Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DK. FADHILI ADAIWA KUMUINGIZA WOLPER FREEMASON

Mwandishi wetu DAKTARI wa Kitengo cha Sayansi na Tiba Asili kilichopo Mbezi-Afrikana, Dk. Fadhili Emily amedaiwa kuwa ndiye mshirika mkubwa aliyemshawishi mwigizaji wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper kujiunga na taasisi ya siri ya Freemason. Miezi kadhaa iliyopita, mwigizaji huyo aliwahi kunaswa katika jengo la Freemason lililopo Posta jijini Dar ambapo alipoulizwa kuwa anaabudu katika jengo hilo, alikataa na kudai kulikuwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WOLPER ANASWA LIVE FREEMASON

SHANI RAMADHAN NA CHANDE ABDALLAH Mshtuko! Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe ameibua maswali kwa mashuhuda walimuona ‘live’ akiingia kwenye hekalu la watu wa Jamii ya Siri (Secret Society) ya Freemasons yenye nguvu duniani inayohusishwa na imani za kishetani. Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe akiingia kwenye hekalu ilo. TUJIUNGE MTAA WA SOKOINE
Tukio hilo lililoibua kizaazaa...

 

10 years ago

GPL

SKENDO YA FREEMASON YAMGANDA WOLPER

Stori: Gladness Mallya na Musa Mateja
BAADA ya hivi karibuni kunaswa akiingia katika jengo lao, staa mwenye mvuto kunako gemu la filamu Bongo, Jacqueline Wolper amezidi kugandwa na skendo ya Jamii ya Siri (Secret Society) ya Freemason akidaiwa kuishi kwa masharti ya taasisi hiyo huku nyumba yake ikiwa imejaa vitu vinavyodaiwa kuwa vya ‘Ki-freemason’. Staa mwenye mvuto kunako gemu la filamu Bongo, Jacqueline...

 

10 years ago

GPL

WOLPER AZUA KIZAAZAA FREEMASON

Mwandishi Wetu KATIKA toleo lililopita la gazeti hili, ukurasa wake wa pili kulikuwa na habari yenye kichwa; Wolper: Mimi ni Freemason kwa muda mrefu sasa. Soma zaidi hapa ====>bit.ly/1HyK2oY

 

10 years ago

GPL

WOLPER: MIMI NI FREEMASON KWA MUDA MREFU SASA!

Staa wa bongo movie Jacqueline Wolper Massawe ‘Twiga wa Jangwani’. UPO? Mtoto mzuri katika tasnia ya uigizaji Bongo, Jacqueline Wolper Massawe ‘Twiga wa Jangwani’ amesema haoni sababu ya kuukana uanachama wa taasisi ya Wajenzi Huru (Freemason) kwani ni dini kama zilivyo zingine na kama katiba inavyoelekeza, kila mtu anayo haki ya kujiunga na dini au taasisi yoyote ya kuabudu kulingana na matakwa ya imani...

 

10 years ago

GPL

WOLPER ADAIWA KUPORA BWANA WA LUNGI, AJITETEA

Hamida Hassan na Gladnes Mallya Staa wa filamu za Kibongo, Lungi Maulanga amemshangaa msanii mwenzake Jacqueline Wolper kwa kutoka kimapenzi na mwanaume wake aitwaye Jimmy. Staa wa filamu za Kibongo, Jackline Wolper. Sosi wa karibu na mastaa hao alidai kuwa, baada ya hivi karubuni gazeti ndugu na hili la Risasi Jumamosi kuandika kuwa Wolper amepata kigogo mpya aitwaye Jimmy, Lungi alishangaa, akajiuliza imekuwaje tena Wolper...

 

10 years ago

GPL

SNURA ADAIWA ADAIWA KUPORA MUME WA DAVINA

HAMIDA HASSAN
Staa wa muziki wa mduara, Snura Mushi ameingia katika tuhuma nzito akidaiwa kutoka kimapenzi na mume wa rafiki yake Halima Yahya ‘Davina’.
Kwa mujibu wa chanzo chetu makini, kwa kipindi kirefu, Snura amekuwa akionekana nyakati za usiku akiwa na mume wa Davina, wakati mwingine mwanaume huyo anaenda nyumbani kwa Snura au wawili hao kuzungumza kwa muda mrefu ndani ya gari la mwanaume huyo. Staa wa...

 

9 years ago

GPL

MASTAA WAMWANDAMA DK. FADHILI

 Dk. Fadhili Emily. Mwandishi wetu KUFUATIA elimu yake ya kisasa ya jinsi mwanamke yeyote mwenye uzazi anavyoweza kupata watoto mapacha, Dk. Fadhili Emily wa Kitengo cha Sayansi na Tiba Asilia Clinic kilichopo Mbezi Afrikana, ameanza kuandamwa na baadhi ya mastaa wakitaka kukutana naye ‘laivu’ kwa ajili ya kuwapa somo hilo kwa ufasaha zaidi. Akuzungumza na Ijumaa Wikienda juzi, Dk. Fadhili alisema mastaa kibao (hakuwataja...

 

11 years ago

Michuzi

BONDIA FADHILI AWADH AFARIKI

Bondia wa ngumi za kulipwa Fadhili awadh amefariki dunia katika hospital ya Mwananyamala jijini Dar es salaam baada ya kuugua kwa siku kadhaa.  Marehemu Fadhili Awadh alikuwa ni miongoni mwa mabondia waliochaguliwa kucheza  mpambano wa ubingwa tarehe 29 mwezi huu wa tatu dhidi ya mpinzani wake toka Tanga Alan Kamote, na  alikuwa katika maandalizi ya mpambano huo.  Sababu ya kifo chake kwa ripoti ya daktari wa Mwananyamala kwa kiongozi wa ngumi Ibrahim Kamwe ni kuwa fadhili alikuwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani