KESI YA KUDAIWA DENI: D’BANJ AKACHA MAHAKAMA, MDAI NAYE HAKUFIKA
![](http://api.ning.com:80/files/dMNnaPiQ3VjECVNtIx4eqqJukk8*1GplaW8dSNk*Yhi7*QdZW6hLSZ1QfANr2X6bvAGldwxKERHtqrjH8IkiU4VcTjqQDgz9/Dbanj1.jpg?width=650)
Dapo Oyebanjo 'D’Banj'. MWANAMUZIKI maarufu wa Nigeria anayejiita ‘Eja Nla’ (Samaki Mkubwa) ambaye jina lake halisi ni , Dapo Oyebanjo, akijulikana pia kama D’Banj, hakufika mahakamani wakati wa kuanza kwa kesi ambayo anashitakiwa kwa kutolipa deni. Kesi hiyo ilikuwa ianze kuunguruma Machi 30 mwaka huu kwenye mahakama ya Multi-Door Courthouse, eneo la Obalende, Lagos,lakini...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo12 Jan
Amuua mdai wake kwa kukerwa kudaiwa Sh 80,000
MWANAMKE Caseline Mzee (75) mkazi wa kijiji cha Guta wilayani Bunda, mkoani Mara, ameuawa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani na kunyongwa na kisha mwili wake kutupwa ndani ya mto, ukiwa umefungiwa mawe mazito ili usielee.
9 years ago
StarTV29 Dec
 Mahakama Kuu yamfutia kesi Dk. Mwakyembe kuhusu Kesi Za Kupinga Matokeo
Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imeitupilia mbali kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi iliyofunguliwa na aliyekuwa Mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, kwenye uchaguzi mkuu uliopita, Abraham Mwanyamaki, dhidi ya Mbunge wa Kyela na Waziri wa Katiba na Sheria, Dokta Harrison Mwakyembe.
Mahakama imefikia hatua hiyo baada ya Mwanyamaki kushindwa kulipa ada ya gharama za uendeshaji wa kesi hiyo shilingi Milioni Tatu katika muda wa Siku 14 uliowekwa kisheria.
Baada ya uchaguzi mkuu...
10 years ago
VijimamboKESI YA MADAI DHIDI YA MAOFISA WA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII KUDAIWA KUIFUNGA KLINIKI YA FOREPLAN HERBAL YAWAVUTA WATU WENG
11 years ago
Habarileo13 May
Mahakama kuondoa mlundikano wa kesi
JAJI Mkuu wa Tanzania, Mohamed Othman Chande, amesema Mahakama imejipanga kuondoa tatizo la mlundikano wa mashauri ya muda mrefu ndani ya miezi 18 ijayo.
10 years ago
Mwananchi21 May
Kesi ya madai katika mahakama ya wilaya
11 years ago
Mwananchi27 Jun
Mahakama yabaini upungufu kesi Simba
11 years ago
Mwananchi26 Feb
Mshtakiwa kesi ya mauaji aiangukia Mahakama
9 years ago
Habarileo18 Dec
Mahakama yafafanua gharama kesi za uchaguzi
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania inaweza kupunguza gharama za usikilizwaji wa kesi za uchaguzi endapo, anayefungua kesi atawasilisha maombi ya kuomba apunguziwe gharama hizo au asamehewe, imefahamika.
10 years ago
Habarileo11 Feb
Waomba Mahakama kusimamisha kesi ya Escrow
UPANDE wa utetezi katika kesi ya kupokea rushwa ya Sh milioni 323.4 inayomkabili Mkurugenzi wa Sheria wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rugonzibwa Mujunangoma umeiomba Mahakama kusimamisha kesi hadi itakaposikiliza ombi lao.