Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HATIMAYE MGOMO UMEISHA.

Madereva wametangaza kumaliza mgomo baadala ya kufikia muafaka na mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda na kuundwa kwa kamati itakayosimamia matatizo ya madereva kwa na kutoa taarifa baada ya siku saba. Mabasi ya mikoani kutoka Ubungo sasa yameanza safari baada ya mgomo wa takriban siku 2. Makubaliano yaliyofikiwa ni kuundwa kwa kamati ya madereva zaidi ya 8 watakaokutana na mkuu wa wilaya kuanzia kesho. Kamati iliyoundwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

TMA: Msimu wa mvua umeisha

Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dk Agnes Kijazi MAMLAKA ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imesema msimu wa mvua za mwisho wa mwaka unaisha leo, ingawaje bado inatarajiwa kuwa na mvua kuanzia mapema mwaka 2015.

 

11 years ago

GPL

MWAKA UMEISHA, TUMEFIKIA MALENGO?

MUNGU ni mwema sana. Ni bahati kubwa sana kwamba leo tumekuwa miongoni mwa watu ambao muumba wetu amewabariki kuwa hai na wenye afya njema, kwa sababu muda mchache tu uliopita, waliokuwa kama sisi hali zao zilibadilika ghafla, kwa wengine kufariki, kuugua na hata kujeruhiwa vibaya. Huu ni ushahidi juu ya namna ambavyo Mungu ni wa ajabu sana na yatupasa kumshukuru na kumsujudia, kwani kwake yeye, kila jambo linawezekana. Baada ya...

 

10 years ago

GPL

MWAKA UMEISHA UMEVUNA NINI

NAAM! kama kawaida tumekutana tena kwenye kona yetu ili tujuzane machache,  tumeona  wenyewe jinsi sikukuu ya Xmas ilivyokwisha, je mwenzangu ulipata au ulipatikana. Nasikia wapo waliopombeka mpaka wakazimika, mmmh makubwa watu wengine hawanywi mpaka sikukuu. Hivyo unakunywa mpaka unazimika unategemea nini, wenzako wakubebe eeh uwape shida kwa raha zako za kijinga, haipendezi jamani kunyweni kadri ya uwezo wenu siyo lazima...

 

9 years ago

GPL

SHAMSA:TUMALIZENI BIFU, UCHAGUZI UMEISHA

Gladness Mallya STAA wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford amewataka wasanii wenzake waliotofautiana wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25, mwaka huu kumaliza bifu kwani zoezi hilo limemalizika na maisha lazima yaendelee. Staa wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford. kipiga stori na gazeti hili, Shamsa alisema anamshukuru Mungu yeye hakuwa na bifu na mtu kwa sababu alijua kabisa kuna maisha baada ya uchaguzi ila...

 

10 years ago

Vijimambo

Muda wa Jakaya Ndio Umeisha, Babu Seya Ndio Basi Tena?


Wanamuziki Nguza Viking na Papii Kocha wanaotumikia kifungo cha maisha jela, wamemuomba Rais Jakaya Kikwete awasamehe kwa makosa waliyofanya.Nguza na mwanaye Papii walitoa ombi hilo kupitia wimbo wakati wakitumbuiza katika maadhimisho ya Siku ya Magereza yaliyofanyika Chuo cha Magereza Ukonga jijini Dar es Salaam.
Ombi hilo waliliwasilisha kupitia kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe aliyekuwa mgeni rasmi kwenye sherehe hizo ambapo Nguza maarufu Babu Seya na mwanawe, Johnson...

 

11 years ago

GPL

HATIMAYE JOHARI KUOLEWA!

Stori: Mayasa Mariwata na Gabriel Ng’osha KILA jambo na wakati wake! Hatimaye staa wa filamu za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ yuko kwenye mwanga wa maisha ya ndoa kufuatia Kiongozi wa Kundi la Mtanashati, Ostaz Juma Namusoma kuweka wazi uhusiano wao wa kimapenzi huku akisema ana mpango wa kumuoa kabisa, Risasi Jumamosi linakupa zaidi. Staa wa filamu za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’. ...

 

10 years ago

Bongo Movies

Hatimaye Shilole Asamehewa

Staa wa Shilole baada ya sakata lake la kusambaa kwa picha zinazoonesha sehemu ya maungo yake ya siri hadharani akiwa katika onesho huko Ubeligiji, hatimaye amejisalimisha BASATA kujieleza na kusamehewa rasmi kwa kosa alilofanya.

Shilole, maarufu zaidi kama Shishi Baby ameweka wazi taarifa hizo kwa mashabiki wake kuwaweka sawa, hasa pia baada ya taarifa kutoka kwa BASATA na tamko la Serikali Bungeni kuwa atachukuliwa hatua.

Eatv.tv

 

10 years ago

BBCSwahili

Mazrui hatimaye azikwa

Msomi maarufu marehemu Profesa Ali Mazrui hatimaye amezikwa.

 

11 years ago

GPL

HATIMAYE OKWI ATUA

Emmanuel Okwi. Kiungo mshambuliaji wa kimataifa  wa Yanga kutoka nchini Uganda Emmanuel Okwi ametua hivi punde katika uwanja wa ndege wa Mwalimu JK Nyererere akitokea nchini Uganda kwa ndege ya shirika la Rwanda Air.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani