Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kiongozi wa maandamano Nigeria mbaroni

Mwanamke aliyekuwa akiongoza maandamano kushinikiza serikali ya Nigeria kuwaokoa wasichana 200 amekatwa kwa amri ya mke wa Rais.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kiongozi wa Ukawa mbaroni

>Wakati Polisi mkoani Kigoma wakiwa wamemtia nguvuni Katibu Mkuu wa chama cha NCCR-Mageuzi, Mosena Nyambabe kwa tuhuma ya kumdhalilisha Rais Jakaya Kikwete, Kiongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Profesa Ibrahimu Lipumba amesema hawatarudi bungeni mpaka kiongozi huyo wa nchi aombe radhi.

 

10 years ago

Vijimambo

WANAFUNZI 84 WA UDOM WATIWA MBARONI KWA KUHAMASISHA MAANDAMANO MJINI DODOMA

Baadhi ya Wanafunzi 84 wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) wakiwa kwenye gari ya polisi baada ya kutiwa mbaroni kwa tuhuma za kuhamasisha uvunjifu wa amani Chuoni hapo na kufanya maandamano haramu kutoka Chuoni kuelekea katika Ofisi mbalimbali za viongozi wa Serikali zilizopo mjini Dodoma leo.Baadhi ya Wanafunzi 84 wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) wakiwa chini ya ulinzi kwa tuhuma za kuhamasisha uvunjifu wa amani Chuoni hapo na kufanya maandamano haramu kutoka Chuoni kuelekea katika Ofisi...

 

10 years ago

GPL

KIONGOZI WA WAASI WA ADF ATIWA MBARONI NCHINI TANZANIA

Kiongozi wa waasi wa ADF, Jamil Mukulu (menye shati jeupe). Waasi wa Allied Democratic Forces  (ADF). Raia wakikimbia mapigano dhidi ya ADF. JEESHI  la polisi nchini limefanikiwa kumtia mbaroni kiongozi wa kundi la waasi wa Allied Democratic Forces  (ADF) wa nchini Uganda,  Jamil Mukulu,  ambaye…

 

10 years ago

Michuzi

WANAFUNZI 84 WA PROGRAMU MAALUMU YA DIPLOMA YA UALIMU UDOM MBARONI KWA TUHUMA ZA KUHAMASIHA MAANDAMANO MKOANI DODOMA

Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma inawashikilia wanafunzi 84 wa chuo Kikuu UDOM kwa tuhuma za kuhamasisha uvunjifu wa amani Chuoni na kufanya maandamano haramu kutoka Chuoni kuelekea katika Ofisi mbalimbali za viongozi wa Serikali zilizopo Dodoma Mjini leo tarehe 14.01.2015 majira ya 05:30hrs.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – (SACP) ameeleza kuwa chanzo cha wananfunzi hao wa programu maalum ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wapinga marufuku ya maandamano Nigeria

Watu wanaounga mkono maandamano ya kushinikiza serikali kuwanusuru wasichana waliotekwa nyara wamepinga marufuku ya maandamano mjini Abuja.

 

9 years ago

BBCSwahili

Maandamano Nigeria kutetea 'mtetezi' wa Biafra

Mamia ya watu kusini mwa Nigeria wameandamana kushinikiza kuachiliwa huru kwa mwanaharakati anayetetea kujitenga kwa jimbo la Biafra.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa waisilamu afariki Nigeria

Kiongozi wa waisilamu katika jimbo la Kano nchini Ngeria, Emir Al-Haji Ado Bayero, amefariki baada ya kuugua kwa muda mrefu.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa juu kukamatwa:Nigeria

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari ametoa amri kushikiliwa kwa afisa wa juu anayetuhumiwa kwa wizi wa zaidi ya dola bilioni mbili zilizotarajiwa kununua silaha.

 

5 years ago

CCM Blog

MAANDAMANO YA KULAANI UKATILI WA POLISI YA MAREKANI YAFANYIKA KENYA NA NIGERIA

Maandamano ya kulaani ukatili wa polisi ya Marekani yafanyika Kenya, NigeriaMiji mikuu ya Kenya na Nigeria jana ilishuhudia maandamano ya kulaani ubaguzi wa rangi na mauaji ya George Floyd, raia wa Marekani mwenye asili ya Afrika aliyeuliwa kikatili na polisi mmoja mzungu katika mji wa Minneapolis, katika jimbo la Minnesota nchini Marekani wiki iliyopita.Katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi waandamanaji walikusanyika nje ya ubalozi wa Marekani jijini hapo huku wakiwa wamebeba mabango yenye jumbe mbalimbali za kulaani jinai hiyo. Baadhi ya mabango hayo yalikuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani