Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Gunia la mahindi laua watoto wawili

Kamanda wa Polisi mkoani Tabora, Suzan KagandaWATOTO wawili wa familia moja wamefariki dunia baada ya kuangukiwa na gunia la mahindi nyumbani kwao katika kijiji cha Katunguru, kata ya Usisya wilayani Urambo mkoani hapa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Gunia la mahindi Sh. 12,000/-

WAKULIMA na wavuvi wa mjini Sumbawanga wameendelea kusota kutokana na kushuka kwa bei ya mahindi na samaki wabichi wanaovuliwa katika Ziwa Tanganyika wilayani Kalambo kwa kukosa soko la uhakika.

 

11 years ago

Mwananchi

Basi laua wawili, kujeruhi 40

 Ajali ya ndege na nyingine ya basi, zimesababisha vifo vya watu wawili na wengine zaidi 50 kujeruhiwa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Trekta lagonga bodaboda laua wawili.

WATU wawili wamekufa kwa kugongwa na trekta katika kijiji cha Mtakata kata ya Magamba wilayani Mlele mkoani Katavi. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Katavi Kamishina mwandamizi msaidizi Dhahiri Kidavashari...

 

10 years ago

Dewji Blog

Basi la Kidia Express laua wawili Dodoma leo

1488854_701257736605560_2008511960432026935_n

Na Mwandishi wetu wa modewjiblog, Dodoma

Habari zilizotufikia kutoka Mkoani Dodoma: Basi la Kidia One  Express lagongana na lori na kudaiwa kusababisha vifo vya watu wawili huku likijeruhi abiria kadhaa. Taarifa hiyo ilieleza kuwa ajali hiyo iliyotokea leo majira ya saa Saba mchana.

Taarifa kutoka chanzo cha ajali hizo zilieleza kuwa, ajali hiyo imetokea maeneo ya Mbande, njia ya kuelekea Dodoma kutoka Morogoro, ambapo basi la abiria la Kidia Express, limegongana na lori.

Imeelezwa kuwa,...

 

9 years ago

Mwananchi

Msaidizi wa IGP na familia yake wafa maji, basi laua wawili

Watu wanane akiwamo msaidizi wa Mkuu wa Jeshi la Polisi, Mkaguzi wa Polisi, Gerald Ryoba na familia yake wamekufa baada ya kusombwa na maji katika eneo la Kibaigwa wilayani Kongwa baada ya mvua kubwa iliyonyesha katika eneo hilo.

 

11 years ago

Dewji Blog

Basi la Lushanga laua mmoja na kujeruhi wawili Sengerema, Picha na habari ziko hapa!

 

DSC_0221

Kijana ambaye ni dereva wa toroli la miguu minne jina lake halikuweza kupatikana mara moja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 32 amefariki dunia papo hapo na kupasuka Kichwa baada ya kugongwa na basi la abiria lililokuwa likitokea mkoa wa Geita kuelekea jijini Mwanza kwenye makutano ya barabara ya Kamanga na Busisi wilayani Sengerema mkoani Mwanza. Kijana huyo pia alikuwa akiendesha Pikipiki bila kuvaa “Helmet” huenda ingemsaidia asipasuke Kichwa.(Picha na Zainul Mzige).

Na MOblog,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Shimo la choo laua watoto

WATOTO wawili wamefariki dunia juzi baada ya kutumbukia kwenye shimo la choo walipokuwa wakicheza. Watoto hao wametajwa kuwa ni Abubakari Mohamed (3) mkazi wa Vingunguti na Abdulmalick (3) mkazi wa...

 

11 years ago

Michuzi

MAMA ALIYEZAA WATOTO WANNE APELEKWA KATIKA KITUO MAALUMU NA WATOTO WAKE WAWILI WALIOBAKI KWA AJILI YA UANGALIZI.

UONGOZI wa Hospitali ya Rufaa ya Mbeya kupitia kitengo cha Ustawi wa jamii umemtafutia kituo cha kulelea watoto wa mitaani cha Nuru Ophans Centre Mama aliyejifungua mapacha wanne na kubakia wawili baada ya kuugua Nimonia kwa ajili ya uangalizi wa karibu.  Hatua hiyo imekuja baada ya uongozi wa Hospitali hiyo kumfuata mama mwenye watoto hao Aida Nakawala(25) pamoja na mapacha wake waliobaki kutoka kijijini kwao Chiwanda Wilaya ya Momba mkoani hapa na kuwalaza hospitalini hapo kwa uangalizi...

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania kuuza mahindi Kenya tani 50,000 za mahindi

Serikali ipo katika hatua za mwisho za makubaliano ya kuuza tani 50,000 za awali za mahindi nchini Kenya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani