Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWAKALEBELA: BUNGE KUONGEZEWA MUDA IKIWA...

Na Elvan Stambuli
MWANASIASA na  mdau wa soka kijana,  Frederick Mwakalebela ametabiri kuwa ikiwa malumbano ndani ya Bunge Maalum la Katiba linaloketi mjini Dodoma litaendeleza malumbano ya makundi, bunge hilo litaongezewa muda na hata kusababisha Uchaguzi Mkuu wa  2015 kusogezwa mbele. Akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za gazeti hili Bamaga Mwenge jijini Dar mwishoni mwa wiki iliyopita, Mwakalebela...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ridhiwani ampinga Manji kuongezewa muda Jangwani

Mwanachama wa Yanga na Mwenyekiti wa Ujenzi wa Jengo la Mafia, Ridhiwani Kikwete amepinga kitendo cha Mwenyekiti wa klabu hiyo, Yusuph Manji na wenzake kuongezewa muda wa uongozi wa mwaka mmoja.

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema kususia Bunge la Katiba ikiwa...

Wakati Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akisema wabunge wa chama chake watasusia vikao vya Bunge Maalumu la Katiba ikiwa hoja ya kuundwa kwa Serikali tatu itapingwa na wabunge wa CCM, Mwakilishi wa Mji Mkongwe (CUF), Ismail Jussa Ladhu ametaka kuvunjwa kwa Muungano.

 

10 years ago

Mwananchi

Bunge lapitisha muswada, sasa waandishi kufungwa jela ikiwa...

>Mvutano mkali uliibuka jana bungeni wakati Bunge lilipokaa kama kamati kupitisha Muswada wa Takwimu wa mwaka 2013, baada ya wabunge kuupinga. Muswada huo una kipengele kinachotoa adhabu ya kifungo cha miaka mitatu jela na faini isiyopungua Sh10 milioni kwa mtu au chombo cha habari kitakachofanya makosa ya kutoa takwimu zisizokuwa sahihi.

 

11 years ago

Habarileo

Bunge la Bajeti kuongezwa muda

MKUTANO wa 15 wa Bunge la Bajeti uliopangwa kumalizika Juni 27, mwaka huu, sasa utaongezewa muda kuruhusu Muswada wa Serikali na Azimio la Bunge juu ya migogoro ya wafugaji na wakulima. Kabla ya kuahirisha kikao cha juzi, Spika wa Bunge, Anne Makinda alieleza kuwa upo uwezekano huo wa Bunge kusogezwa mbele zaidi.

 

11 years ago

Mwananchi

Muda Bunge la Katiba hautoshi

>Wajumbe wa Bunge la Katiba wametofautiana kuhusu muda wa siku 70 na nyongeza ya siku 20 ambao umetengwa kwa mujibu wa sheria kwa ajili ya Bunge hilo kufanya kazi zake.

 

11 years ago

Habarileo

Kamati za Bunge zalia na muda

ASILIMIA kubwa ya Kamati 12 za Bunge Maalumu la Katiba, zimedai muda uliotolewa kujadili sura mbili hautoshi, hivyo zinatarajia kuomba kuongezewa, zikamilishe. Kamati hizo 12 zilianza tangu juzi kujadili Sura ya Kwanza na ya Sita za rasimu hiyo na zilitakiwa kukamilisha kazi hiyo kabla ya leo.

 

11 years ago

Mwananchi

Kificho mwenyekiti wa muda Bunge la Katiba

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Pandu Ameir Kificho amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa muda wa Bunge Maalumu la Katiba.

 

11 years ago

Mwananchi

Muswada wa VAT waongeza muda wa Bunge

Spika wa Bunge, Anne Makinda amesema muda wa Bunge utaongezwa ili kutoa nafasi kwa serikali kuwasilisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Kodi ya Mapato (VAT).

 

11 years ago

Habarileo

BUNGE LA KATIBA: JK akubali muda zaidi

Mwenyekiti wa Bunge Katiba, Samuel Sitta akisalimiana na Shekhe Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa bin Shaban Simba alipomtembelea ofisini kwake Kinondoni Dar es Salaam jana kuzungumzia mchakato wa katiba mpya. (Picha na Yusuf Badi).RAIS Jakaya Kikwete amekubali kuongeza muda wa Bunge Maalumu la Katiba katika mazungumzo aliyofanya na mwenyekiti wake, Samuel Sitta.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani