Huduma za dharura za ajali kuanza punde
WIZARA ya Afya imesema kitengo cha kutoa huduma za dharura kwa watu wanaopatwa na ajali za barabarani kinatazamiwa kuanza kazi mara baada ya kukamilika kwa ujenzi wa jengo la kisasa lililopo jirani na hospitali ya Mnazi Mmoja.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
BREAKING NEWZZZZZZ:TUKIO LA AJALI MIKESE HIVI PUNDE.





10 years ago
Dewji Blog12 Apr
Ajali ya gari la Nganga na Fuso huko Ruaha Mbuyuni taarifa zaidi zitawajia hivi punde
Basi la abiria la Nganga likionekana kuteketea kwa moto baada ya kugongana na Fuso majira ya saa mbili asubuhi leo Aprili 12, huko eneo la Ruaha Mbuyuni (Picha kwa mujibu wa mitandao ya kijamii).
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Chumba cha habari cha Modewji blog makao makuu kinaendelea kuwasiliana na vyanzo mbalimbali vya habari kutoka eneo la tukio la ajali mbaya iliyotokea mapema asubuhi ya leo Aprili 12 katika eneo hilo baada ya basi la abiria la Nganga linalofanya safari za Iringaa...
10 years ago
BBCSwahili30 Sep
Changamoto za utoaji wa huduma za dharura
10 years ago
BBCSwahili29 Sep
Huduma za dharura ni duni Tanzania
10 years ago
Michuzi.jpg)
NEWS ALERT: BRT mbioni kuanza kipindi cha mpito baada ya wadau kukubaliana kuanza huduma ya mabasi ya haraka Dar es salaam
11 years ago
Dewji Blog11 Apr
Huduma za dharura kwa wazazi Kibiti zaokoa maisha ya mama na mtoto

Mratibu wa Mtandao wa Utepe Mweupe Kitaifa (The White Ribbon Alliance), Rose Mlay akimjulia hali mmoja wa akinamama aliyejifungua katika wodi ya wazazi katika Kituo cha Afya Kibiti leo.

Mratibu wa Mtandao wa Utepe Mweupe Kitaifa (The White Ribbon Alliance), Rose Mlay akitambulishwa kwa baadhi ya wahudumu katika wodi ya wazazi kwenye Kituo cha Afya Kibiti leo alipotembelea kuangalia mwenendo wa utoaji huduma za dharura katika kituo hicho.

Jengo ambalo ni chumba cha upasuaji linalotoa...
11 years ago
GPL
HUDUMA ZA DHARURA KWA WAZAZI KIBITI ZAOKOA MAISHA YA MAMA NA MTOTO
10 years ago
Habarileo01 Jun
TPA kuanza kuboresha huduma Lubumbashi
MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imesema itahakikisha huduma zinazotolewa katika ofisi yake ndogo mjini Lubumbashi, zinaimarishwa kwa manufaa ya Tanzania na nchi ya Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo (DRC).
9 years ago
Habarileo07 Dec
UDA-RT waeleza utayari kuanza huduma
WATOA huduma katika kipindi cha mpito cha mradi wa mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Salaam, kampuni ya UDA-RT wameihakikishia serikali na wananchi kuwa matayarisho yanaendelea vizuri tayari kwa huduma hiyo kuanza Januari 10 mwakani.