Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Duara la Utajiri

Niliwaza kwa nini mtu kama Eric anamtaja Mungu. Akili yangu daima nilijua kuwa hakuna tajiri katika ulimwengu huu aliupata kwa kumtumaini Mungu na kumwamini maana ndiye chanzo cha mafanikio ya mwanadamu. Usiku ule sikusumbuka sana kwani macho na masikio yangu vilimwona na kumsikia Eric ambaye sasa niliishi naye  chumbani mwangu kupitia santuri. Hata hivyo moyo wangu ulihitaji guso halisi la Eric. Uzito wa upweke na kukiona kitanda ilikuwa ni tabia ambayo ilienea baada ya kupokea barua za...

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Meza ya Duara, Mada kilichojiri mkutono wa Ccm Jangwani kumtambulisha Dr Makufuli

The post Meza ya Duara, Mada kilichojiri mkutono wa Ccm Jangwani kumtambulisha Dr Makufuli appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

GPL

UTAJIRI WA VICKY...

Stori: Jelard Lucas
WANAWAKE na maendeleo, tufanye kazi, tusonge mbele, yelele…yelele… Hii sehemu ya mashairi ya wimbo wa staa wa muziki wa kizazi kipya na Mbunge wa Viti Maalum (UVCCM), Geita, Vicky Kamata anayetajwa kuwa na utajiri balaa. UWAZI LINA KILA KITU
Vicky amepata mafanikio makubwa ambayo kila mwanamke Tanzania angependa kuyapata. Gazeti hili lilimchimba kwa kina na kupata utajiri wote alionao kwa sasa....

 

11 years ago

GPL

UTAJIRI WA DIDA GUMZO!

Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan
AMINI usiamini lakini ndivyo ilivyo! Utajiri wa Mtangazaji wa Radio Times FM ya jijini Dar, Khadija Shaibu ‘Dida’ umeibua gumzo midomoni mwa watu wakidai kuna walakini juu ya upatikanaji wake. Toyota Verossa ikiwa imepaki pembeni ya ghorofa analodaiwa kumiliki Dida. Kwa mujibu wa chanzo makini, Dida ana utajiri mnono lakini anafanya siri ili watu wasiulize alikoupatia kwa...

 

11 years ago

GPL

UTAJIRI WA MASANJA KUFURU!

Stori: Shakoor Jongo
UTAJIRI wa komediani maarufu Bongo,  Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ ni kufuru! Tena unatisha na sasa anaonekana kuwa miongoni mwa wasanii wanaomiliki fedha na mali nyingi Bongo, Risasi Mchanganyiko linakupa zaidi. Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ akiwa mbele ya usafiri na mjengo wake. HABARI MEZANI
Awali, habari kuhusu utajiri wa Masanja ilitua mezani mwa gazeti...

 

10 years ago

Vijimambo

TANZANIA YETU NA UTAJIRI WA ASILI

Kwanza kabisa nianze kwa kusema kuwa Mwenyezi Mungu ametubariki kwa utajiri wa maliasili uliotukuka katika nchi yetu ya Tanzania. Tukianzia kwenye Bahari na mpaka Maziwa. Ni nchi pekee katika bara la afrika kuzungukwa na maziwa makuu matatu. Yenye uoto wa asili na ndipo panaposadikiwa kuwa mpaka sasa inasadikika kuwa binaadamu wa kwanza alitoka hapa kutokana na rekodi za fuvu lililovumbuliwa kule Olduvai Gorge. Tuna mbuga nyingi lakini katika mbuga hizo Serengeti ndio kinara wa mbuga zote...

 

10 years ago

Habarileo

Gwajima akana utajiri wake

Josephat GwajimaASKOFU Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, amesema yeye si tajiri kama inavyodhaniwa, bali alichonacho ikiwa ni pamoja na nyumba, magari na helikopta ni baraka tu za Mungu, lakini kama ni utajiri, anatarajia siku moja utamshukia.

 

11 years ago

Habarileo

Majirani kushiriki utajiri wa gesi

UTAFITI zaidi wa mafuta na gesi unaoendelea nchini, unaweza kuilazimu nchi kuingia katika makubaliano ya uzalishaji wa pamoja wa sehemu ya nishati hiyo na nchi za jirani. Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa iliyowekwa hivi karibuni katika Tovuti ya Ofisi ya Takwimu ya Taifa, imefafanua kwa undani historia ya mafanikio ya sekta hiyo muhimu kwa maisha ya kiuchumi ya Watanzania na uwezekano huo katika siku za hivi karibuni. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kuna baadhi ya miamba inayozalisha gesi...

 

10 years ago

Mwananchi

Magadi soda ni utajiri mwingine

Magadi soda ni raslimali ambayo tayari imefikiriwa inaweza kutoa ajira kwa maelfu ya watu nchini.

 

10 years ago

Habarileo

Dewji kugawa utajiri wake

Mbunge wa Singida Mjini, Mohammed Dewji akizungumza na wananchi wa jimbo lake.MFANYABIASHARA na mwanasiasa maarufu nchini, Mohammed Dewji (39) anatarajia kuanzisha taasisi yake ya Mohammed Foundation mwezi ujao, itakayotoa misaada mbalimbali kwa jamii na ametenga mabilioni ya fedha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani