Helikopta yadunguliwa na kuua 9 Ukraine
Maafisa nchini Ukraine wamesema waasi wamelipua helikopta iliyokuwa imewabeba wanajeshi wa serikali na kuwauwa watu tisa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili14 Jun
Ndege ya kijeshi ya Ukraine yadunguliwa
11 years ago
Bongo518 Jul
Picha: Ndege ya Malaysian Airlines MH17 yadunguliwa na kuuwa abiria wote 295
11 years ago
Mwananchi10 Mar
Helikopta yazua gumzo Kalenga
10 years ago
GPLHELIKOPTA YA GWAJIMA YAZINDULIWA LEO
9 years ago
Habarileo25 Aug
Magufuli akataa kutumia helikopta
MGOMBEA urais wa CCM, Dk John Magufuli amesema katika sehemu kubwa ya kampeni yake, atatumia zaidi usafiri wa barabara ili apate fursa ya kuzijua kwa karibu kero za wananchi katika maeneo mengi ya nchi.
9 years ago
Habarileo09 Sep
Chadema vijijini kwa helikopta
KATIKA jitihada za kuhakikisha kuwa Chadema kupitia vyama vinayounda Ukawa inashinda majimbo yote mkoani Rukwa kwa nafasi ya ubunge, wamejipanga kutumia usafiri wa helikopta kwa siku nne mfululizo ili kuwafikia wapigakura walioko vijijini.
11 years ago
Habarileo28 Jan
Chadema kurusha helikopta 10, kuandamana
MWENYEKITI wa Baraza la Vijana Chadema (BAVICHA), John Heche, amesema chama hicho kinatarajia kurusha angani chopa 10 na kufanya maandamano nchi nzima kuishinikiza Serikali kufanya marekebisho ya Daftari la Kudumu la Wapigakura kabla ya zoezi la kura ya maoni ya Katiba mpya kuanza.
10 years ago
Mwananchi12 May
Helikopta ya Ndesamburo yazua sokomoko
9 years ago
Habarileo20 Oct
Helikopta iliyomuua Filikunjombe ni ya Kalonzo
HELIKOPTA iliyoanguka na kusababisha vifo vya watu wanne akiwamo mgombea ubunge wa jimbo la Ludewa kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Deo Filikunjombe na rubani wake, Kapteni William Silaa, ilikuwa mali ya Makamu wa Rais wa zamani wa Kenya, Kalonzo Musyoka.