‘Ipo Siku’ yapakuliwa zaidi Mkito
NA CHRISTOPHER MSEKENA
NYOTA wa muziki wa injili nchini, Goodluck Gozbert, amewashukuru mashabiki kwa kupakuwa wimbo wake unaoitwa Ipo Siku kwenye tovuti ya Mkito inayojihusisha na kuuza nyimbo za wasanii mbalimbali.
Akizungumza na MTANZANIA, Goodluck alisema kuwa hiyo ni
hatua nzuri kwake kwa sababu zipo nyimbo nyingi nzuri za Injili lakini mashabiki wameichagua yake
hivyo anawashukuru na anaomba waendelee kumuunga mkono.
“Wimbo wangu umeongoza kupakuliwa kuliko wimbo wowote
ule wa Injili,...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo523 Jan
Diamond, Mwana FA na Alikiba waongoza chart ya Mkito ya nyimbo 100 zilizopakuliwa zaidi
9 years ago
MillardAyo21 Dec
Nimekusanya videos 20 za Africa zilizogusa watazamaji wengi zaidi YouTUBE… TZ ipo moja tu!
Ni muziki wa Africa kwenye headlines… najua nina watu wangu wengi ambao ni mashabiki wakubwa wa muziki wa Africa na ndio maana leo nimechukuwa time ya kukusanya videos ambazo zimefanikiwa kugusa watazamaji wengi zaidi kwenye mtandao wa YouTUBE. Inawezekana zipo nyingi ila ripota wako wa nguvu amefanikiwa kuzinasa hizi 20 zenye uwingi wa viewers kuanzia […]
The post Nimekusanya videos 20 za Africa zilizogusa watazamaji wengi zaidi YouTUBE… TZ ipo moja tu! appeared first on...
10 years ago
Bongo513 Sep
Alikiba avunja rekodi ya downloads kwenye mtandao wa Mkito.com
10 years ago
Jamtz.Com![](http://2.bp.blogspot.com/-qyVuuh1BP0U/VBb4dOIIM6I/AAAAAAAABI4/RSHfWknneoU/s72-c/Alikiba.png)
ALI KIBA AVUNJA REKODI YA DOWNLOADS KATIKA MTANDAO WA MKITO.COM
![](http://2.bp.blogspot.com/-qyVuuh1BP0U/VBb4dOIIM6I/AAAAAAAABI4/RSHfWknneoU/s1600/Alikiba.png)
Nyimbo mbili za Alikiba zimefanikiwa kuongoza kama nyimbo zinazopakuliwa kwa wingi katika tovuti ya Mkito.com. Wimbo uliotokea kupendwa zaidi wa Mwana ulipanda hadi nafasi ya kwanza ndani ya masaa 12 baada ya kuzinduliwa Julai 24 mwaka huu.Mpaka sasa “Mwana” ya Alikiba imeendelea kuwa wimbo uliopakuliwa zaidi tangu kuanzishwa kwa Mkito.com mwezi Mei mwaka huu. Wanamuziki wengine wanaofanya vizuri ndani ya Mkito ni Fid Q, Vanessa Mdee, Young Killer, Diamond Platnumz, Linah, Rich...
10 years ago
Dewji Blog06 Jan
Yote Uliyowahi Kutaka Kujua Kuhusu Mkito.com: Mahojiano Na Mwanzilishi Mwenza,Sune Mushendwa
![Sune Mushendwa-Mkito.com](http://www.bongocelebrity.com/wp-content/uploads/2014/12/Sune.jpg)
Sune Mushendwa
Kwa miaka nenda rudi, wasanii wa kitanzania walikuwa na kilio kinachofanana. Ungekaa pembeni bila kuwaona, ungedhani kutokana na mwangwi wa kilio chao, anayelia ni mmoja. Hapana. Wote walikuwa [na pengine bado wanaendelea kulia] kutokana na kunyonywa “jasho lao”.
Kimsingi “jasho” wanalolilia limekuwa ni soko na usambazaji. Kipaji unacho na watu wanakubali kazi zako. Tatizo utaifikishaje kazi yako kwa mashabiki zako? Ni wazi kwamba unahitaji msaada wa kimasoko na usambazaji....
10 years ago
Michuzi05 Jan
Yote Uliyowahi Kutaka Kujua Kuhusu Mkito.com: Mahojiano ya Bongo Celebrity na Mwanzilishi Mwenza,Sune Mushendwa
![Sune Mushendwa-Mkito.com](http://www.bongocelebrity.com/wp-content/uploads/2014/12/Sune.jpg)
Kwa miaka nenda rudi, wasanii wa kitanzania walikuwa na kilio kinachofanana. Ungekaa pembeni bila kuwaona, ungedhani kutokana na mwangwi wa kilio chao, anayelia ni mmoja. Hapana. Wote walikuwa [na pengine bado wanaendelea kulia] kutokana na kunyonywa “jasho lao”. Kimsingi “jasho” wanalolilia limekuwa ni soko na usambazaji. Kipaji unacho na watu wanakubali kazi zako. Tatizo utaifikishaje kazi yako kwa mashabiki zako? Ni wazi kwamba unahitaji msaada wa kimasoko na usambazaji....
10 years ago
Michuzi29 Jan
10 years ago
Mtanzania08 Jun
Urais CCM kazi ipo
Na Waandishi Wetu
Membe: Hakuna anayenizidi
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, ametangaza rasmi nia ya kuwania urais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kupitia CCM, huku akiahidi kupambana na ufisadi na rushwa kwa kuhakikisha sheria ya makosa ya rushwa inabadilishwa.
Akizungumza mjini Lindi jana, alisema ili nchi iweze kupiga hatua, akifanikiwa kuwa rais wa awamu ya tano, atabadili sheria ya kupambana na rushwa inayosema ‘mpokeaji na mtoaji wote wana...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-FQTe2HT0CeI/VOGO12m-tWI/AAAAAAAHD50/7I8CrNUdSh0/s72-c/unnamed%2B(62).jpg)
FILAMU YA C.P.U IPO SOKONI SASA
![](http://1.bp.blogspot.com/-FQTe2HT0CeI/VOGO12m-tWI/AAAAAAAHD50/7I8CrNUdSh0/s1600/unnamed%2B(62).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-uBgfvgBC9Zs/VOGO1zhWmqI/AAAAAAAHD5w/XEl3qI0BdOU/s1600/unnamed%2B(63).jpg)
Sinema...