Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIGOGO WA UNGA AHENYESHWA POLISI

Stori: Makongoro Oging’ na  Haruni Sanchawa SIKU chache baada ya Jeshi la Polisi Kitengo cha Kuzuia na Kupambana na Madawa ya Kulevya Tanzania kumkamata mfanyabiashara bilionea Mharami Mohamed Abdallah ‘Chonji’ mkazi wa Magomeni, Mtaa wa Kondoa jijini Dar akidaiwa kukutwa na unga, jeshi hilo linamhenyesha anayedaiwa kigogo mwingine wa unga ambaye ni mwanamke. Christina Naphtali Kigaye mkazi wa Mikocheni...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

KIGOGO WA UNGA JELA MIAKA 20, FAINI SHILINGI BILIONI 15

Makongoro Oging' KIGOGO wa biashara ya madawa ya kulevya ‘unga’, mkazi wa Kinondoni, Dar, Fred William Chonde amefungwa jela miaka 20 na faini ya shilingi bilioni 15 akitoka baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na unga. Kigogo wa biashara ya madawa ya kulevya ‘unga’, mkazi wa Kinondoni, Dar, Fred William Chonde. Taarifa zilizolifikia gazeti hili na kuthibitishwa na Kamanda wa Kitengo cha Kudhibiti na Kupambana na...

 

9 years ago

Vijimambo

Kigogo wa Chadema ahojiwa polisi saa tano.

Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa chama hicho, Anthony Komu.
Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro limemshikilia na kumhoji kwa zaidi ya saa tano mgombea ubunge wa Jimbo la Moshi Vijijini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambaye pia ni Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa chama hicho, Anthony Komu (pichani), kwa madai ya kumtisha kwa bastola Katibu wa chama hicho mkoani hapa, Basil Lema.

Hata hivyo, baada ya kuhojiwa jeshi hilo lilimwachia huru Komu na kisha kulifuta jalada la...

 

10 years ago

GPL

MADAI YA KUBEBA UNGA: RAY C AJISALIMISHA POLISI

Stori Na Musa Mateja/Ijumaa Wikienda
BAADA ya kukiri kwa mdomo wake kutumia madawa ya kulevya ‘unga’ na baadaye ‘kustaafu’, madawa hayohayo yamemletea msanii Rehema Chalamila ‘Ray C’ ‘msala’ ambao umemfanya yeye mwenyewe, kwa hiyari yake ajisalimishe polisi. Msanii wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ akiwa Hospitali ya Mwananyamala . Hivi karibuni, Ray C...

 

10 years ago

Habarileo

Kigogo BoT kizimbani kwa jaribio kuua polisi

MSHAURI wa masuala ya ulinzi katika Benki Kuu (BoT), Shaban Ndosi (39) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kujaribu kumuua ofisa wa Polisi.

 

11 years ago

Mwananchi

Waumini Kigogo waswali kwa awamu chini ya ulinzi wa polisi

Waumini wa dini ya Kiislamu Msikiti wa Islah Kigogo Dar es Salaam, juzi walilazimika kuswali kwa awamu mbili tofauti huku wakiwa chini ya ulinzi wa polisi kutokana na kutokuelewana kwa viongozi wao.

 

10 years ago

GPL

AHENYESHWA MAHAKAMANI KWA KUMSULUBU MTOTO

Na Haruni Sanchawa
TEDDY Omary John (22), mkazi wa Tegeta jijini Dar amejikuta akihenyeshwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kwa tuhuma za kumchoma na kumjeruhi mtoto Magdalena Elisha (10) na kitu chenye ncha kali mapajani na kumsababishia maumivu makali. Teddy Omary John (22), mkazi wa Tegeta jijini Dar anayetuhumiwa kumsulubu mtoto, Magdalena Elisha. Imedaiwa kuwa, mtuhumiwa ambaye alikuwa akiishi na binti huyo kama...

 

11 years ago

GPL

ALIYEMTESA HAUSIGELI SIKU 730 AHENYESHWA!

stori: Haruni Sanchawa na Deogratius Mongela Mwanamke Yasinta Rwechengura, mkazi wa Boko wilayani Kinondoni, Dar anayekabiliwa na kesi ya kutuhumiwa kumtesa hausigeli wake kwa miaka miwili (siku 730), amejikuta akihenyeshwa mahakamani.Hayo yamemkuta juzi alipofikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Wilaya ya Kinondoni kujibu tuhuma zinazomkabili ambapo alikuwa akipokea amri kutoka kwa askari na kumfanya kukosa raha. ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kigogo CCM auawa

MWENYEKITI wa zamani wa Chama cha Mapinduzi (CCM), mkoa wa Mwanza, Clement Mabina, ameuawa kinyama na wananchi wenye hasira baada ya kumuua kwa risasi mtoto mdogo anayekadiriwa kuwa na miaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani