Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KCB-MOROGORO‏

Mkuu wa Idara ya mikopo kwa wateja wakubwa na wadogo  wa Benki ya KCB Tanzania, Juma Abdul akizungumza katika hafla iliyoandaliwa na benki yake kwa lengo la kuongea na wateja wa benki hiyo wa tawi la Morogoro jana kuhusiana na maswala ya kibiashara.
Mkuu wa Kitivo cha Sheria na Sharia wa Chuo Kikuu Cha Kiislama Morogoro Prof. Juma Mikidadi akisindikizwa na Meneja wa Tawi la Benki ya KCB Morogoro Bw Raymond Mungaya(kulia)...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

AMREF NA KCB ZASHIRIKIANA KATIKA ELIMU ZA WAKUNGA‏

Mkurugenzi Mtendaji wa KCB Tanzania (kushoto)Moezz Mir akimsikiliza kwa makini  Mkurugenzi Mkazi wa  Amref Heath Africa Tanzania Dk. Festus Ilako,  jijini Dar es Salaam wakati alipokuwa akiongerea  juu ya ushirikiano wao na benki hiyo  katika kusaidia suala zima la Afya ya mama na mtoto nchini.  Mkurugenzi Mtendaji wa KCB Tanzania (kushoto)Moezz Mir  akimkabidhi  Mkurugenzi Mkazi wa  Amref Heath...

 

11 years ago

GPL

BENKI YA KCB TANZANIA YAENDELEA KUSAIDIA JAMII‏

IMG 7855 na IMG 7852: Mganga Mkuu wa Jiji la Mwanza Dk  Kokugonza Mugeye(kushoto) akimkabidhi mashine ya ultrasound  Daktari Mfawidhi wa kituo cha Afya Makongoro Dk Mkama Magoti Membe katika halfla fupi iliyofanyika katika kituo hicho juzi. Mashine hiyo ni baadhi ya vifaa tiba vilivyotolewa na  benki ya KCB katika mpango wake wa kuboresha afya kwa wateja wake kanda ya Ziwa.
Meneja wa Banki KCB Joseph Njile...

 

11 years ago

GPL

BENKI YA KCB TANZANIA YAMWAGA MISAADA JIJINI‏

Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya KCB Tanzania Moezz Mir (wa pili toka kulia) akimkabidhi msaada wa Mashine ya kupasha moto vifaa vya hospitali kabla ya matumizi na baada ya matumizi  kwa mgonjwa (Sterilizer) Mkurugenzi wa Zahanati ya Njia Heath Centre ya Kiwalani jijini Dar es Salaam, Bw. Stephen Mosha (wa pili toka kushoto). Benki hiyo ilitoa msaada wa vifaa mbalimbali vyote vyenye thamani ya  shilingi milioni 5, wengine...

 

11 years ago

GPL

HOSPITALI YA MOUNT MERU ARUSHA YAPIGWA JEKI NA BENKI YA KCB TANZANIA‏

Daktari wa kitengo maalum cha wakina mama katika hospitali ya Mount Meru ya jijini Arusha,Mathew Kasumuni(Kushoto) akipokea msaada wa  kitanda na vifaa tiba mbalimbali kutoka kwa Meneja  benki ya KCB Tanzania tawi la arusha Judith Lubuva kwa ajili ya akina mama wenye matatizo ya uzazi wanaotibiwa katika hospitali hiyo.Benki hiyo pia ilitoa msaada wa kitanda kwaajili ya kinamama wakati wa kujifungulia chenye thamani ya zaidi...

 

11 years ago

GPL

KCB YAKABIDHI VIFAA VYA HOSPITALI KITUO CHA AFYA KOMBENI‏

Meneja wa Benki ya KCB, Tawi la Zanzibar, Sahim Abdalla Juma (kulia) akikabidhi vifaa vya Hospitali kwa kituo cha afya cha Kombeni kilichopo wilaya ya Magharibi kwa Daktari wenye dhamana ya wilaya hiyo, Lela Salim Juma, jana.
Meneja wa Benki ya KCB Tawi la Zanzibar, Sahim Abdalla Juma akiongea kwenye hafla ya kukabidhi vifaa vya hospitali ya Kituo cha Afya cha Kombeni, kilichopo wilaya ya Magharibi, Zanzibar. Vifaa hivyo...

 

11 years ago

GPL

MZEE MWINYI AZINDUA TAWI LA BENKI YA KCB SHARIAH JIJINI DAR ES SALAAM‏

Rais mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi (Katikati)akizindua tawi jipya la Benki ya KCB Shariah Lililopo barabara ya Lumumba jijini Dar es Salaam, litakalotoa  huduma kwa kuzingatia maadili ya kiislamu,ambapo watapata mikoipo isiyokuwa na riba .Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa KCB Tanzania  Moezz Mir, wapili kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa benki hiyo Dr.Edmund Mndolwa na wakwanza Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha...

 

11 years ago

GPL

VODACOM YAKABIDHI BODABODA MOROGORO‏

Meneja wa Vodacom Tanzania,Manispaa ya Morogoro Kamanda Kasapila (kushoto) akihakikikisha kadi za pikipiki za washini wa bodaboda wanaoshuhudia kulia kabla ya kuwakabidhi washindi hao,waliojishindia katika promosheni ya Timka na Bodaboda inayoendeshwa na kampuni hiyo. Washindi wa nne wa Promosheni ya Timka na  Bodaboda kutoka wilaya mbali mbali za mkoa wa Morogoro'… ...

 

10 years ago

GPL

UN NA EU WAVUTIWA NA PROGRAMU ZA RADIO ZA JAMII MOROGORO‏

Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini Filiberto Sebregondi akizungumza na kikundi cha akinamama kinachotengeneza vikoi na bidhaa mbalimbali mjini Ifakara. Kikundi hicho kimewezeshwa na EU na Umoja wa Mataifa UN. Akinamama wa kikundi cha utengenezaji vikoi na bidhaa nyingine za nguo wakiendesha moja ya mashine yao rahisi kutengeneza nguo hizo. Balozi Filiberto Sebregondi na Alvaro Rodriguez walitembelea miradi mbalimbali...

 

9 years ago

GPL

FURSA YAWEZESHA VIJANA WAJASIRIAMALI MKOANI MOROGORO‏

Afisa Masoko wa kampuni ya simu mkoa wa Morogoro, Aminata Keita akizungumza jambo wakati wa mafunzo ya ujasiliamali ya Airtel fursa kwa vijana yenye lengo la kuwapa elimu ya usajiliamali ili kujiendeleza kibiashara na kujikimu kiuchumu yakishirikisha vijana 250 wenye umri wa kuanzia 16 hadi 26 na kufanyika ukumbi wa Veta mkoani Morogoro. Mkufunzi kutoka Veta kanda ya mashariki na kati, Marthin… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani