Dokta kikwete akiri uchaguzi kuwa mgumu
Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi CCM Taifa dokta Jakaya Kikwete ameonya kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu ni mgumu kwa vyama vyote vya siasa na kuhimiza viongozi wa vyama hivyo kuhakikisha wanafanya kampeni za kutosha ili kuwapa nafasi zaidi wananchi kufanya maamuzi sahihi.
Dk.Kikwete ametoa rai hiyo kabla ya kumkabidhi ilani ya uchaguzi ya chama cha mapinduzi CCM mgombea urais anayetetea kiti chake katika uchaguzi mkuu wa Zanzibar Dokta.Ali Mohammed Shein.
Dokta Kikwete ni miongoni mwa...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania27 Aug
Bashe: Uchaguzi huu ni mgumu
Na Odace Rwimo, Nzega
KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mjumbe wa mkutano mkuu CCM taifa, Hussein Bashe, amewaambia wanachama wenzake kukaza buti kwani uchaguzi wa mwaka huu ni mgumu.
Bashe alisema hayo wakati akizungumza na wanachama wenzake pamoja na waandishi wa habari katika ofisi za chama hicho wilayani Nzega.
Alisema wanaCCM wanatakiwa kutambua kuwa uchaguzi wa mwaka 1995,2000,2005,2010 na huu wa 2015 kuna tofauti kubwa, hivyo wanatakiwa
kujipanga.
Bashe aliyepitishwa na CCM kuwania...
9 years ago
Mwananchi02 Nov
Malocha: Uchaguzi ulikuwa mgumu
9 years ago
Mwananchi20 Aug
Jaji Mwaikasu: Uchaguzi Mkuu mgumu
10 years ago
Mwananchi30 Mar
UCHAGUZI MKUU: Mwezi mgumu kwa Lowassa
9 years ago
Bongo521 Dec
Naj: Ilihitaji moyo mgumu kuwa mpenzi wa Mr Blue (Audio)
Naj alihitaji kuwa na moyo wa chuma kuweza kuishi kama mpenzi wake wa zamani, Mr Blue.
Mrembo huyo anadai wakati walipokuwa na uhusiano, Mr Blue alikuwa akisumbuliwa na wasichana usiku na mchana.
“Kama hujiamini unaweza ukaumia sana,” alisema.
“Kwangu mimi zile nilikuwa nazichukulia tu kama kawaida. I was just thinking kwasababu anazipokea [simu] pale mbele yangu, maybe alikuwa anazichagua za kupokea. I was very young,” alikumbushia.
Sikiliza kipindi chote hapo chini.
Jiunge na...
11 years ago
MichuziCCM YAMTEUA NDG. RIDHIWANI KIKWETE KUWA MGOMBEA WA UBUNGE KWENYE UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA CHALINZE
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imemteua Kada wa CCM, Ridhiwani Kikwete kuwa mgombea wake wa Ubunge katika uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze kuziba nafasi iliyoachwa wazi na mbunge wa zamani wa jimbo hilo, marehemu Said Mwanamdogo.
Taarifa iliyotolewa na Makao Makuu ya CCM kupitia Idara ya Itikadi na uenezi CCM, imesema wakati uzinduzi wa kampeni za CCM katika uchaguzi huo utafanywa na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, kampeni za zitaongozwa na Katibu wa...
11 years ago
Bongo501 Aug
Madee adai muziki umekuwa mgumu kutokana na nyimbo kuwa nyingi
10 years ago
GPLDAVIDO AKIRI KUWA NA MTOTO WA KIKE
9 years ago
BBCSwahili26 Aug
Msichana wa miaka 16 akiri kuwa gaidi