JJ BUDA MABINGWA MBIO ZA BALIMI MITUMBWI
![](http://4.bp.blogspot.com/-DVs5mN1CRms/VHlqNyHUwGI/AAAAAAAG0Eo/47HeetPerqA/s72-c/balim1.jpg)
Na Mwandishi wetu,Mara.
KIKUNDI cha Wanaume wapiga kasia cha JJ Buda kutoka Nyarusurya Mkoani Mara kimeibuka na ubingwa katika fainali za Mkoa za mashindano yambio za mitumbwi chini ya udhamini wa bia ya Balimi Extra Lager zijulikazo kama “Balimi Boat Race 2014” na hivyo kikundi hicho kuzawadiwa pesa taslimu Shilingi 900,000/= pamoja na kuwakilisha Mkoa wa Kagera kwenye fainali za Kanda zinazotarajiwa kufanyika Desemba 6 mwaka huu jijini Mwanza.
Nafasi ya pili ilichukuliwa na kikundi cha...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/m3kRA-aqkq8xR0teUk-XkEfPaA4FRw4KJpz3xstsbFZdK9Mf7VqBFdGeRjeUfYk8Op0noFq*jPrimowv2JI21z7RngASbe*y/22.jpg?width=650)
NICHORAUS NGOROMA MABINGWA MBIO ZA BALIMI MITUMBWI UKEREWE
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-hvwfYsr9XIg/VFdqbayBWfI/AAAAAAAGvSI/EToIdZx3KgM/s72-c/unnamed1.jpg)
KIKUNDI CHA ELIUD PROSPER MABINGWA MBIO ZA BALIMI MITUMBWI KAGERA
![](http://1.bp.blogspot.com/-hvwfYsr9XIg/VFdqbayBWfI/AAAAAAAGvSI/EToIdZx3KgM/s1600/unnamed1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-x437eKGA3Cc/VFdqbnJXYKI/AAAAAAAGvSM/5Vo99VpXfHk/s1600/unnamed2.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-9LRo8ufQmQ0/VFdqi1O5I5I/AAAAAAAGvSY/BOn_AGck0Rs/s1600/unnamed3.jpg)
KIKUNDI cha Wanaume wapiga kasia cha Eliud...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-XgSa81S57LY/VGCJrNr75zI/AAAAAAAGwWs/M13dGQ9kOD0/s72-c/unnamedb5.jpg)
KIKUNDI CHA COSTANTINE LUSALAGE MABINGWA MBIO ZA BALIMI MITUMBWI MWANZA.
![](http://1.bp.blogspot.com/-XgSa81S57LY/VGCJrNr75zI/AAAAAAAGwWs/M13dGQ9kOD0/s1600/unnamedb5.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-zlQTHP9zpeE/VGCJqEV2QbI/AAAAAAAGwWY/RkF3Q2otk78/s1600/unnamedb2.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-5Xdd0nvX7w8/VGCJrQSosDI/AAAAAAAGwWw/KXqrG3BzRdA/s1600/unnamedb6.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-11C04shNj3s/VDPq-SNB5iI/AAAAAAAAngw/39-qRw6dMyI/s72-c/unnamed.jpg)
BALIMI EXTRA LAGER YATANGAZA RASMI UDHAMINI WA MASHINDANO YA MBIO ZA MITUMBWI KANDA YA ZIWA KWA MWAKA 2014
![](http://4.bp.blogspot.com/-11C04shNj3s/VDPq-SNB5iI/AAAAAAAAngw/39-qRw6dMyI/s1600/unnamed.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-jnFYh91s2rA/U-Ix9IW01SI/AAAAAAAF9mc/AcRRxgtPITg/s72-c/1(1).jpg)
Mwanalyaku mabingwa wa Balimi Ngoma Mwanza
Nafasi ya pili ya mashindano hayo ilichukuliwa na Kikundi cha Bujora cha Magu pia ambacho kilizawadiwa...
10 years ago
GPLBUJORA MABINGWA BALIMI NGOMA KANDA YA ZIWA 2014
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/x5nfMUvOqsg/default.jpg)
11 years ago
Mwananchi03 May
Wajawazito wajifungulia kwenye mitumbwi
10 years ago
Dewji Blog29 Sep
Tigo yadhamini Mabaharia watoto 10 kuwakilisha Tanzania Mashindano ya Mitumbwi Afrika
Meneja wa mawasiliano wa Tigo Bw. John Wanyancha akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani), kutangaza udhamini wa kampuni ya Tigo safari ya timu ya Taifa ya watoto waendesha mitumbwi inayoelekea nchini Morocco kushiriki mashindanoya wakimbiza mitumbwi mwezi ujao.
Na Mwandishi wetu
Tigo Tanzania imetangaza udhamini wake kwa timu ya taifa ya watoto wadogo waendesha mitumbwi, timu ambayo inaundwa na mabaharia watoto 10 waliochaguliwa na shirikisho la mitumbwi midogo ya watoto...