Hollande ataka kuundwe serikali ya Ulaya
Rais Francois Holande amependekeza kuundwe serikali moja ya Ukanda wa Ulaya, yenye bunge moja na sarafu moja
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo17 Oct
Obama ataka Ulaya kudhibiti ebola
RAIS wa Marekani Barack Obama ametoa wito kwa nchi za Ulaya kufanya juhudi kuhakikisha homa ya ebola inadhibitiwa huku Ufaransa ikitangaza kufanya ukaguzi zaidi katika viwanja vya ndege ili kuhakikisha kuwa watu wanaoingia katika ardhi ya Ufaransa wamefanyiwa vipimo.
10 years ago
Habarileo27 Aug
Wataka kuundwe Tume ya Utamaduni wa Kimila
UMOJA wa Machifu Tanzania (UMT) umewasilisha mapendekezo yao wanayotaka yaingizwe kwenye Rasimu ya Katiba mpya na miongoni mwao wanataka watambuliwe pamoja na kuundwe tume ya utamaduni wa kimila.
9 years ago
Mwananchi04 Oct
Lowassa ataka serikali tatu
11 years ago
Habarileo13 Mar
Balozi Lusinde ataka serikali 1
MWANASIASA mkongwe nchini Balozi mstaafu Job Lusinde (83) amesema angependelea muundo wa serikali moja ili kupambana na kero za Muungano zilizopo.
9 years ago
Habarileo30 Dec
Majaliwa ataka weledi Serikali za Mitaa
WATUMISHI wa Serikali za Mitaa wametakiwa kufanya kazi kwa kujituma wakizingatia maadili na taaluma zao badala ya kufanya kazi kwa woga na kwamba hakuna mtumishi yeyote atakayeadhibiwa akifanya kazi yake kwa weledi.
11 years ago
BBCSwahili20 Jun
Kiongozi ataka serikali mpya Uraq
11 years ago
Tanzania Daima03 Mar
Diwani ataka serikali iongeze walimu
BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Muleba, Kagera, limeiomba serikali kujizatiti zaidi kuzalisha walimu wengi hapa nchini ili kukuza sekta hiyo muhimu. Kauli hiyo imetolewa hivi karibuni na...
11 years ago
Mwananchi20 Feb
Kiongozi APPT ataka mjadala mkali muundo wa Serikali
10 years ago
Habarileo26 Apr
Ataka Serikali kuhakikisha uhuru wa habari kusaidia wananchi
MWANDISHI mkongwe Jenerali Ulimwengu alinyakua tuzo ya Utumishi Uliotukuka katika Tuzo ya Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT) kutokana na mchango wake katika tasnia ya habari na kukemea maovu bila woga kwa kutumia kalamu yake.