Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IPTL yatikisa Mwanza

SAKATA la IPTL jana lilitikisa jiji la Mwanza baada ya Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila, kuwaomba  watanzania kusaidia kudai ripoti ya ufisadi kampuni ya kufua umeme ya Independent Power...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Mafutiko yatikisa Mwanza

Jiji la Mwanza

Jiji la Mwanza

BENJAMIN MASESE NA ABUBAKARI AKIDA, MWANZA

MVUA kubwa inayoendelea kunyesha mkoani Mwanza, imesababisha maafa makubwa yakiwamo ya watu kukosa sehemu za kujihifadhi, mitaa mingi kujaa maji na kukwamisha shughuli zote za kijamii.

Hali ilikuwa mbaya zaidi wilayani Kwimba ambako mafuriko yalionekana kuhatarisha maisha ya watu na mali zao.

Kutokana na Mvua hiyo iliyoanza kunyesha jana asubuhi, Mto Mirongo ulifurika na kusababisha mafuriko katika Mtaa wa Mabatini, hivyo magari...

 

9 years ago

Michuzi

Rock City Marathon 2015 yatikisa jiji la Mwanza

Mwenyekiti wa chama cha riadha mkoa wa Mwanza Silas Lucas akiwapa maelekezo wakimbiaji wa km 21 wakati wa mbio za Rock City Marathon kabla ya mbio kuanza kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza jana. Wanariadha katika kundi la km 21 wakikatiza katika mitaa ya jiji la Mwanza kuelekea katika viwanja vya CCM Kirumba kumaliza mbio  hizo. Festus Taram kutoka Kenya akimaliza katika nafasi ya kwanza kwenye mbio za Rock City Marathon zilizofanyika jijini Mwanza jana baada ya kutumia muda wa saa...

 

10 years ago

Michuzi

CCM YATIKISA JIJI LA MWANZA,YAFUNGA KAMPENI ZAKE KWA KISHINDO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimnadi Mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM, Dk. Magufuli ndani ya uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza wakati wa hitimisho la kampeni.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete  akiwa na Mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM, Dk. Magufuli ndani ya uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza wakati wa hitimisho la kampeni. 
 Umati wa maelfu ya wananchi wa jiji la Mwanza waliojitokeza kushudua...

 

11 years ago

Dewji Blog

Skylight Band yatikisa jiji la Mwanza Pasaka kwenye kiota kipya cha Jembe Beach Resort

DSC_0028

Wadau wa Jembe Beach Resort ndani ya kiota kipya cha kipekee chenye viwango vya kimataifa wakisubiri kuanza kwa burudani ya Skylight Band ndani ya jiji la Mwanza kwenye sikukuu ya Pasaka.

DSC_0031

Sam Mapenzi wa Skylight Band akishow love na wadau wa ukweli ndani ya Jembe Beach Resort.

DSC_0041

Mdau Rama wa Villa Park ya jijini Mwanza akipata Ukodak na Hellen Kazimoto wa Jembe Beach Resort wakati wa sherehe za Pasaka.

DSC_0052

Counter ya Jembe Beach Resort ikiwa imesheheni vinywaji vya kila aina.

20140420_153642

Mandhari ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mafuriko yatikisa Dar

MVUA zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam zimesababisha uharibufu wa miundombinu ya barabara, nguzo za umeme na mingine kuharibika, hali iliyokwamisha shughuli nyingi jana. Mvua hizo zilizonyesha usiku mzima wa...

 

11 years ago

Mtanzania

Ebola yatikisa Kenya

Shirika la Afya Duniani

Shirika la Afya Duniani

Na Mwandishi Wetu

SHIRIKA la Afya Duniani (WHO), limetahadharisha kuwa ukanda wa Afrika Mashariki uko katika kundi la pili lenye uwezekano wa kukumbwa na ugonjwa wa Ebola, kutokana na ukaribu wake na maeneo yaliyoathirika na mlipuko wa ugonjwa huo unaoenea kwa kasi.

Hali hiyo inatokana na Kenya kuwa kitovu cha usafiri wa ndege, huku wasafiri wengi wanaokwenda nchi za Afrika Magharibi wakipitia nchini humo.

Kutokana na hali hiyo, WHO imetoa onyo kali kuhusu kuenea kwa...

 

10 years ago

Michuzi

CHADEMA YATIKISA ARUSHA

 Profesor Jay akihamsisha wananchi kujitokeza kwenda kujiandikisha "NDUGU ZANGU WANA WA ARUSHA NA TANZANIA KWA UJUMLA TUJITOKEZE KUJIANDIKISHA ILI TUJIHAKIKISHIE UHURU WA KWELI NA SIO MATUMAINI" Mbuge wa Arumeru Mashariki Mh Joshua Nassari amewataka watanzania kutambua muda wa mateso waliyoyapata kwa Miaka Mingi sasa yamefikia ukomo,"Njia pekee iliyobaki ndugu zangu ni kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la Mpiga kura" Pia ametambulisha AMBULANCE 2 alizo zitoa kwenye jimbo lakeMbuge...

 

10 years ago

Mtanzania

Majambazi yatikisa Zanzibar

mtz1Na Mwadishi Wetu, Zanzibar
MAJAMBAZI yametikisa viunga vya Mtaa wa Darajani kisiwani Zanzibar na kusimamisha shughuli za biashara wakati polisi walipowakimbiza na kuamua kutumia risasi za moto.
Tukio hilo lilitokea jana saa nane mchana na kusababisha watu wawili kujeruhiwa na watatu kupoteza fahamu kutokana na vishindo vya risasi na mabomu wakati majambazi hayo yalipotaka kutoroka.
Taarifa zaidi zinasema gari ya majambazi hayo iliwagonga wanawake wawili baada ya kuingia kwa kasi katika eneo...

 

10 years ago

Habarileo

Chadema yatikisa Tarime

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimezoa viti vingi vya vitongoji, mitaa na vijiji vilivyokuwa vikikaliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Tarime.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani