Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ikiwa Muungano unavunjika, tutaingia vitani?

Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wa mwaka 1964, uliozaa Tanzania ya sasa uko shakani. Waandishi na wataalamu wa sheria na katiba na wataalamu wa tamaduni na masuala ya ushirikiano wa kimataifa, wamekuwa wakifanya uchambuzi juu ya muungano wetu kwa kuonyesha nadharia mbalimbali. Wameonyesha takwimu na ushahidi wa kila aina juu ya kuungana na athari za kutoungana. Wamekuwa wakitumia taaluma zao kuchanganua miundo mbalimbali ya muungano na kuonesha hali ya muungano wetu wa sasa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Ikiwa Muungano unavunjika, tutaingia vitani? (2)

Katika toleo la kwanza la makala hii lililochapishwa Jumapili iliyopita, niliandika kimakosa kuwa wakati wa vita ya Uganda kuliwahi kutokea mzozo baina ya Rais Nyerere na Rais Karume, ukweli ni kuwa ilipaswa kuandikwa kama Rais Aboud Jumbe kwa sababu wakati huo tayari Mzee Karume alikuwa ameshafariki dunia.

 

10 years ago

Mwananchi

Sudan kusini yajadiliwa Afrika Mashariki ikiwa vitani

WAKUU wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) hivi karibuni wametoa maelekezo kwa Baraza la Mawaziri kuleta taarifa ya uhakiki wa vigezo vya kuruhusu kukubaliwa kwa maombi ya nchi ya Sudani Kusini kujiunga na Jumuiya hiyo.Uhakiki huo unatakiwa kuwa tayari ifikapo, Novemba mwaka huu. Muda huo umewekwa na kikao cha faragha cha wakuu hao kilichofanyika mjini Arusha, Tanzania.

 

11 years ago

Michuzi

Watumishi wa Serikali na Mashirika ya Umma wafanya Tamasha la Michezo ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo wa Wizara ya Habari, Vijana,Utramaduni na Michezo ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya Michezo na Burudani kuelekea maadhimisho ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Bw. Leonard Thadeo wakwanza kulia akiongoza tamasha la mazoezi ya viungo kwa Watumishi wa Serikali na Mashirika ya Umma mapema wikiendi hii katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam,Tamasha hilo ni muendelezo wa program mbalimbali za kuadhimisha Muungano kwa njia ya Mchezo...

 

11 years ago

Mwananchi

Tanganyika kuwamo ndani ya Katiba ya Muungano bila Zanzibar ni kuua Muungano

Leo nijikite katika kuongeza uelewa juu ya tofauti iliyopo kati ya mambo ya muungano na yasiyo ya muungano. Nchi yetu inatokana na muungano wa zilizokuwa nchi mbili huru kwa maana ya Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, ambazo ziliwezesha kuundwa kwa nchi mpya, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

11 years ago

Michuzi

BAJAJ IKIWA IMEKULA NYOMI

Kamera ya Globu ya Jamii,imeinasa Bajaj hii maeneo ya Mwenge jijini Dar es Salaam ikiwa imesheheni abiria kupiga uwezo wake,huku suka wa Bajaj hiyo pia akiwa amekaa kiti kimoja na abiria huku akiwa hana noma wala nini.

 

10 years ago

BBCSwahili

Scotland kuamua ikiwa itajitenga au la

Wanasiasa wanaendelea na kampeini ya lala salama ya kura ya maamuzi ikiwa Scotland itajitenga na Uingereza au la .

 

11 years ago

GPL

MWAKALEBELA: BUNGE KUONGEZEWA MUDA IKIWA...

Na Elvan Stambuli
MWANASIASA na  mdau wa soka kijana,  Frederick Mwakalebela ametabiri kuwa ikiwa malumbano ndani ya Bunge Maalum la Katiba linaloketi mjini Dodoma litaendeleza malumbano ya makundi, bunge hilo litaongezewa muda na hata kusababisha Uchaguzi Mkuu wa  2015 kusogezwa mbele. Akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za gazeti hili Bamaga Mwenge jijini Dar mwishoni mwa wiki iliyopita, Mwakalebela...

 

9 years ago

Raia Mwema

Naiona Tanzania ikiwa kwenye safari

NINAPOZUNGUMZA na kuwasikiliza Watanzania ninaokutana nao nikiwa safarini, Watanzania wa kada, i

Maggid Mjengwa

 

11 years ago

GPL

KAMERA YA GLOPAL PUNLISHERS IKIWA MITAANI

Maji machafu eneo la Mbagala.
Mama huyu akifanya biashara eneo la barabarani.
Mishe mishe za Mbagala.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani