Kanda ya Jay-Z akichapwa yazua hasira
Wakuu wa Hoteli ambako kisa hicho kilifanyika mjini New York,wanachunguza ambavyo kanda hiyo inayoonyesha Jay-Z akichapwa na dadake Beyonce ilivyosambazwa
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili05 Aug
Kanda ya watoto kuteswa yazua kero Misri
5 years ago
BBCSwahili05 May
Kanda ya Tyson akifanya mazoezi yazua mshawasha duniani
9 years ago
Mwananchi04 Oct
UCHAMBUZI WA POLEPOLE :Hasira hasara, kupiga kura kwa hasira ni ujuha na si hekima, tulitazame taifa
11 years ago
BBCSwahili15 May
Aliyefichua kanda ya Jay-Z akishambuliwa afutwa kazi
10 years ago
Mwananchi12 Jul
Ielewe Hasira chimbuko lake (2)
10 years ago
Mwananchi29 Mar
JK: Maaskofu walitoa matamko ya hasira
10 years ago
Mtanzania28 Feb
Tibaijuka atibua hasira za wananchi
NA EVANS MAGEGE
KAULI iliyotolewa na aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, mbele ya Baraza la Maadili lililoketi kumhoji juu ya mgawo wa fedha za Escrow, kuwa alitumia Sh milioni 10 kwa ajili ya kununulia mboga, imeibua hasira kutoka kwa wananchi, wasomi na viongozi wa kada mbalimbali.
Wamesema kauli hiyo ni mwendelezo wa kejeli ambazo zimewahi kutolewa kwa nyakati tofauti na wanasiasa pamoja na baadhi ya viongozi nchini.
Kauli zinazolinganishwa na...
10 years ago
Habarileo04 Oct
Ajiua kwa moto hasira za mapenzi
MKAZI mmoja wa kijiji cha Malolwa wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa, Ndikile Sunguli (38) amejichoma ndani ya nyumba hadi kufa baada ya kumjeruhi mke wake katika ugomvi unaoaminika ni wa mapenzi.
11 years ago
Habarileo07 Jan
Chadema yahamishia hasira za Zitto CUF
MGOGORO unaoendelea Chadema umefikia hatua ya kuanza kutafuta mchawi ndani na nje ya chama hicho, ambapo sasa kimeishika CUF na Mbunge wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono kwa madai ya kumwunga mkono aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho, Kabwe Zitto.