QZaWSi0ynek/s640/1.jpg)
Na Richard Bagolele- Chato.
Mkuu wa Wilaya ya Chato Bw. Shaaban Ntarambe amesema wataalamu wa kilimo vijijini wanao wajibu mkubwa katika kuhakikisha uzalishaji wa mazao ya chakula na Biashara unaongezeka na kukidhi mahitaji ya jamii na masoko.
Mkuu wa Wilaya ameyasema hayo kwenye ziara ya kuhamasisha shughuli za kilimo wilayani hapa ziara ambayo ameifanya kwenye tarafa zote tano ambapo...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-6_kw6Sa_xqs/U_IBGc7lQFI/AAAAAAAGAg0/5RjUHX8B0ys/s72-c/unnamed%2B(12).jpg)
BARAZA LA MADIWANI CHATO LATOA TUZO ZA ELIMU
Shule binafsi zilizoongoza ni shule ya msingi Kadama (Kadama English medium), ikifuatiwa na shule ya msingi Emau ( Emau english medium) zote zipo wilayani Chato. Shule za serikali zilizoongoza ni shule ya msingi Magiri iliyoshika nafasi ya kwanza, nafasi ya pili...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Y2rVtjU9ziw/XmoeczA4OII/AAAAAAALiuc/g7SLG3gmjmkPj7Kz4vOW_6x9g_TVANXlgCLcBGAsYHQ/s72-c/8de392a2-fbdf-4daa-852c-4db5fb536ace.jpg)
SERIKALI YAFURAHISHWA NA JITIHADA ZA WILAYA YA CHATO KATIKA KUWEKEZA KWENYE ELIMU
Mweli ameyasema hayo wakati alipotembelea Wilaya hiyo na kukutana na Menejimenti, Walimu pamoja na kukagua ujenzi wa shule mbalimbali zilizoboreshwa na zinazoendelea kuboreshwa Wilayani hapo.
Mweli amesema anatambua jitihada kubwa zinazofanywa katika eneo hili la Elimu ikiwa ni pamoja na kuanzisha ...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-xK39Vwy112I/Ux2dpk1kIAI/AAAAAAAFSqI/WuV5Tupurfk/s72-c/unnamed+(25).jpg)
WAZAZI WANAYO NAFASI KUBWA KUINUA KIWANGO CHA ELIMU - MKUU WA WILAYA YA CHATO
10 years ago
Mwananchi25 Oct
Kamati ya Bunge yawatimua vigogo Wizara ya Kilimo
10 years ago
Habarileo25 Oct
Kamati ya Zitto yawatimua maofisa Wizara ya Kilimo
KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imewafukuza kwenye kikao timu ya Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika iliyoongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo,Sophia Kaduma na kuipa wiki mbili kutekeleza maagizo kisha kuifuata kamati hiyo mjini Dodoma.
10 years ago
MichuziKAMATI YA KILIMO, MIFUGO NA MAJI YATEMBELEA SUDAN
Lengo la ziara hiyo ni kupata uelewa wa pamoja kuhusu ushirikiano uliopo katika kusimamia na kuendeleza rasilimali za Bonde la Mto Nile kati ya Nchi wanachama, huku Tanzania na Sudan zikiwa ni miongoni mwao.
Katika ziara hiyo Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe ambaye ameambatana na...
10 years ago
Habarileo12 Dec
Wakulima 9,000 wanufaika na elimu ya kilimo
WAKULIMA zaidi ya 9,000 kutoka wilaya mbalimbali mkoani Arusha, wamenufaika na elimu ya kuboresha kilimo na kuongezea thamani mazao yao na hatimaye kuwezesha kulima kilimo chenye tija na kuweza kupata masoko ndani na nje ya nchi.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BM3*tIQqFL8LHtRYCzzdfD-5TTaytROMQqpMx7x3*uu3Q51k087a4tWtdqqMkQDllc0Uej5BcJ0py7mDXiHajX*KJTfA2zPy/unnamed9.jpg?width=650)
KAMATI YA BUNGE KILIMO, MAJI NA MIFUGO YAFANYA ZIARA MKOANI MOROGORO