Ikiwa Muungano unavunjika, tutaingia vitani? (2)
Katika toleo la kwanza la makala hii lililochapishwa Jumapili iliyopita, niliandika kimakosa kuwa wakati wa vita ya Uganda kuliwahi kutokea mzozo baina ya Rais Nyerere na Rais Karume, ukweli ni kuwa ilipaswa kuandikwa kama Rais Aboud Jumbe kwa sababu wakati huo tayari Mzee Karume alikuwa ameshafariki dunia.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi07 Jun
Ikiwa Muungano unavunjika, tutaingia vitani?
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wa mwaka 1964, uliozaa Tanzania ya sasa uko shakani. Waandishi na wataalamu wa sheria na katiba na wataalamu wa tamaduni na masuala ya ushirikiano wa kimataifa, wamekuwa wakifanya uchambuzi juu ya muungano wetu kwa kuonyesha nadharia mbalimbali. Wameonyesha takwimu na ushahidi wa kila aina juu ya kuungana na athari za kutoungana. Wamekuwa wakitumia taaluma zao kuchanganua miundo mbalimbali ya muungano na kuonesha hali ya muungano wetu wa sasa.
10 years ago
Mwananchi22 Apr
Sudan kusini yajadiliwa Afrika Mashariki ikiwa vitani
WAKUU wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) hivi karibuni wametoa maelekezo kwa Baraza la Mawaziri kuleta taarifa ya uhakiki wa vigezo vya kuruhusu kukubaliwa kwa maombi ya nchi ya Sudani Kusini kujiunga na Jumuiya hiyo.Uhakiki huo unatakiwa kuwa tayari ifikapo, Novemba mwaka huu. Muda huo umewekwa na kikao cha faragha cha wakuu hao kilichofanyika mjini Arusha, Tanzania.
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-22Ku11mfSd8/U0t-aWzYvlI/AAAAAAAFaic/tqFw7sHWdnE/s72-c/UN2.jpg)
Watumishi wa Serikali na Mashirika ya Umma wafanya Tamasha la Michezo ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
![](http://2.bp.blogspot.com/-22Ku11mfSd8/U0t-aWzYvlI/AAAAAAAFaic/tqFw7sHWdnE/s1600/UN2.jpg)
11 years ago
Mwananchi10 Aug
Tanganyika kuwamo ndani ya Katiba ya Muungano bila Zanzibar ni kuua Muungano
Leo nijikite katika kuongeza uelewa juu ya tofauti iliyopo kati ya mambo ya muungano na yasiyo ya muungano. Nchi yetu inatokana na muungano wa zilizokuwa nchi mbili huru kwa maana ya Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, ambazo ziliwezesha kuundwa kwa nchi mpya, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-o5wUE3gZvrs/UxGKvpZn5KI/AAAAAAAFQWw/wD3dPWZfG_s/s72-c/M7.jpg)
BAJAJ IKIWA IMEKULA NYOMI
![](http://3.bp.blogspot.com/-o5wUE3gZvrs/UxGKvpZn5KI/AAAAAAAFQWw/wD3dPWZfG_s/s1600/M7.jpg)
10 years ago
BBCSwahili17 Sep
Scotland kuamua ikiwa itajitenga au la
Wanasiasa wanaendelea na kampeini ya lala salama ya kura ya maamuzi ikiwa Scotland itajitenga na Uingereza au la .
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0jwS8IDgkuWYv93DdWn8TkbobhK5l366BqmJj818moLqe90FDcm6iCcBBI-7m8979m8kJWUHEUx3cWWR70-3MC0CR6PhLP1N/mwakalebela.jpg?width=650)
MWAKALEBELA: BUNGE KUONGEZEWA MUDA IKIWA...
Na Elvan Stambuli
MWANASIASA na mdau wa soka kijana, Frederick Mwakalebela ametabiri kuwa ikiwa malumbano ndani ya Bunge Maalum la Katiba linaloketi mjini Dodoma litaendeleza malumbano ya makundi, bunge hilo litaongezewa muda na hata kusababisha Uchaguzi Mkuu wa 2015 kusogezwa mbele. Akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za gazeti hili Bamaga Mwenge jijini Dar mwishoni mwa wiki iliyopita, Mwakalebela...
9 years ago
Raia Mwema07 Oct
Naiona Tanzania ikiwa kwenye safari
NINAPOZUNGUMZA na kuwasikiliza Watanzania ninaokutana nao nikiwa safarini, Watanzania wa kada, i
Maggid Mjengwa
11 years ago
GPLKAMERA YA GLOPAL PUNLISHERS IKIWA MITAANI
Maji machafu eneo la Mbagala.
Mama huyu akifanya biashara eneo la barabarani.
Mishe mishe za Mbagala.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania