Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK aweka mkakati kuepusha machafuko nchini Burundi

>Katika kuhakikisha Burundi inaendelea kuwa na amani, Rais Jakaya Kikwete ameishauri nchini hiyo kutekeleza mambo manne ili kuepuka kuingia katika machafuko ya kisiasa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MACHAFUKO YA BURUNDI YANATUGUSA; NKURUNZIZA AELEZWE UKWELI

Rais Pierre Nkurunziza. NIANZE makala haya kwa kumsifu Mungu aliyeumba vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana, aliyeumba mbingu na nchi, hakika ahimidiwe daima. Baba wa Taifa Mwalimu Julius  Nyerere aliposema kuwa vita vya karne ya 21 havitakuwa tena baina ya mataifa bali wenyewe kwa wenyewe aliona mbali sana. Tangu kauli hiyo ya  busara  ilipotamkwa tumeshuhudia kuchinjana kwa wananchi wa  Burundi, Congo, Rwanda...

 

10 years ago

Vijimambo

MACHAFUKO BURUNDI:Rais Nkurunzinza akataa kuachia madaaraka.

Wananchi wa Burundi wameandamana na kusababisha fujo kubwa na polisi wa nchi hiyo. Hii ni baada ya Rais anaeondoka madarakani Bwana Pierre Nkurunzinza kukataa kuachia madaraka na kuamua kugombea awamu nyingine ya tatu kinyume na katiba ya Burundi. Polisi wa kuzuia fujo wa Burundi wakitumia nguvu dhidi ya wananchi.
 Rais Nkurunzinza na wafuasi wake wamesema muhula wa kwanza wa rais huyo hauhesabiki kwa maana aliteuliwa na bunge la nchi hiyo. Hivyo anaweza gombea muhula mwingine.
Rais mstaafu...

 

10 years ago

Vijimambo

MACHAFUKO YA BURUNDI NI MZIGO WAWAKIMBIZI TANZANIA POLISI WAZIDIWA NGUVU NA WAANDAMANAJI WENYE JAZBA



Waandamanaji wakimkimbiza polisi wa kike baada ya kukimbiwa na polisi wenzake pale polisi walivyozidiwa nguvu na waandamanaji.
Waandamanaji wamesha mkamata polisi wa kike na kumbeba mzobe mzobe amani imetoweka kabisa kwa ndugu zetu hawa.
Wakimburuza chini uku wakimshutumu kwanini wanawashuti na wao sasa watalipiza kisasi kwa kumuua kwa mikono yao.
Baati mzuri kulikuwa na wasamalia wema ambao walikuwa na roho ya utu na walimuokoa kabla ya mabaya zaidi kumkuta hii yote inatokea polisi wenzie...

 

10 years ago

Africanjam.Com

PICHA: WAKATI NCHI YA BURUNDI IKIWA KWENYE MACHAFUKO, RAISI WAKE PIERRE NKURUNZINZA AONEKANA AKISAKATA KABUMBU

Burundi kwa sasa iko kwenye vichwa cingi vya habari kutokana na hali ya machafuko ambayo ilijitokeza baada ya Rais Pierre Nkurunziza atangaze uamuzi wa kuwania Urais kwa awamu ya tatu mfululizo.nzizaJaribio la kutaka kumpindua madarakani wakati akiwa Tanzania kwenye mkutano wa usuluhishi pamoja na Marais wengine wanaounga Jumuiya ya Afrika Mashariki halikufanikiwa na sasa uamuzi uliofikiwa ni kuahirishwa kwa uchaguzi wa Wabunge.pierKingine kilichonifikia leo ni kwamba pamoja na machafuko...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIKAWE KUFUTA USAJILI WA MAKANISA YENYE MIGOGORO KWA LENGO LA KUEPUSHA UVUNJIFU WA AMANI NCHINI

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe akizungumza na maelfu ya Waumini wa Karismatiki Katoliki, Jimbo la Dar es Salaam katika maombi maalumu kwa ajili ya kuliombea Taifa yaliyofanyika Kituo cha Karismatiki, Ubungo jijini Dar es Salaam. Waziri Chikawe ambaye alikuwa mgeni rasmi katika maombi hayo aliyataka Makanisa nchini kudumisha amani na utulivu na kuendelea kuliombea Taifa na kuepuka kuingia katika migogoro mbalimbali ambayo itasababisha taifa kuingia katika uvunjifu amani...

 

10 years ago

Mwananchi

Sekta za umma, binafsi nchini zahitaji mkakati

Sekta binafsi inatakiwa kushirikishwa kikamilifu katika utekelezaji wa mpango wa pamoja wa ushirikiano baina yake na sekta ya umma (PPP), ili kukabiliana na changamoto zinazojitokeza katika utekelezaji wake.

 

11 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI LABUNI MKAKATI UTAKAOKOMESHA AJALI NCHINI

Na Mohammed Mhina, wa Jeshi la Polisi-Dodoma
Jeshi la Polisi nchini limebuni mikakati itakayosaidia kukomesha ajali za barabarani kwa kuvishirikisha vikosikazi vya Polisi Jamii vilivyotawanywa katika kila kata na tarafa nchini kote.
Mikakati hiyo imetangazwa na Kamishna wa Polisi Jamii CP Mussa Ali Mussa, wakati wa mafunzo ya maadili awamu ya pili yanayotolewa kwa Askari Polisi wa ngazi ya kati yanayoendelea Mjini Dodoma.
Kamishna Mussa amesema kuwa mpango huo utasaidia kuwanasa...

 

11 years ago

Michuzi

TASAF NA MKAKATI WA KUKABILIANA NA TATIZO LA LISHE DUNI NCHINI.

 Mkurugenzi Msaidizi Huduma za Lishe katika Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk Vicent Assey akizungumza na wataalam walioshiriki katika mkutano uliojadili namna ya kuhusisha masuala ya lishe katika mpango wa kunusuru kaya masikini na zinazoishi katika mazingira hatarishi unaoratibiwa na TASAF  Mkurugenzi Msaidizi Huduma za Lishe katika Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk Vicent Assey akizungumza na wataalam walioshiriki katika mkutano uliojadili namna ya kuhusisha masuala ya lishe...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mkakati wa Insignia kuinua maisha ya mafundi rangi nchini

20150224_135518

Kampuni inayoongoza kwa uzalishaji wa rangi Maalum, Insignia Limited imeendelea kuonesha nia yake ya kutoa huduma zinazomjali mteja, ubunifu na pia mapinduzi katika soko la rangi nchini Tanzania kwa ujumla. Hivi karibuni kampuni hii imewapatia  mafunzo zaidi ya mafundi rangi 50 mwishoni mwa wiki hii mjin Dar es salaam,yaliyoandaliwa maalumu kwa ajili ya wakazi wa mbagala yakiwa na lengo la kuinua kiwango cha mafundi rangi katika sekta hii na kuboresha maisha yao kwa ujumla hapa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani