KIJIJI CHAENDESHA MSAKO KUWANASA WALAWITI

Stori: Joseph Ngilisho, Arusha WANANCHI zaidi ya 500 wa Kijiji cha Moivaro na Chekereni katika Kata ya Moshono, wilayani Arumeru wamelazimika kuendesha oparesheni ya kuwasaka wanaume wanaolawiti wanaume wenzao baada ya kugundulika sehemu kubwa ya wanaume katika kijiji hicho wamelawitiwa. Wananchi wa Kijiji cha Moivaro na Chekereni katika Kata ya Moshono, wilayani Arumeruwakiwa kwenye kikao cha kuwasaka walawiti Inadaiwa kuwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili27 May
Papa ashutumu mapadri walawiti Kanisani
10 years ago
Habarileo15 Jul
Polisi yatoa mil. 50/- kuwanasa wauaji
SIKU moja baada ya tukio la kuuawa kwa watu saba wakiwemo askari wanne katika Kituo cha Polisi Stakishari, Ukonga jijini Dar es Salaam, Jeshi la Polisi nchini limetangaza donge nono la Sh milioni 50 kwa watakaofanikisha kukamatwa kwa wahusika wa tukio hilo.
10 years ago
MichuziChuo Kikuu cha Uhio chaendesha mafunzo kwa vijana kuwa viongozi bora
Chuo Kikuu cha Uhio nchini Marekani kinaendesha mafunzo kwa vijana ya kuwa viongozi bora katika nchi zilizopo katika jangwa la Sahara.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo,Katibu wa Kwanza wa Mawasiliano ya Umma wa Ubalozi wa Marekani nchini,Marissa Maurer amesema kuwa program ya kutoa mafunzo kwa viongozi vijana imaeazishwa na Chuo Kikuu Cha Uhio nchini Marekani ambapo fedha inayoendesha mafunzo ni ya serikali ya watu Marekani...
10 years ago
Vijimambo
Ngoma Africa band na Jinamizi lao la Bongo Dansi barani ulaya lazidi kuwanasa washabiki

10 years ago
GPL
CHAMA CHA WAANDISHI MTWARA CHAENDESHA ZOEZI LA USAFI NA KUPANDA MITI KATIKA HOSPITALI YA MKOA HUO
11 years ago
Michuzi
KAMPENI ZA CCM JIMBO LA CHALINZE ZAENDELEA KIJIJI KWA KIJIJI


11 years ago
Michuzi
11 years ago
BBCSwahili08 Apr
Msako wa wageni Kenya waendelea
11 years ago
BBCSwahili18 Apr
Msako wa wasichana waendelea Nigeria