Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ILI AZAE, WEMA ALALE JUU YA KABURI

Staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu. Waandishi wetu Mshangao! Baba mzazi wa aliyekuwa mwigizaji mkubwa Bongo, marehemu Steven Kanumba ‘The Great’, Charles Kusekwa Kanumba amefunguka kuwa ili azae, staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu anatakiwa alale juu ya kaburi. Hayo yanakuja siku chache baada ya Wema aliyewahi kuwa mchumba wa Kanumba kudai kusumbuliwa na tatizo la kukosa uwezo wa kuzaa hivyo mzee...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WAPANDA MAZAO JUU YA KABURI LA MWANAMUZIKI

Dustan Shekidele, Morogoro/mchanganyiko
Baadhi ya wananchi wa eneo la Msamvu mjini hapa wanadaiwa kuvamia makaburi na kupanda mazao juu yake likiwemo la aliyekuwa mwanamuziki maarufu wa dansi Afrika Mashariki, Salum Abdallah Husein Yazidu ‘Say’ aliyekuwa akimiliki Bendi ya Cuban Marimba. Tukio hilo la aina yake lilijiri wiki iliyopita ambapo watu ambao majina yao hayakupatikana walionekana wakilima na kupanda mazao...

 

10 years ago

GPL

MWANAMKE AZIKWA, ARUNDIKIWA VYOMBO JUU YA KABURI LAKE

Na Mwandishi Wetu, Shinyanga Wahenga walisema ukisitajabu ya Musa utaona ya Farao, hivi ndivyo ilivyokuwa kwa wananchi wa mji wa Bariadi mkoani Shinyanga waliofurika katika kaburi la marehemu, Jesca Onesmo (28), ambaye alifariki kisha kuwekewa samani na vyombo vyake mbalimbali juu ya kaburi lake. Soma zaidi hapa ===>http://bit.ly/1HFnwET

 

9 years ago

GPL

WEMA:NINGNINGEENDA UKAWA, KABURI LA BABA YANGU LINGETITIA

 Staa wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’. Ohoo! Habari ikufikie kwamba, staa wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amefunguka kuwa kama angetoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kuhamia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), siku hiyo kaburi la baba yake, marehemu Isaac Abraham Sepetu lingetitia. Akizungumza na gazeti namba moja la mastaa Bongo, Ijumaa Wikienda, Wema alitiririka kwamba kama...

 

11 years ago

GPL

MAUZAUZA IRINGA: CHUNGU CHA AJABU CHAIBUKA JUU YA KABURI KIKITOKA DAMU

Chungu cha ajabu kilichokutwa juu ya kaburi la mtoto Agnes Mlawa katika makaburi ya Makanyagio mjini Iringa  leo kikiwa  kinafoka  damu. Baada ya kufunguliwa chungu hicho ndani kulikuwa  na damu, maini na kichwa cha ndege. Wananchi wakishuhudia chungu hicho cha ajabu kilichopo kushoto karibu na jembe.…

 

10 years ago

Bongo Movies

Kicheko cha Wema na Aunt Ezekiel Kwenye Kaburi la Ngwea Chawashangaza Wengi!

Katika hali isiyokuwa ya kawaida, waigizaji Wema Sepetu na rafiki yake Aunt Ezekiel wameonekana wa kiangua kicheko na kutuma mesegi kwa simu wakiwa juu ya kaburi  la aliekuwa msanii wa Bongo Fleva, marehemu Albert Mangweha ‘Ngwea’.

Kwa mujibu wa GPL, Tukio hilo litokea Januari Mosi, mwaka huu ambapo Wema akiwa na team yake nzima ya Endless Fame walitembea kaburini hapo eneo la makaburi ya Kihonda mjini Morogoro wakiwa wakitokea Dodoma kuja Dar.

Inaelezwa kwamba awali inadaiwa kuwa, ...

 

10 years ago

GPL

WEMA, AUNT, YOTE HAYA ILI IWEJE SASA?

MIMI ni Mmatengo, kabila moja kubwa katika mkoa wa Ruvuma, lakini lisilo maarufu, tunapatikana katika wilaya kubwa pia, inaitwa Mbinga. Idadi kubwa ya wamatengo ni wakristo, tena wa madhehebu ya Roman Catholic.
Katika moja ya vitu ambavyo wanakijiji wenzangu wanaviheshimu sana, ni makaburi. Wenyewe wanaita Shamba la Bwana. Ili kuonyesha heshima hiyo, makaburi yamepewa ‘ofa’ ya kujengwa mbali kabisa na makazi ya...

 

11 years ago

GPL

MEZA YA WAKULU; NI KWELI, DIAMOND ANAWATUMIA WAREMBO ILI AENDELEE KUWA JUU?

WAKULU wamkalia mezani staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' kujua kama ni kweli anatumia warembo kama ngazi ya kuendelea kuwa juu? Ungana na Global TV Online kupata uhondo huo!

 

9 years ago

Michuzi

TAARIFA ZA TAKWIMU SASA KUWEKWA HADHARANI ILI WANANCHI WATOE MAONI YAO JUU YA MAENDELEO

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (kushoto), akihutubia wakati akifungua mkutano wa wadau wa takwimu wadau wa maendeleo Endelevu leo jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue wakati akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kufungua mkutano wa wadau wa maendeleo Endelevu (SDG’S) ambao shabaha yake kubwa iliukuwa kuweka mifumo ya namna ya kutekeleza mpango huo leo jijini Dar es Salaam Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Profesa Adolph Mkenda akizungumza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani