Dk. Mpuya: Dodoma haina uhaba wa dawa
MGANGA Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, Dk. Ezekiel Mpuya amesema pamoja na Bohari Kuu ya Dawa (MSD), kusitisha kutoa dawa kwa Serikali lakini mkoa hauna uhaba....
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi09 Jun
‘Boxpedia’ dawa ya uhaba wa walimu wa sayansi
10 years ago
Mwananchi18 Nov
Wagonjwa walalama uhaba wa dawa, huduma duni
10 years ago
Mwananchi28 Oct
Uhaba wa dawa, vifaa tiba mzigo kwa Serikali
10 years ago
MichuziFAFANUZI KUHUSU UHABA WA DAWA MUHIMU NA VIFAA TIBA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMI.
Kuna taarifa katika vyombo vya habarii liyotolewa na Shirika lisilo la Kiserikali la SIKIKA ,kwamba serikali haijalipa kiasi cha shilingi bilioni 90 kwa bohari kuu ya dawa na kusababishia ukosefu dawa katika baadhi ya hospitali.
Ni kweli bohari kuu ya dawa imepungukiwa fedha za kununulia dawa , lakini sio kwa kiasi cha kushindwa kutoa huduma kabisa kama inavyoelezwa. Kiasi cha pesa kinachotajwa si kigeni na serikali imekua...
10 years ago
Habarileo11 Sep
Mfumo mpya wa kusambaza dawa Dodoma
MKOA wa Dodoma katika kuondoa tatizo la dawa katika zahanati na vituo vya afya vijijini, imeanzisha mfumo maalumu ujulikanao kama ‘Prime Vendor’ (PV) utakaowezesha zahati na vituo vya afya kusambaziwa dawa na msambazaji binafsi, chini ya mpango wa ubia kati serikali na sekta binafsi (PPP).
10 years ago
Tanzania Daima25 Nov
Dodoma, Mtwara mfano bora uagizaji dawa
NAIBU Waziri wa Afya Dk. Steven Kebwe ameipongeza mikoa ya Dodoma na Mtwara kwa kuwa na wazabuni wa dawa ambao huifanya mikoa hiyo kutokuwa na ukosefu wa dawa pindi Bohari...
10 years ago
Dewji Blog10 Sep
Mkoa wa Dodoma kuzindua mradi wa kukabiliana na upungufu wa dawa katika hospitali na zahanati kesho
Na Mwandishi wa MAELEZO, Dodoma
Mkoa wa Dodoma unatarajia kuzindua Mradi wa Kuboresha na kuimarisha mfumo wa uuzaji na usambazaji wa dawa katika wilaya zote.
Hatua hiyo inalenga kuboresha na Kuimarisha Mfumo wa Afya ili kukabiliana na upungufu wa huduma za dawa katika Hospitali ,Vituo vya Afya na Zahanati katika Mkoa wote wa Dodoma.
Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa leo mjini Dodoma chini ya Mradi wa Tuimarishe Afya wa Uswis na Tanzania , duka mmoja la dawa...
10 years ago
VijimamboBODI YA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR YAANGAMIZA TANI 8.5 ZA DAWA NA VYAKULA.
5 years ago
MichuziDUKA LA DAWA HOSPITALI YA BAGAMOYO LASAIDIA UPATIKANAJI WA DAWA KIRAHISI
Duka hilo lililoanzishwa kwa mtaji wa sh.milioni 4, walianza kununua dawa muhimu na za lazima kwa wateja wa Bima.
Hayo yalielezwa na Mganga Mkuu wa wilaya (DMO) Dk. Aziz Msuya mbele ya viongozi wa halmashauri ya...