Kaseba: Bora sijapigwa KO
Baada ya kushushiwa kipigo, bondia Japhet Kaseba amesema jambo lililompa faraja ni kutopigwa kwa Knock Out (KO) na Thomas Mashali katika pambano lao la kuwania ubingwa wa UBO Afrika lililofanyika kwenye ukumbi wa PTA, Sabasaba jijini Dar es Salaam juzi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima31 Mar
Mashali amzima Kaseba
BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Thomas Mashali ‘Simba asiyefugika’, juzi alifanikiwa kutwaa ubingwa wa UBO Afrika baada ya kumshinda kwa pointi 97-93 Japhet Kaseba ‘Champion’. Licha ya Mashali kushinda...
11 years ago
Tanzania Daima24 Dec
Kaseba amkalisha Alibaba kwa ‘KO’
BONDIA Japhet Kaseba, juzi alifanikiwa kutetea mkanda wa ubingwa wa taifa baada ya kumchapa bingwa wa Kanda ya Kaskazini, Alibaba Ramadhan kwa ‘KO’, raundi ya nne. Kaseba alianza mchezo huo...
11 years ago
Tanzania Daima22 Dec
Kaseba, Alibaba kumaliza ubishi leo
MABONDIA Japheth Kaseba wa Dar es Salaam na Alibaba Ramadhani wa Arusha, leo jioni watapanda ulingoni katika ukumbi wa Friends Corner, kumaliza ubishi wa nani zaidi baina yao kwa kusukuma...
11 years ago
GPLKASEBA AMCHAKAZA ALIBABA KWA K.O RAUNDI YA 4
11 years ago
Tanzania Daima21 Dec
Kaseba, Alibaba kupima uzito leo
MABONDIA Japheth Kaseba wa jijini Dar es Salaam na Alibaba Ramadhani wa Arusha, leo majira ya saa 4 asubuhi watapima afya na uzito katika Ukumbi wa Hoteli ya Friends Corner...
10 years ago
Mwananchi22 Sep
Kaseba: Nilikataa kuukana uraia wa Tanzania
11 years ago
GPLKASEBA, MASHALI KUZIPIGA MACHI 29 MWAKA HUU
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-RA2dpPjaP5s/UwRtgByYzNI/AAAAAAAFN5w/SwxR3bntw6U/s72-c/unnamed+(55).jpg)
MABONDIA KASEBA NA MASHALI WASAINI KUZIPIGA MACHI 29, 2014
![](http://3.bp.blogspot.com/-RA2dpPjaP5s/UwRtgByYzNI/AAAAAAAFN5w/SwxR3bntw6U/s1600/unnamed+(55).jpg)
Mabondia Thomas mashali na Japhet kaseba wamesaini makubaliano ya kucheza pambano la ubingwa wa mabara wa Universal Boxing Organization (UBO) pambano litakalopigwa tarehe 29 march 2014 katika ukumbi wa Karume hall zamani ukiitwa PTA hall. Pambano hilo linaandaliwa na mratibu mashuhuri katika masuala ya ngumi za kulipwa nchini hususani pande za Tanga Ally Mwanzoa alifurahishwa sana kwa nidhamu iliyooneshwa na mabondia hao wakati wa zoezi la kusaini mkataba wa makubaliano hayo...
11 years ago
TheCitizen24 Mar
Kaseba, Mashali face moment of truth in UBO bout