Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kero la Fistula Tanzania

Haba na Haba inaangazia tatizo la Fistula nchini Tanzania ambavyo linaendelea kujitokeza.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

‘Wanawake 20,000 wana ugonjwa wa fistula Tanzania’

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imesema kuwa takwimu zinaonyesha kwamba wanawake 20,000 nchini wanaishi na ugonjwa wa Fistula.

 

10 years ago

Michuzi

Vodacom Tanzania yaja na Fistula Ice Bucket Challenge

Kampuni ya Vodacom Tanzania imekuja na Fistula Ice Bucket Challenge ‘#BongoIce’ yenye lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya matibabu ya akina mama wajawazito wenye ugonjwa wa Fistula. Hii ni kufuatia kampeni inayoendelea mitandaoni ikijulikana kama #ALSIceBucketChallenge ambapo Vodacom Tanzania kwa kutambua kuwa kuna wanawake wengi Zaidi ya 30,000 wanaogua ugonjwa huu hapa nchini imeanzisha kampeni inayoitwa #BongoIce.
Mkurugenzi wa Vodacom, Rene Meza amekuwa wa kwanza kushiriki kampeni...

 

10 years ago

Michuzi

MABOSS WA AIRTEL TANZANIA WAENDELEZA MAPAMBANO DHIDI YA FISTULA

Wakuu wa makampuni tofauti pamoja na wakurugenzi wa vitengo mbali mbali vya kampuni ya Airtel Tanzania wameendelea kuonyesha kuguswa kwa kushiriki kutimiza shinikizo toka kwa Mkurugenzi mkuu wa Artel Tanzania alilolitoa wiki moja iliyopita kuhamasisha mapambano dhidi ya Fistula kwa akina mama kwa kuchangisha pesa zitakazotumika kusaidia shughuli mbalimbali wakati wa matibabu kwa wale waliopatwa na tatizo hilo Angalia video hizi kuona kila mmoja alivyofanya mara baada ya kuguswa na kujitoa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Fistula yawatesa akinamama 3,000 Tanzania kila mwaka

Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu Duniani (UNFPA), Dk. Natalia Kanem wa (kwanza kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuzungumzia Maadhimisho ya Siku ya kupinga ugonjwa wa Fistula Duniani. Wa pili kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Tanzania, Brenda Msangi.

Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu Duniani (UNFPA), Dk. Natalia Kanem wa (kwanza kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuzungumzia Maadhimisho ya Siku ya kupinga ugonjwa wa Fistula Duniani. Wa pili kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Tanzania, Brenda Msangi.

Naibu Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Tanzania, Brenda Msangi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuzungumzia Maadhimisho ya Siku ya kupinga ugonjwa wa Fistula Duniani. Wa kwanza kulia ni Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu Duniani (UNFPA), Dk. Natalia Kanem.

Naibu Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Tanzania, Brenda Msangi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuzungumzia Maadhimisho ya Siku ya kupinga...

 

10 years ago

GPL

MKURUGENZI MKUU WA AIRTEL TANZANIA SUNIL COLASO AKISHIRIKI FISTULA ICE BUCKET CHALLENGE

Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania Sunil Colaso akishiriki #BongoIce Challenge  kwa lengo la kuchangisha fedha kugharamia matibabu ya ugonjwa wa Fistula.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kero za wakulima Tanzania

Ukosefu wa soko la uhakika kwa wakulima na miundo mbinu duni ya barabara ni miongoni mwa changamoto kuu kwa wakulima Tanzania.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mafao yaleta kero Tanzania

Kumekuwa na malalamiko nchini Tanzania kuhusiana na wabunge nchini humo kujiongezea mafao ya takriban dola za marekani laki moja.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kero za vijana na Uchaguzi Tanzania

Kuna matatizo mbalimbali yanayowakumba vijana waliojiajiri kwenye biashara ndogondogo.

 

10 years ago

Mwananchi

Zambia, Tanzania sasa kuondoa kero mipakani

Serikali za Tanzania na Zambia zimeahidi kuboresha utendaji kazi kwenye vituo vya forodha katika mipaka ya Tunduma na Nakonde ili kuwawezesha wananchi kufanya biashara kwa faida.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani