Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Keissy: Ubunge ukiisha mtapanda bajaji

Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Ally Keissy (CCM) jana alisababisha tena vicheko bungeni wakati aliposema kuwa wabunge wanaomba viwanja vya ndege vijengwe katika maeneo wanayotoka, wanafanya hivyo kujifurahisha kwa kuwa baada ya ubunge hawatakuwa na uwezo wa kupanda ndege badala yake watapanda mabasi na bajaji.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: JE WAJUA MUDA WA HATI YA NYUMBA UKIISHA WAWEZA KUNYANGANYWA ARDHI?

Na Bashir YakubKwa wale ambao tayari wana hati za majumba au viwanja wanajua wazi kuwa hati hizo zimeandikwa muda maalum, tofauti na wengi wanavyofikiria hasa wale ambao pengine hawajamiliki ardhi au wanamiliki ardhi lakini hawamiliki nyaraka hii.
 Hati unayopewa ina muda maalum wa kuishi. Sio kweli kwamba ukishapata hati basi ndio umemaliza, hapana. Kama ilivyo kwa bidhaa nyingine au nyaraka nyingine kwa mfano leseni za kuendeshea vipando...

 

10 years ago

Mwananchi

Keissy: Sitachangia chochote bungeni

Mjumbe wa Bunge la Katiba, Ally Keissy amesema hataomba kuchangia katika mjadala wa Katiba kwa sababu hakubaliani na mwenendo wake.

 

10 years ago

Mwananchi

Keissy alianzisha tena bungeni

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Ally Keissy jana alilazimika kusindikizwa na askari wa Bunge kuondoka katika viwanja vya eneo hili kumnusuru na hasira za wajumbe kutoka Zanzibar waliokerwa na mchango wake kuhusu masuala ya Muungano.

 

10 years ago

Mwananchi

Ally Keissy ‘alianzisha’ tena bungeni

Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CCM), Ally Keissy almanusura azue kizaazaa kwa mara nyingine na wabunge wa Zanzibar alipohoji sababu ya wabunge hao kuzungumzia suala la Rais Jakaya Kikwete kwenda kutibiwa Marekani akisema wenyewe wamekuwa wakienda kutibiwa India.

 

11 years ago

Mwananchi

Keissy adai anaamini katika Serikali moja

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba na Mbunge wa Nkasi, Ali Keissy amesema haamini masuala ya serikali mbili wala tatu, anachokiamini ni utawala wa serikali moja.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mkimaliza kumpiga Keissy, rudini kuijadili hoja yake

KAMA kuna anayedhani kuwa zimwi la matatizo ya Muungano litaondoka hivi hivi  bila kuchukua hatua za kivitendo kuyatatua matatizo hayo anajidanganya sana. Kuamini kuwa zimwi hili litapatiwa ufumbuzi kwa maneno...

 

10 years ago

Mtanzania

Keissy aitaka Serikali kulipa riba kwa wakulima

ally kessyNa Debora Sanja, Dodoma

MBUNGE wa Nkasi Kaskazini, Ali Keissy (CCM), ameitaka Serikali kuwalipa wakulima fedha zao pamoja na riba kutokana na kuwacheleweshea malipo yao kwa muda mrefu.
Akiuliza swali bungeni jana, Keissy alisema Serikali imekuwa ikilipa riba mbalimbali kutokana na kuchelewa kulipa madeni ya wazabuni na kutaka wakulima walioiuzia Serikali mahindi yao walipwe riba.
“Serikali inasema nini kuhusu kuwalipa wakulima hao fedha zao pamoja na riba kwa kuwa toka mwaka jana hadi sasa...

 

9 years ago

Mwananchi

Keissy wa CCM atoa ‘salary slip’ mkutano wa ACT-Wazalendo

Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CCM), aliyemaliza muda wake, Ally Keissy jana aliibuka kwenye mkutano wa kampeni wa chama cha ACT-Wazalendo na kupinga maelezo kwamba mshahara wake wa ubunge ni zaidi ya Sh10 milioni.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Bwege’, Keissy wabunge wanaotumia mzaha kuwasilisha hoja nzito bungeni

Nakumbuka wakati nikiwa shule ya msingi, mwalimu wa Kiswahili alikuwa akipendwa sana na wanafunzi na siri kubwa ilikuwa aina yake ya ufundishaji wake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani