Dola yaombwa kusambaratisha ugaidi
TUME ya Kikristo ya Huduma za Jamii (CSSC), imeomba Serikali kutumia dola kusambaratisha mtandao wa ugaidi, ambao umekuwa ukilipua makanisa na maeneo yake.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi14 Jan
Kikwete: Tumedhamiria kusambaratisha uasi DRC
5 years ago
MichuziTAKUKURU YAKANUSHA KUSAMBARATISHA MKUTANO WA PROF. MKUMBO, MKOANI SINGIDA
TAASISI ya kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imekanusha taarifa inayosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusiana na Mamlaka hiyo kusambaratisha mkutano wa Katibu mkuu wa Wizara ya Maji, Profesa. Kitila Mkumbo na wajumbe wa mkutano mkuu wa Wilaya (CCM) Iramba, Mkoani Singida.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mamlaka hiyo leo Machi 30 imekanusha na kueleza kuwa taarifa hiyo iliyokuwa ikisambazwa katika mtandao wa kijamii wa Facebook sio kweli.
Imeelezwa...
10 years ago
GPLMAUAJI YA POLISI 2 MKOA WA PWANI UGAIDI UGAIDI
5 years ago
MichuziKALIST ASEMA CCM HAITATUMIA DOLA KUTAKA MADARAKA BALI DOLA KWA NI KUTUMIA KWA KUTUMIKIA WANANCHI
Mstahiki Meya Mstaafu wa Jiji la Arusha Kalist Lazaro akiongea na vyombo vya habari leo leo jijini Arusha
Na Ahmed Mahmoud Arusha
CHAMAcha Mapinduzi,CCM, hakitatumia dola kubakia madarakani bali kitaitumia dola katika kuwatumikia na kuwahudumia wananchi kwa kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo na kuboresha huduma za jamii.
Hayo yameelezwa leo jijini Arusha kwenye ukumbi wa Hotel ya Arusha Palace, na aliyekuwa Meya wa Jijiji la Arusha,Kalisti Lazaro,alipokuwa akitolea ufafanuzi kauli ya...
10 years ago
BBCSwahili03 Jul
Ugiriki yaombwa kusema, 'La'
10 years ago
BBCSwahili01 Sep
Marekani yaombwa silaha Ukraine
10 years ago
BBCSwahili11 Jun
Mataifa yaombwa kuungana dhidi ya IS
10 years ago
Mtanzania02 May
Serikali yaombwa kuwabana waajiri
Ramadhani Hassan na Pendo Mangala
WAFANYAKAZI Mkoa wa Dodoma wameishauri Serikali ihakikishe waajiri wanawaongezea mishahara kwa sababu malipo wanayolipwa sasa ni madogo.
Hayo yalisemwa jana na Katibu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Mkoa wa Dodoma, Ramadhani Mwenda, wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri.
Mwenda alisema kipato cha ujira wa mshahara wa mwezi hakitoshi na kwamba mishahara ya watumishi ni...
10 years ago
Tanzania Daima30 Sep
Serikali yaombwa ruzuku Skauti
SERIKALI imeombwa kutenga bajeti maalumu itakayotolewa ruzuku kwa vijana Skauti nchini ikiwa ni hatua mojawapo ya kuwaandaa kuwa na uzalendo. Ombi hilo lilitolewa na Kamishina Mkuu Msaidizi Programu za VijanaSkauti,...