Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HIVI NDIVYO MVUA ILIVYOHARIBU MAZINGIRA JIJINI DAR

    Mwavuli unaotumiwa na wafanyabiashara wadogowadogo  ukiwa umechukuliwa na maji na kutumbukia kwenye shimo eneo la stendi ya mabasi Ubungo.          Maji yakiwa yametuhama…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

HIVI NDIVYO MVUA ILIVYOLIVURUGA JIJI LA DAR ES SALAAM!

(PICHA NA GLOBAL WhatsApp +255 753 715 779)

 

9 years ago

MillardAyo

Pichaz 15 baada ya mvua kunyesha Dar leo December 15, hivi ndivyo hali ilivyo mitaani

Asubuhi ya December 15 jijini Dar Es Salaam ilinyesha mvua kubwa katika maeneo mbalimbali kiasi hata kupelekea baadhi ya watu, kushindwa na wengine kuchelewa kwenda kazini kutokana na mvua kuwa kubwa. Mtu wangu wa nguvu baada ya mvua kukata ilibidi nitembelee mitaa tofauti tofauti ya Jiji la Dar Es Salaam ili kuona hali ya maeneo […]

The post Pichaz 15 baada ya mvua kunyesha Dar leo December 15, hivi ndivyo hali ilivyo mitaani appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Michuzi

HIVI NDIVYO HALI ILIVYO KATIKA DARAJA LINALOUNGANISHA ENEO LA TANDALE NA MWANANYAMALA JIJINI DAR

 Hivi ndivyo hali ilivyo katika hili ni Daraja lilalounganisha eneo la Tandale na Mwananyamala jijini Dar es Salaam, ambapo wananchi wanaokaa maeneo ya jirani na Daraja hilo waliamua kukusanya viroba vilivyosheheni taka ngumu na kuwevilundika kwenye kingo za Daraja hilo ili kudhibiti maji yasiendelee kuchimba njia hiyo. Hali hii imekuja kutokana na mafuriko ya maji yaliyotokea hivi karibuni katika maeneo mengi hapa jijini kutokana na Mvua kubwa zilizokuwa zikinyesha.
Hali ilivyo katika...

 

11 years ago

Michuzi

HIVI NDIVYO MAMBO YALIVYOKUWA BAADA YA WAJASILIAMALI WALEMAVU WAFUNGA BARABARA YA KAWAWA NA UHURU JIJINI DAR

Kundi la walemavu, wajasilimali wafanyabiashara ndogo ndongo, leo May 20, 2014 wamefunga makutano ya barabara ya Kawawa na Uhuru (Karume) kwa muda wa masaa matatu wakishinikiza Serikali iwapatie maeneo ya kufanyia biashara baada ya kuwaondoa katika eneo la Mtaa wa Kongo Kariakoo jijini Dar es Salaam. Askari wa Jeshi la Polisi wakiwa Juu ya gari kuangalia tukio hilo lililodumu kwa muda wa zaidi ya masaa matatu katika eneo la makutano ya barabara ya Kawawa na Uhuru (Karume).  Baadhi ya...

 

11 years ago

Michuzi

HIVI NDIVYO HALI ILIVYO KATIKA SOKO LA ILALA MCHIKICHINI JIJINI DAR BAADA YA KUTEKETEA KWA MOTO

 Sehemu ya wafanyakazi wa Kikosi zimamoto wakiendelea na zoezi la kuzima moto ulioteketeza kabisa Soko la Ilala Mchikichini Jijini Dar es salaam leo.Moto huo ulianza majira ya saa sita usiku wa kuamkia leo na kuteketeza kila kilichokuwepo katika eneo la soko hilo. Chanzo cha kutokea kwa moto huo bado hakijajulikana mpaka sasa.Picha zote na Othman Michuzi.  Kazi ya kuzima moto ikiendelea.  Jitihada za kuuzima moto huo bado zinaendelea.  Moto bado unaendelea kuwaka mpaka wakati huu,huku...

 

10 years ago

Michuzi

HIVI NDIVYO MAMBO YALIVYO KATIKA MAENEO YALIYO KANDO NA BONDE LA MTO MSIMBAZI,VINGUNGUTI JIJINI DAR

Katika pita pita za kila siku mtaani,hivi karibuni kamera yetu ilikatiza maeneo ya Vingunguti pembezoni mwa bonde la Mto Msimbazi na kukutana na hali kama ionyekanavyo pichani hapa.kiukweli mambo si shwari katika eneo hili hasa usalama wa afya kwa wakazi waliozunguka eneo hilo.ukiangalia kwa makini utabaini kuwa kuna watoto wadogo wakiendelea na michezo katika eneo hilo bila kufahamu kuwa wapo hatarini kiafya.
BOFYA HAPA KUTEMBELEA LIBENEKE LA MTAA KWA MTAA  KUONA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Michuzi

TAZAMA ATHARI YA MVUA ILIONYESHA JIJINI DAR NA KUPELEKEA UHARIBIFU MKUBWA WA MIUNDOMBINU KAMA HIVI.

Athari ya mvua hasa kwa miundo mbinu ni kubwa,pichani ni sehemu ya barabara ya mbezi chini ikiwa imekatika kufuatia mvua kubwa ilionyesha siku nzima ya jana.Uchafu mkubwa uliokuwa umeziba daraja la mto mbezi chini ukiondolewa baada ya maji ya mto huo yaliyokuwa yakitiririka kwa kazi,kuziba kwa daraja hilo ilipelekea maji ya mto huo kupita juu ya daraja na kupelekea adha kubwa kwa wakazi wa eneo hilo na sehemu nyingine.Athari kubwa ya mvua iliyopelekea kuleta adha kubwa katikati ya jiji la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani