Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NICHORAUS NGOROMA MABINGWA MBIO ZA BALIMI MITUMBWI UKEREWE

Washindi wa kwanza wa mbio za makasia wa Kisiwa cha ukerewe, kikundi cha Nichoraus Ngoroma wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukabidhiwa zawadi mwishoni mwa wiki. Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe, Mery Tesha akisisitiza jambo kwa washindi (hawapo pichani). KIKUNDI cha Nichoraus Ngoroma cha Wanaume wapiga kasia cha Kisiwani…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

JJ BUDA MABINGWA MBIO ZA BALIMI MITUMBWI


Na Mwandishi wetu,Mara.

KIKUNDI cha Wanaume  wapiga kasia cha JJ Buda kutoka Nyarusurya Mkoani Mara kimeibuka na ubingwa katika fainali za Mkoa za mashindano yambio za mitumbwi chini ya udhamini wa bia ya  Balimi Extra Lager zijulikazo kama “Balimi Boat Race 2014” na hivyo kikundi hicho kuzawadiwa pesa taslimu Shilingi 900,000/= pamoja na kuwakilisha Mkoa wa Kagera kwenye fainali za Kanda zinazotarajiwa kufanyika Desemba 6 mwaka huu jijini Mwanza.
Nafasi ya pili ilichukuliwa na kikundi cha...

 

10 years ago

Michuzi

KIKUNDI CHA ELIUD PROSPER MABINGWA MBIO ZA BALIMI MITUMBWI KAGERA

Wakimbia mbio za Makasia Wanaume wakianza kukimbia wakati wa fainali za Mkoa wa Kagera zilizofanyika mkoani humo mwishoni mwa wiki ambapo kikosi cha Eliud Prosper kilifanikiwa kutwaa ubingwa wa Mkoa upande wa Wanaume. Wakimbia mbio za Makasia Wanawake wakianza kukimbia wakati wa fainali za Mkoa wa Kagera zilizofanyika mkoani humo mwishoni mwa wiki ambapo kikosi cha Eliud Prosper kilifanikiwa kutwaa ubingwa wa Mkoa upande wa Wanawake.
KIKUNDI cha Wanaume wapiga kasia cha Eliud...

 

10 years ago

Michuzi

KIKUNDI CHA COSTANTINE LUSALAGE MABINGWA MBIO ZA BALIMI MITUMBWI MWANZA.

Baadhi ya Wakimbia mbio za Makasia Wanaume wakichuana wakati wa fainali za mbio za Mitumbwi zinazodhaminiswa na Bia ya Balimi Extra Lager zijulikanazo kama “ Balimi Boat Race 2014” Mkoa wa Mwanza zilizofanyika mwishoni mwa wiki ambapo kikundi cha Costantine Lusalage kutoka Sengerema kilifanikiwa kutwaa ubingwa wa Mkoa upande wa Wanaume.Baadhi ya Wakimbia mbio za Makasia Wanawake wakichuana wakati wa fainali za mbio za Mitumbwi zinazodhaminiswa na Bia ya Balimi Extra Lager...

 

10 years ago

Michuzi

BALIMI EXTRA LAGER YATANGAZA RASMI UDHAMINI WA MASHINDANO YA MBIO ZA MITUMBWI KANDA YA ZIWA KWA MWAKA 2014

Meneja wa Bia ya Balimi Extra Lager, Edith Bebwa akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa mashindano ya mbio za Mitumbwi Kanda ya Ziwa, zijulikanazo kama “Balimi Boat Race” iliyofanyiak Dar es Salaam leo.

 

11 years ago

Michuzi

Mwanalyaku mabingwa wa Balimi Ngoma Mwanza

FAINALI za mashindano ya Ngoma za Asili ngazi ya mikoa zijulikanazo kama “Balimi Ngoma Festival 2014” Mkoani Mwanza kikundi cha Mwanalyaku cha chenye makazi Magu kimefanikiwa kuwaa ubingwa wa Mkoa wa Mwanza na kuzawadiwa fedha taslimu Shingi 600,00/= pamoja na tiketi ya kuwakilisha Mkoa wa Kagera katika fainali za Kanda zinazotarajiwa kufanyika Augusti 16,2014 Mkoani Mwanza.
Nafasi ya pili ya mashindano hayo ilichukuliwa na Kikundi cha Bujora cha Magu pia ambacho kilizawadiwa...

 

10 years ago

GPL

BUJORA MABINGWA BALIMI NGOMA KANDA YA ZIWA 2014

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Christopher Fuime (kulia) akimkabidhi kikombe kiongozi wa kikundi cha ngoma cha Bujora mara baada ya kuibuka mabingwa wa Kanda ya Ziwa wa fainali za mashindano ya Ngoma za Asili. Baadhi ya wacheza ngoma wa kikundi cha Bujora wakishangilia baada ya kuibuka mabingwa na kukabidhiwa  zawadi ya kikombe pamoja na pesa taslimu shilingi 1,100,000/= Gabriel Ng’osha/GPL KIKUNDI...

 

11 years ago

Mwananchi

Wajawazito wajifungulia kwenye mitumbwi

>Ni safari yenye karaha iliyotumia takriban wiki nzima kutoka Morogoro hadi kijiji cha Mlimba, lengo ni kufuatilia ukweli kwamba wajawazito wengi hujifungulia kwenye mitumbwi wakati wakivuka mto Kihansi wakipelekwa katika zahanati ya kijiji cha Chita, tarafa ya Mngeta wilaya ya Kilombero kufuata huduma ya afya.

 

10 years ago

Dewji Blog

Tigo yadhamini Mabaharia watoto 10 kuwakilisha Tanzania Mashindano ya Mitumbwi Afrika

2

Meneja wa mawasiliano wa Tigo Bw. John Wanyancha akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani), kutangaza udhamini wa kampuni ya Tigo safari ya  timu ya Taifa ya watoto waendesha mitumbwi inayoelekea nchini Morocco kushiriki mashindanoya wakimbiza mitumbwi mwezi ujao.

Na Mwandishi wetu

 Tigo Tanzania  imetangaza udhamini wake kwa timu ya taifa ya watoto wadogo waendesha mitumbwi, timu ambayo inaundwa na mabaharia watoto 10 waliochaguliwa na shirikisho la mitumbwi midogo ya watoto...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani