Kifusi cha mchanga kilivyonitenganisha na mchumba wangu
Wahenga walisema “hujafa, hujaumbikaâ€. Huu ni msemo wa Kiswahili ambao unafahamika kwa watu wengi, lakini maana yake halisi hujitokeza pale unapokutana na mtu aliyepatwa na tukio baya lililobadilisha kabisa maisha yake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi28 Dec
Mchumba wangu anatoka na rafiki yangu
11 years ago
Mwananchi28 Apr
Mchumba wangu, kumbe wa kaka yangu!
5 years ago
MichuziKIFUSI CHA UDONGO CHAFUNIKA BARABARA WILAYANI LUDEWA
Baadhi ya wasafiri wakitokea wilayani Ludewa kuelekea njombe mjini, wakivuka upande wa pili kwaajili ya kupanda gari jingine lililotokea njombe baada ya mlima kuporomoka na kuziba barabara eneo la Jongojongo lililopo wilayani humo na kupelekea mabasi kubadilishana abiria.
11 years ago
Dewji Blog07 Apr
Kifusi cha barabara chahofiwa kupunguza mapato ya halmashauri Bagamoyo
Wamiliki wa Hotel za kitalii mjini Bagamoyo wamelalamikia uongozi wa wa Halimashauri hiyo kwakutojali Uchangiaji wa mapato yatokanayo na wageni wanaokwenda katika mahoteli wametoa mfano wa Kifusi kilicho mwagwa (pichani) zaidi ya miezi miwili bila kusambazwa hivyo kufanya wageni kushindwa kufika katika Hoteli.
11 years ago
Michuzi18 Feb
KIJANA MTANASHATI ATAFUTA MCHUMBA WA KUOA: Ona picha yake na sifa za mchumba huyo anayemtaka apo chini
Master Oscar John
Mimi ni kijana wa kitanzania ambaye nimekulia katika maadili ya kidini na malezi mazuri ya kifamia, napenda nichukue fursa hii nitangaze nafasi ya mchumba ambaye kama ata kidhi vigezo vyangu atakuwa ndio mke wangu wa ndoa. Kifupi mi ni mtaalam wa IT naishi Dar es salaam. Mchumba ninaye mtaka ni vema awe amekulia malezi ya kidini kwa sababu mimi ni mcha Mungu na napenda kusali kwa hiyo napenda na yeye awe hivyo, malezi yangu ni ya dini ya kikristo ni vema na yeye akawa...
5 years ago
MichuziDC KAWAWA AAGIZA CHANZO CHA MACHIMBO YA MCHANGA KISIMAMIWE KUINUA MAPATO BAGAMOYO
MKUU Wa Wilaya Ya Bagamoyo ,Zainab Kawawa ameiagiza halmashauri ya Bagamoyo kutumikia wananchi kwa maslahi mapana ya jamii pamoja na kusimamia chanzo kikuu cha machimbo ya mchanga ambacho kinalegalega na kusababisha kushuka kwa mapato.
Aidha mkuu huyo wa wilaya, ameelekeza kupatiwa maelezo ya kina ni kwanini mashine za makusanyo (posi) zinazimwa na kushindwa kukusanya mapato kwa muda mrefu na hivyo kuhitaji maelezo ofisini kwake.
Akizungumza na watumishi na...
9 years ago
GPLUNATAFUTA MCHUMBA? NINI CHA KUFANYA?
5 years ago
BBCSwahili04 Mar
Je, kitumbua cha Diamond Platinumz na Tanasha Dona kimeingia mchanga ama ni kiki za kibiashara?
10 years ago
VijimamboTAARIFA KWA UMMA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA:WANAFUNZI WATATU WA KIKE WAFARIKI DUNIA BAADA YA KUFUKIWA NA KIFUSI CHA UDONGO WILAYA YA ILEJE.
TUKIO HILO LIMETOKEA TAREHE 12.11.2014 MAJIRA YA SAA 12:00HRS...