Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JUMUIYA YA KOKNI JAMAT YA ZANZIBAR YASHINDA BONANZA LA PASAKA ZIDI YA WENYEJI WAO WA BARA.

 Wachezaji wa Timu ya Kokni Jamat ya Zanzibar wakiteremka kwenye boti wakitokea Dar es laam kwenye Bonanza la Pasaka ambapo wamefanikiwa kuchukuwa makombe  matatu ya mshindi wa kwanza katika michezo ya Play Station,  mpira wa meza na mpira wa miguu dhidi ya wenyeji wao. Aliebeba kombe kubwa ni Rais wa Jumuia ya Kokn Jamat ya Zanzibar Jeff Babu.  Wachezaji wa Timu ya Kokni Jamat ya Zanzibar katika picha ya pamoja. Nahodha wa Timu ya Kokni Jamat Ibrahim Dalvi (kulia) na msaidizi wake Nabil...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Jumuiya ya KOKNI Jamat ya Zanzibar yashinda Bonanza la Pasaka dhidi ya wenyeji wao wa Bara

DSC_2095

Wachezaji wa Timu ya Kokni Jamat ya Zanzibar wakiteremka kwenye boti wakitokea Dar es laam kwenye Bonanza la Pasaka ambapo wamefanikiwa kuchukuwa makombe  matatu ya mshindi wa kwanza katika michezo ya Play Station,  mpira wa meza na mpira wa miguu dhidi ya wenyeji wao. Aliebeba kombe kubwa ni Rais wa Jumuia ya Kokn Jamat ya Zanzibar Jeff Babu.

DSC_2122

Wachezaji wa Timu ya Kokni Jamat ya Zanzibar katika picha ya pamoja. 

DSC_2149

Nahodha wa Timu ya Kokni Jamat Ibrahim Dalvi (kulia) na msaidizi wake Nabil...

 

10 years ago

Vijimambo

NSSF Yashinda Bonanza la Pasaka Zanzibar Mpira wa Miguu Netiboli Yashinda ZSSF

Viongozi wa ZSSF na NSSF wakiwa katika uwanja wa Amaan tayari kwa kwenda kukagua timu hizio kabla ya mchezo wao wa Tamasha la Michezo la OPasaka lililofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar. Timu ya NSSF imeshinda kwa matuta 4--3. Viongozi wa ZSSF na NSSF wakiwa katika uwanja wa Amaan tayari kwa kwenda kukagua timu hizio kabla ya mchezo wao wa Tamasha la Michezo la OPasaka lililofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar. Timu ya NSSF imeshinda kwa matuta 4--3. Kamisaa wa mchezo wa kirafiki kati ya ZSSF na...

 

9 years ago

BBCSwahili

Tanzania bara kuchuana na wenyeji Ethiopia

Hatua ya makundi ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge inahitimishwa leo kwa michezo miwili.

 

9 years ago

Mwananchi

Stars wakataa hoteli ya wenyeji wao Malawi

Siku zote maisha ya soka ni fitina barani Afrika. Maisha hayo yaliendelea juzi jioni jijini Blantyre baada ya maofisa wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakiongozwa na mjumbe wa kamati ya utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Ahmed Msafiri Mgoyi kugomea hoteli waliyoandaliwa na maofisa wa Malawi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

AMUCTA kidedea bonanza la Pasaka

TIMU ya Chuo Kikuu Cha Mtakatifu Agustino tawi la Tabora (AMUCTA), imeibuka kidedea katika bonanza maalumu la Pasaka la mchezo wa wavu lililofanyika hivi karibuni katika Uwanja wa Chuo cha...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi akagua ujenzi wa bara bara Koani - Jumbi zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema uamuzi uliochukuliwa na Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar wa kujadiliana na mjenzi wa Bara bara ya Koani hadi Jumbi ndio njia pekee itakayoweza kufanikisha ujenzi wa Bara bara hiyo. Alisema uamuzi wa pande hizo mbili wa kupelekana Mahakamani hautowasaidia Wananchi ambao lengo lao ni kupata huduma za mawasiliano ya bara bara kwa kuendesha harakati zao za kimaisha.
Balozi Seif alisema hayo wakati akikagua ujenzi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

JUMUIYA YA KANISA KATOLIKI HOUSTON. TEXAS, WASHEREHEKEA SIKUKUU YA PASAKA

Watoto wakicheza kwa furahaMaakuliMtoto Natalie akisherehekea Birthday pamoja na wazazi wake Michael & Beatrice Ndejembikwa picha zaidi bofya soma zaidiMbasa, Hilda & SekuluMage, Beatrice & DianaBwana na Bibi KalingaKeki ya BirthdayMama Daudi na SekuluDada Josephine na kijana Humphrey ambaye alitimiza miaka 14Bwana Mbasa akiwa na familia yakeMbasa na ThadeoWababa WakatolikiNeville na HildaPicha zote na Mlonga Kiloma Blog

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete kuwa mgeni rasmi Bonanza la Maveteran wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, Aprili 4-5, mwaka huu

DSCN9207

Mwenyekiti wa Klabu ya Maveteran, Mussa Kisoky (katikati) akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa mkutano wao juu ya Bonanza hilo la Maveteran wa Afrika Mashariki hiyo Aprili 4 hadi 5, mwaka huu. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi, Mtemi Ramadhani  na kwa upande wa kulia ni, Lawarence Mwalusako, tukio lililofanyika katika ukumbi wa Idara habari MAELEZO, jijini Dar es Salaam (Picha na Andrew Chale).

DSCN9210

Na Andrew Chale wa Mo dewji blog

RAIS wa Jamhuri ya...

 

11 years ago

Michuzi

Jumuiya ya Watanzania nchini Malaysia yapata Uongozi wao

Jumamosi ya tarehe 29 March 2014, watanzania waishio na wasomao Malaysia walikutana katika Ubalozi wa Tanzania na kuunda Jumuiya mpya ya Watanzania wanaoishi South East Asia.
Uongozi wa Wana Jumuiya hiyo ambao kwa kuanzia ni Watanzania waliopo Malaysia wakiwa na Balozi Mpya wa Tanzania,Dr. Aziz Ponary Mlima (katikati) na maafisa wa Ubalozi. Viongozi waliochaguliwa ni Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo, Katibu Mkuu, Waziri wa Fedha, Waziri wa Elimu, Waziri wa Jamiii, Utamaduni na Starehe ikiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani