Keissy alianzisha tena bungeni
Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Ally Keissy jana alilazimika kusindikizwa na askari wa Bunge kuondoka katika viwanja vya eneo hili kumnusuru na hasira za wajumbe kutoka Zanzibar waliokerwa na mchango wake kuhusu masuala ya Muungano.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi11 Nov
Ally Keissy ‘alianzisha’ tena bungeni
11 years ago
Mwananchi11 Sep
Keissy: Sitachangia chochote bungeni
10 years ago
Mwananchi24 Jun
‘Bwege’, Keissy wabunge wanaotumia mzaha kuwasilisha hoja nzito bungeni
10 years ago
Mwananchi27 Jan
Muswada wa Takwimu wadunda tena bungeni, warudishwa
10 years ago
Vijimambo01 Jul
Kuna mgomo wa kuuza mafuta Tanzania? Mbunge John Mnyika kairudisha hii tena Bungeni.. (Audio)

10 years ago
Mwananchi01 Feb
Keissy: Ubunge ukiisha mtapanda bajaji
11 years ago
Mwananchi25 Apr
Keissy adai anaamini katika Serikali moja
10 years ago
Mtanzania05 Jun
Keissy aitaka Serikali kulipa riba kwa wakulima
Na Debora Sanja, Dodoma
MBUNGE wa Nkasi Kaskazini, Ali Keissy (CCM), ameitaka Serikali kuwalipa wakulima fedha zao pamoja na riba kutokana na kuwacheleweshea malipo yao kwa muda mrefu.
Akiuliza swali bungeni jana, Keissy alisema Serikali imekuwa ikilipa riba mbalimbali kutokana na kuchelewa kulipa madeni ya wazabuni na kutaka wakulima walioiuzia Serikali mahindi yao walipwe riba.
“Serikali inasema nini kuhusu kuwalipa wakulima hao fedha zao pamoja na riba kwa kuwa toka mwaka jana hadi sasa...
11 years ago
Tanzania Daima01 Jun
Mkimaliza kumpiga Keissy, rudini kuijadili hoja yake
KAMA kuna anayedhani kuwa zimwi la matatizo ya Muungano litaondoka hivi hivi bila kuchukua hatua za kivitendo kuyatatua matatizo hayo anajidanganya sana. Kuamini kuwa zimwi hili litapatiwa ufumbuzi kwa maneno...