Exclusive ya Shilole: Allivyoolewa na dereva wa Lori, alivyokuwa Muhudumu Hotelini na alivyoagizwa kumtongoza Ray.
Kutana na Exclusive Interview ya mwimbaji wa bongofleva ambaye anatupa stori zake zote, za jinsi alivyokuja mara ya kwanza Dar es salaam baada ya kuolewa na dereva wa Lori akitokea Igunga pamoja na ishu nyingine, tazama hizi video mbili hapa chini kuna part 1 na 2. PART TWO YA VIDEO NDIO HII HAPA CHINI Unataka […]
The post Exclusive ya Shilole: Allivyoolewa na dereva wa Lori, alivyokuwa Muhudumu Hotelini na alivyoagizwa kumtongoza Ray. appeared first on TZA_MillardAyo.
MillardAyo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo18 Dec
Exclusive: Shilole alivyoolewa na dereva wa Lori, alivyouza soda stand ya basi na kuletwa Dar mara ya kwanza
Shilole ni mwigizaji lakini pia msanii kwenye bongofleva ambao ni muziki wa kizazi cha sasa Tanzania, ni miongoni mwa mastaa wa kike wenye mapito yao kwenye haya maisha ambapo leo anatusimulia jinsi alivyoolewa na dereva wa Lori na kuletwa Dar es salaam, alivyofanya biashara kwenye kituo cha Mabasi pamoja na ishu nyingine, bonyeza play kwenye […]
The post Exclusive: Shilole alivyoolewa na dereva wa Lori, alivyouza soda stand ya basi na kuletwa Dar mara ya kwanza appeared first on...
10 years ago
Bongo Movies04 Aug
Nuh Mziwanda Ajibu Tuhuma za Kumtongoza Wema, Shilole Aongea
Baada ya kusambaa sauti ya Nuh Mziwanda akimtongoza Wema Sepetu, muimbaji huyo ameibuka na kukanusha kuwa sauti hiyo sio yake na kumtuhumu Wema kuitengeneza sauti hiyo.
Akizungumza na Bongo5 leo akiwa na mpenzi wake Shilole, Nuh amesema kitendo kilichofanywa na Wema pamoja na timu yake sio cha kistaarabu.
“Mimi nimetake easy, ni mambo ya dunia kwa sababu ni mambo ya dunia ambayo yapo duniani. So wameamua tu kufanya vile sio suala ambalo lipo na sio suala sahihi,” amesema Nuh.
“Ile sio...
11 years ago
Habarileo07 Mar
Dereva lori la mafuta afa ajalini
DEREVA wa gari la mafuta Ally Ngoma (62) amefariki dunia baada ya gari alilokuwa akiendesha kugongana na basi dogo la abiria.
11 years ago
Habarileo24 Jan
Taqwa lagongana na lori, dereva afa
DEREVA wa basi la kampuni ya Taqwa, Adam Ibrahim (50) amekufa papo hapo huku abiria kumi wakijeruhi baada ya gari alilokuwa anaendesha kutoka Dar es Salaam kwenda Bujumbura, Burundi kugongana na lori katika kitongoji cha Ngonho, Kata ya Miguwa wilayani hapa.
11 years ago
GPL
AJALI YA LORI YAUA DEREVA SEKENKE, SINGIDA
10 years ago
Mwananchi03 Apr
Dereva wa lori lililoua 50 Mafinga afungiwa leseni
11 years ago
GPLTASWIRA ZA AJALI YA MIKESE ILIYOUA DEREVA WA LORI LA MAFUTA
11 years ago
Mwananchi28 May
Dereva aporwa lori la mafuta akiwa kwenye foleni mizani
5 years ago
Michuzi
MGONJWA MWINGINE WA CORONA AONGEZEKA, NI DEREVA WA LORI, SASA WAFIKIA 13


Charles James, Globu ya JamiiIDADI ya wagonjwa wenye...