Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK: Hatulipi madeni ya ushirika

RAIS Jakaya Kikwete amesema serikali yake haitalipa madeni ambayo baadhi ya vyama vya ushirika nchini vinadaiwa na mabenki hadi kwanza wezi walioyasababisha wakamatwe na kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

 Madeni yavikabili vyama vya ushirika nchini kwa Kushindwa Kurejesha Mikopo

 

Vyama vya ushirika nchini vinakabiliwa na madeni kutoka katika benki za kibiashara kutokana na kushindwa kurejesha mikopo kwa wakati hali ambayo imesababisha vyama hivyo kushindwa kujiendesha ipasavyo.

Kaimu Rais wa vyama vya ushirika na mtendaji mkuu wa tume ya maendeleo ya ushirika Tanzania Audasi Lutabazigwa amesema mjini Dododma kuwa wamefanya mazungumzo na benki za kibiashara ili  kivinusuru vyama hivyo.

Aidha mbali na suala hilo la madeni kaimu rais wa vyama vya ushirika anatoa...

 

5 years ago

Michuzi

MRAJIS AWATAKA MAAFISA USHIRIKA KUIMARISHA USIMAMIZI WA VYAMA VYA USHIRIKA


Mrajis wa Vyama vya Ushirika Tanzania Bara, Dkt. Benson Ndiege (wa sita kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya maafisa ushirika na wajumbe wa bodi ya Chama kikuu cha Ushirika mkoa wa Simiyu(SIMCU) mara baada ya kuhitimisha kikao na wajumbe hao wakati wa ziara yake ya siku moja mkoani humo Juni 09, 2020.
Mrajis wa Vyama vya Ushirika Tanzania Bara, Dkt. Benson Ndiege(kushoto) akizungumza na Maafisa Ushirika wa Mkoa wa Simiyu wakati wa ziara yake mkoani humo Juni 09, 2020

 

9 years ago

GPL

40 YA TIFFAH YAACHA MADENI!

0OHOOO! Kuna madai kwamba, ile pati ya kukata na shoka ya kutimiza siku 40 kwa mtoto wa nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Latifah Nasibu ‘Princess Tiffah’ iliisha huku nyuma ikiacha madeni ya kiasi cha shilingi 1,005,000, Amani limechimbua.  ...Soma zaidi====>http://bit.ly/1L5tuVy

 

11 years ago

Mwananchi

Madeni yaikwaza Chaneta Mbeya

Chama cha Netiboli Tanzania (Chaneta) Mkoa wa Mbeya, kimesema kinaona aibu kuratibu michuano ya mchezo huo ngazi ya mkoa kutokana na kudaiwa na watu waliotoa huduma kipindi cha Ligi Kuu ngazi ya Taifa iliyofanyika jijijini hapa.

 

11 years ago

Habarileo

Madeni ya walimu yageuzwa ‘dili’

Rais Jakaya Kikwete akihutubia jana katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani RAIS Jakaya Kikwete, amesema Serikali imebaini kuwepo kwa mchezo mchafu unaotumiwa na baadhi ya watumishi wasio waaminifu, unaosababisha malimbikizo ya madeni ya wafanyakazi hususani walimu kutomalizika, kwa maslahi yao binafsi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tazara kinara madeni NSSF

NA JOSEPH MALEMBEKA, MOROGORO WAKATI Mamlaka ya Reli Tanzania na Zambia (Tazara), ikikabiliwa na ukata na kushindwa kulipa mishahara wafanyakazi wake, Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa Taifa (NSSF), umesema...

 

10 years ago

Habarileo

Madeni ya ATCL yabakia bil. 40/-

MIZANIA ya Madeni ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) imepungua kutoka Sh bilioni 133 hadi Sh bilioni 40 hivi sasa, hatua inayotoa matumaini kwa shirika hilo kuingia kwenye ushindani karibuni.

 

9 years ago

Habarileo

Wakwepa madeni ya nje kukiona

WAFANYABIASHARA waliokopeshwa fedha kupitia Mpango Maalumu wa Kuagiza Bidhaa na Malighafi kutoka Nje (CIS) na kukwepa kulipa, sasa ‘wanapumulia mashine’ baada ya serikali kuwabana kulipa madeni yao ndani ya miezi sita kuanzia jana.

 

11 years ago

Mwananchi

Miyeyusho ‘alia’ kuandamwa na madeni

Bondia Francis Miyeyusho amesema kuahirishwa mara kwa mara kwa pambano lake na Viktor Chernous wa Ukrane kumemuingiza katika deni na kocha wake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani