Kadi 14, mabao 12 yafungua msimu
Ligi Kuu Tanzania Bara ilianza mwishoni mwa wiki, huku bingwa mtetezi Yanga ikiongoza kwa pointi tatu, sawa na timu sita zenye pointi tatu pia.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi17 Nov
Walipachika mabao msimu uliopita, msimu huu chali
Ligi Kuu Tanzania Bara imesimama kwa muda wa mwezi mmoja huku timu zote zikiwa zimeshacheza michezo saba na Mtibwa Sugar ndiyo inaongoza msimamo wa ligi hiyo ikiwa na pointi 15.
10 years ago
BBCSwahili25 Aug
Barcelona yafungua msimu kwa ushindi
Messi alifunga mabao mawili na kuisaidia Barca kuinyuka Elche mabao 3-0 katika ligi ya Uhispania
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NpAlVAvTs3PParhf2-S6ekrAUoTfmOMRJs4X3d1u82BauCTrYc1myUpzCcPRiexD-vp3aDEbu7TAjYUXr6YFVJ6buyC5O9Wh/CDnMOBVWIAAznIr.png?width=640)
10 years ago
Michuzi17 Apr
KIWANDA CHA TUMBAKU MOROGORO CHAFANYA SHERERE KUFUNGA MSIMU NA KUFUNGUA MSIMU MPYA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xEh6B1KdSWSyni*XgmxgOuy*BOg7Z7dYc6xBVyXcozVtntfjTYlFC4YrpIvsEsbLgHEOu0vfGC*5tFGCyD9wI-axWWuzDGqZ/loga.jpg)
Logarusic aja na mabao...
Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic. Na Wilbert Molandi
KATIKA kuhakikisha timu yake inafunga mabao mengi katika msimu ujao wa Ligi Kuu Bara, Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic, amekuja na mbinu mpya kwenye kikosi chake.Kocha huyo ambaye raia wa Croatia, alianza kutoa mbinu hizo juzi Alhamisi kwenye mazoezi yake yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Ununio, Boko jijini Dar es Salaam. Kwenye mazoezi hayo, kocha huyo aliwapa...
10 years ago
Mwananchi14 Apr
‘Maombi yamenipa mabao’
Mshambuliaji wa Yanga, Kpah Sherman amesema siri ya kuwa katika kasi ya ufungaji kwa sasa inatokana na maombi anayofanya kila siku.
9 years ago
Mwananchi19 Sep
Lowassa: Nifungieni mabao 3-0
Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na Ukawa, Edward Lowassa amesema ili kupata ushindi Oktoba 25, anahitaji kupata ushindi wa mabao matatu bila, akimaanisha Ukawa ipate rais, wabunge na madiwani.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OsG-NixX39e8N-3OHhMIEnoOPXfjgPbQe4NNq2ta28oPA4ch6CkryGSQEIQIA4aMn6zDZcHoeB7XlTEj1RVYdnZEUQ4pwOjv/luissuarez.jpg)
SUAREZ BINGWA WA MABAO!
LICHA ya Liverpool kukosa ubingwa, lakini nyota wao Luis Suarez ametwaa kiatu cha mfungaji bora kwa kumaliza na mabao yake 31 akifuatiwa na Daniel Sturidge naye pia wa Liver mwenye mabao 21.
10 years ago
Mwananchi11 Sep
Mabao ya Bale yainusuru Wales
Mkwaju wa adhabu uliopigwa katika dakika ya mwisho na Gareth Bale uliipa Wales ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Andorra, katika mchezo wa michuano ya kuwania tiketi ya kucheza fainali zijazo za Mataifa ya Ulaya, Euro 2016.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania