Kiongozi wa juu kukamatwa:Nigeria
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari ametoa amri kushikiliwa kwa afisa wa juu anayetuhumiwa kwa wizi wa zaidi ya dola bilioni mbili zilizotarajiwa kununua silaha.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili10 Mar
Kukamatwa kwa wanamfalme wa ngazi ya juu watatu wa Saudia kuna maana gani?
Kuondolewa mamlakani kwa ndugu wa karibu wa mwanamfalme wa Saudi Arabia kumechochea tetesi na uvumi mwingi
11 years ago
BBCSwahili05 May
Kiongozi wa maandamano Nigeria mbaroni
Mwanamke aliyekuwa akiongoza maandamano kushinikiza serikali ya Nigeria kuwaokoa wasichana 200 amekatwa kwa amri ya mke wa Rais.
11 years ago
BBCSwahili06 Jun
Kiongozi wa waisilamu afariki Nigeria
Kiongozi wa waisilamu katika jimbo la Kano nchini Ngeria, Emir Al-Haji Ado Bayero, amefariki baada ya kuugua kwa muda mrefu.
10 years ago
Dewji Blog23 Feb
Mtandao wa Haki za Binadamu watoa tamko juu ya kutekwa na kuteswa kwa kiongozi wa wahitimu JKT
Mwenyekiti wa JKT Tanzania, Bw. George Mgoba akiwa wodini.
TAMKO KWA VYOMBO VYA HABARI.docx by moblog
9 years ago
BBCSwahili13 Dec
Jeshi lazingira makao ya kiongozi Nigeria
Kulingana na kundi la Islamic Movement of Nigeria, wanajeshi na vifaru vilitumika kushambulia makaazi ya Ibrahim Zakzaky katika mji wa Zaria, Kaduna.
11 years ago
BBCSwahili11 Jun
Kiongozi ataka vijana wajihami Nigeria
Kiongozi mmoja ameiomba serikali kuwaruhusu kubuni makundi ya vijana waliojihami ili kulinda vijiji vyao kutokana na makabiliano kutoka kwa kundi hatari la Boko Haram.
9 years ago
BBCSwahili22 Sep
Kiongozi wa seneti Nigeria afika kortini
Kiongozi wa Bunge la Seneti nchini Nigeria, Bukola Saraki, amefika kortini leo ambako anakabiliwa na mashtaka 13.
9 years ago
BBCSwahili04 Jan
Iran yaitaka Nigeria kumwachilia kiongozi wa Kishia
Iran imeitaka Nigeria kumwachilia huru kiongozi wa Kishia Sheikh Ibrahim al Zakzaky aliyekamatwa baada ya vurugu kutokea kati ya wafuasi wa kundi lake na wanajeshi mwezi uliopita.
11 years ago
Mwananchi19 Jun
Brazil 2014: Kocha wa Nigeria awajia juu mashabiki
Kocha Stephen Keshi amewapuuza mashabiki wa soka nchini Nigeria baada ya timu yake kucheza moja ya mechi mbaya za Kombe la Dunia nchini Brazil mapema wiki hii.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania