Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kituo kilichosababisha daladala kugoma kupanuliwa

BAADA ya Kamati ya Usafirishaji ya Jiji la Mwanza kutembelea kituo cha daladala cha Buzuruga kinachodaiwa kuwa chanzo cha mgomo wa huduma ya usafiri juzi jijini hapa, Wakala wa Taifa wa Barabara (Tanroad ) Mkoa wa Mwanza umeridhia kufanya upanuzi wa kituo hicho.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kituo cha afya Chanika kupanuliwa

KITUO cha afya cha Chanika jijini Dar es Salaam kinatarajiwa kuwa hospitali kubwa Tanzania yenye kutoa huduma za afya ya mama na mtoto baada ya kukamilika kwa upanuzi wa ujenzi wake unaogharamiwa na Serikali ya watu wa Korea ya Kusini.

 

11 years ago

Michuzi

MGOMO WA MADEREVA NA MAKONDAKTA WA DALADALA DAR KUGOMA KUPELEKA ABIRIA MWENGE KUTOKA MAKUMBUSHO

 Mkaguzi kutoka Sumatra akiongea na Vyombo vya habari na madereva na makondakta  Kamanda wa Polisi kinondoni akitoa mrejesho kwa waandishi wa habari baada ya kuweza kukubaliana na Madereva na Makondakta kutumia barabara kuu kwa siku mbili ili wakati wakiendelea kushughulikia utaratibu wa kutengenezwa kwa barabara za ndani ambazo walikuwa wanapaswa kuzitumia
 Abiria wanaotumia njia ya makumbusho kuelekea Mwenge wakitokea Tandika na Mbagala jijini Dar es salaam leo wameonja Joto ya jiwe...

 

11 years ago

Habarileo

Kituo cha daladala Mwenge kufungwa

MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imetangaza kufunga kituo cha daladala cha Mwenge, Jumapili, Juni Mosi mwaka huu.

 

11 years ago

Michuzi

KITUO CHA DALADALA SINZA MAKABURINI

Hini ni moja ya kibanda kati ya vibanda vingi vinavyotumika kupimzikia abiria wa usafiri wa daladala pindi wasubiriapo usafiri huo kwenye maeneo mbali mbali ya vituo vya daladala hapa jijini Dar.lakini tofauti na maeneo mengine,kituo hiki ambacho kipo pale Sinza Makaburi,kimeondolea sehemu husika na kuwekwa juu ya mtaro wa maji katika eneo hilo kama Kamera ya Globu ya Jamii ilivyoweza kukinasa.

 

10 years ago

Habarileo

Kituo cha daladala Ubungo kuzinduliwa

KITUO kipya cha daladala cha Ubungo kilichohamishiwa Kituo cha Simu, kati ya barabara ya Sam Nujoma na Sinza jijini Dar es Salaam, linatarajiwa kuzinduliwa rasmi kesho kutwa. Hayo yalielezwa katika taarifa ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari na Ofisa Mfawidhi wake, Conrad Shio.

 

11 years ago

GPL

MADEREVA DALADALA WAGOMA KWENDA KITUO KIPYA

MADEREVA wa daladala wanaoegesha magari yao eneo la Ubungo, Darajani jirani na njia panda ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wamegoma kwenda kituo kipya kilichopo nyuma ya jengo la Mawasiliano Tower. Madereva hao wameamua kuwashambulia wenzao walioonekana kutii amri kwa kuwavunjia vioo vya magari yao jambo lililopelekea polisi kuingilia kati kuwatuliza. Taarifa zaidi zitawajia hivi punde! ...

 

10 years ago

GPL

KITUO KIPYA CHA DALADALA CHAANZA KAZI DAR

Abiria wakipanda daladala. Askari wa usalaama…

 

11 years ago

Mwananchi

Sumatra yafunga kituo cha daladala Mwenge D’Salaam

Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) imetangaza kuhamisha kituo maarufu cha daladala cha Mwenge kwenda eneo la Makumbusho.

 

11 years ago

Habarileo

Kituo kipya cha daladala Ubungo kuanza mwezi ujao

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda KITUO kipya cha daladala kilichopo eneo la Migombani jirani na jengo la Mawasiliano kitakachochukua nafasi ya kituo cha Ubungo kinatarajiwa kuanza kutumika mwishoni mwa mwezi huu baada ya kukamilika kwa sehemu kubwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani